Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

Ina maana amelipwa bil 27 bado billion 1 , napenda nijue stend imefikia wap , Kwa deni hlo naamin stend imefikia 99% ya ujenzi wake
Mkuu kama hujui utaratibu wa malipo kwa hizi kazi za ukandarasi ni bora kuuliza kuliko kuja hivi, ulivyokuja!!kazi za ukandarasi , hulipwa kulingana na certificates, unaamaliza kazi fulani, una issue certificate, wanakuja kukagua unalipwa kwa kazi hiyo kwanza, ndipo unaendelea!!sasa ka awamu hii mkandarasi ana issue certificate kibao, halipwi, ana kuja kiongozi wa kisiasa anaanza kubwabwaja, kuwa kazi imekushinda, nitafanyaje kazi bila kulipwa pesa??huyu amethubutu kujitoa muhanga kwani kwa mazingira ya sasa ni ngumu kujitokeza nankusema hayo!!lakini ndio hali inayowakumba wakandarasi wote nchini!!na huyu usije shangaa akavunjiwa mkataba kuwa sio MZALENDO!!!Anatumika na mabeberu na asipewe kazi tena nchini!!!
 
Kwa hyo mtoa mada alilenga kuwapasha habar wana taaluma ya ukandarasi ?? Basi angetuweka Sawa ..... Mtoa mada kasema mradi ni 28bil ,mkandarasi anadai 1bil , issue za certificate sie hatujui na hili ni jukwaa Huru na tunachangia kulingana na maelezo ya mtoa mada ..... Thanx Kwa maelezo mrua kama ni sahihi
 
Aidha, miradi huo wa Stendi Kuu ya Kimataifa ya mabasi Ngangamfumini Moshi, jengo lake litakuwa na ghorofa mbili na kutakuwa na hoteli na maduka makubwa na kwamba mkandarasi wa ujenzi huo Kampuni ya CRJE (East Africa) ndiye aliyejenga Daraja la Kigamboni jijini Dar es salaam. Amesema, jengo la stendi hiyo kuu litakuwa pia na ofisi za Kimataifa za Uhamiaji.

More info :
Habari za ziada zilizopita kuhusu mradi huo mkubwa
June 2020
Moshi, Kilimanjaro
Tanzania

Mandhari na muonekano wa stendi hiyo mwaka 2020
Changamoto ya stendi hiyo kugeuka chemchem ya maji wameishaimaliza ?

Stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro Tanzania.
 
Si wamlipe hela zake sasa hii Serikali ya awamu hii imejaa utapeli tu
hujasikia kilio mjengoni, kuna kikosi maalum tra, kinakamua a/c haijawahi tokea
Hela atalipwa hata kesho lkn zitakatwa deni la stamp na mapato aliyokwepa mwaka 2006 wakati Kampuni lilipoanza mpaka leo, akibisha alete nyaraka km kalipa.
angenyamaza siku miradi mingine ikishapewa atapata tu la sivyo aumie
 
Nchi hii imeamua kujenga "mastendi" huku manispaa na Halmashauri nyingi nchini zinakosa shule zenye madarasa, madawati na waalimu wa kutosha.

Mitano tena ! Kutekeleza Ilani ya CCM ya "mastendi" nchi nzima, TAMISEMI yasema fedha zipo tena ni pesa zake yenyewe serikali toka vyanzo vya ndani Julai 2020

Kwa hyo mtoa mada alilenga kuwapasha habar wana taaluma ya ukandarasi ?? Basi angetuweka Sawa ..... Mtoa mada kasema mradi ni 28bil ,mkandarasi anadai 1bil , issue za certificate sie hatujui na hili ni jukwaa Huru na tunachangia kulingana na maelezo ya mtoa mada ..... Thanx Kwa maelezo mrua kama ni sahihi
Mkuu umesoma wapi??? labda tuanzie hapa..are u nazi? kwa sabbu kuna vichwa nazi huwa havibishani kwa hoja...
“imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo”
 
Ina maana amelipwa bil 27 bado billion 1 , napenda nijue stend imefikia wap , Kwa deni hlo naamin stend imefikia 99% ya ujenzi wake
Taarifa imeandikwa zaidi ya bilioni 1 , hivyo kinaweza kuwa kiwango chochote kilicho juu ya bilioni 1.

Labda ni bilion 3 , 2 n.k.

Asante
 
Nchi hii imeamua kujenga "mastendi" huku manispaa zinakosa shule zenye madarasa, madawati na waalimu wa kutosha.

Mitano tena !
Ok shule zikijengwa + madawati yakinunuliwa..mtaanza kusemaoooh ooh Serikali inajenga mashule lakini ajira hamna,haijali wananchi wake..ajira zikitolewa oooh serikali inapendelea,Ila watu
 
Kwa hyo mtoa mada alilenga kuwapasha habar wana taaluma ya ukandarasi ?? Basi angetuweka Sawa ..... Mtoa mada kasema mradi ni 28bil ,mkandarasi anadai 1bil , issue za certificate sie hatujui na hili ni jukwaa Huru na tunachangia kulingana na maelezo ya mtoa mada ..... Thanx Kwa maelezo mrua kama ni sahihi

Wewe endelea kuchangia kule cerebrities kwenye mada za zuchu na Ray van huku hujui kitu unatulia tu unakuwa msomaji!!!
Ujuaji sio issue tena siku hizi.

Kilaza .
 
Mkuu umesoma wapi??? labda tuanzie hapa..are u nazi? kwa sabbu kuna vichwa nazi huwa havibishani kwa hoja...
“imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo”
Una matatizo ya upumuaji , wahi hospital chap
 
Back
Top Bottom