MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

Aya ya 7 na 8
c1dc60180064940e6a023512f123f603.jpg
Mambo ya Walawi waliandikiwa Watu wa ukoo wa Lawi ambao ni ukoo wa Kikuhani. Watanzania mambo ya Walawi hayatuhusu
 
Moshi ni mji wa kitalii.Mji ulioanza kuona wazungu hapa Tanzania.

Pombe kali na kitimoto rosti ni wengi sana bila kujali jinsia. Watoto wadogo na vibinti vinakula pombe sana.

Vijiwe maarufu vya kitimoto Moshi mjini ambavyo ni maarufu ni:-

Mbosho

MINJAS Pub Majengo stand

Toroka uje- Kiboroloni

Masikio

Msonge

Pamela Pub - Soweto

Unakuta mtu anashusha konyagi kubwa na kitimoto rosti na ugali.

Moshi raha sana
mda wa watu wa kaskazini ushafika.nakuona
 
Na wewe una sapoti hoja yake dhaifu.
KWANI WATANZANIA MNA BIBLIA YENU TOFAUTI NA ILE ILIYOKUWEPO KIPINDI CHA WALAWI?
Hebu kuwa muelewa:

Kwani jamaa hapo amezungumzia BIBLIA waliyoandikiwa wana wa Lawi au AGIZO?
 
Back
Top Bottom