Mbunge Saasisha anunua kesi ya Profesa Ndakidemi Moshi Vijijini

Jun 20, 2023
54
51
Hakuna shaka kwamba makada wa chama cha mapinduzi(ccm)Katika maeneo mbali ya nchi wameanza mikakati ya chini kwa chini ya kujijenga kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo mwakani.

Baadhi yao wameunda makundi ya kuwasaidia kuendesha harakati hizi huku baadhi yao walitumia mbinu chafu za kuwachafua wabunge walioko madarakani.

Jimbo la Moshi Vijijni mkoani Kilimanjaro ni moja ya majimbo ambako harakati za kisiasa zimepamba moto kuelekea uchaguzi Mkuu.

Jimbo Hilo kwa Sasa linaongozwa na Profesa Patrick Ndakidemi Ndakidemi(ccm)mmoja wa maprofesa bora kabisa barani Afrika.

Kutokana na siasa chafu zinazoendelea katoka jimbo Hilo zinazokolezwa na wanaotajwa kugombea ubunge hapo mwakani,mbunge wa Jimbo la Hai(ccm)Saasisha Mafuwe ni kama amejitosa kununua kesi dhidi ya wanaomchafua Ndakidemi.

Akiwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya hesabu za Serikali za mitaa Katika kata ya Mabogini Moshi Vijijni,Saasisha aliwoanya wananchi wa Jimbo Hilo kutokufanya makosa na badala yake waendelee kumuunga mkono Ndakidemi.

"Sisi ndiyo waathirika wakubwa wa siasa za upinzani kuliko maeneo mengine,Leo unataka kumtoa Profesa Ndakidemi umlete mtu mwingine aanze kujifunza miaka mitano,haiwezekani"

"Haiwezekani watu wote tukawa wabunge,lazima wengine wakubali kuwa huu ni wakati wa Profesa Ndakidemi"
Sassisha alikuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Mabogini wakati kamati hiyo ya Bunge ilipotembelea na kuona maendeleo ya mradi wa ujenzi wacHospital ya wilaya ya Moshi inayojengwa kwenye kata hiyo

Tayari serikali imetoa Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi huo na Sasa nguvu omeelekezwa kwenye ujenzi wa majengo manne,jengo la utawala,jengo la Mionzi,jengo la kufulia na jengo la kutolea dawa utakaogharimu milioni 800.

Kukamilika Kwa ujenzi wa Hospital hiyo utakuwa ni mkombozi mkubwa kwa wananchi wa ukanda wa tambarare ambo wa muda mrefu wamekuwa wakitembea umbali wa zaidi ya Kilometa 20 kufuta huduma za matibabu kwenye Hospital ya Rufaa ya Mkoa, Mawenzi na Hospital binafsi na Kwa gharama kubwa,hii ni kwa mujibu wa Profesa Patrick Ndakim
 
Kama ni ProPESA Bora sawa..... Ila sio Profesa Bora.....
 
Wabunge wa mchongo wanaona dakika zinayoyoma kuleni vizuli mishahala na pensheni zenu mtakuja kulia kama mbwa koko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom