Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

Hii kamati ya Mwanjala naona ina " play safe."

Morrison kwa kujua hana mkataba na Yanga hata kama anashauri kibiashara lazima aendelee na maisha.

Hata kama hukumu ingekuwa dhidi yake ni yeye ndiye angepata madhara.

Vipi kama hii kamati haioni kuwa Morrison alikuwa anakimbizana deal yake kuwa closed kwa kusajiliwa na Simba. Kama angeikosa angemdai nani fidia.?
 
Unaonekana hujaelewa bado,hebu fuatilia tena hili jambo then uje upya.
 
Hii kamati ya Mwanjala naona ina " play safe."

Morrison kwa kujua hana mkataba na Yanga hata kama anashauri kibiashara lazima aendelee na maisha.

Hata kama hukumu ingekuwa dhidi yake ni yeye ndiye angepata madhara.

Vipi kama hii kamati haioni kuwa Morrison alikuwa anakimbizana deal yake kuwa closed kwa kusajiliwa na Simba. Kama angeikosa angemdai nani fidia.?
Wameona tu wanachama wa Utopolo watulie, wangesema Yanga wameshindwa kesi, Kaunda pasingekalika
 
Kamati haijafanya vizuri kwa sababu hapa kuna kesi ya kufoji mkataba ,ambapo Morrison anadai Yanga wamefoji mkataba hivi hawakuandikishana mkataba na Yanga ,sasa huyu dogo anakosa gani?
 
Kuna njama za wazi kabisa kuwa Kamati ya TFF na maamuzi yake kumhusu Moris, inapanga kuibeba Simba. Hujuma kama hizi dhidi ya baadhi ya vilabu zinaua mpira hivyo ni vema serikali iingilie kati. Halafu nadhani pia Rais wa TFF achunguzwe vizuri malengo yake katika soka letu, simwelewi elewi!
 
Mkuu wapi wamesema Yanga wamefoji mkataba?
 
Sasa unaposema mkataba unamapungufu wakati Morrison anakuambia hajasin huoni kama ni fojari? Na unafikiri kama kweli Yanga wangempa mkataba hata kama unamapungufu unafikiri angeshinda?
 
Hii kamati ya Mwanjala naona ina " play safe."

Morrison kwa kujua hana mkataba na Yanga hata kama anashauri kibiashara lazima aendelee na maisha.

Hata kama hukumu ingekuwa dhidi yake ni yeye ndiye angepata madhara.

Vipi kama hii kamati haioni kuwa Morrison alikuwa anakimbizana deal yake kuwa closed kwa kusajiliwa na Simba. Kama angeikosa angemdai nani fidia.?
100% nakuunga mkono, yani badala ya Morrison kulipwa kwa usumbufu na kuchafuliwa jina eti wanapeleka kwenye kati ya maadili. Huyu mwenyekiti hamnazo kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
iyo wamegushi mkataba unaitoa wapi, iyo pesa anazotakiwa rudisha alipewa katika mazingira gani (kama si ya kusaini mkataba) ama ilikuwa hongo
Uneducated, Manyani fc, mambwa fc,

Unaeleweshwa lakini kichwa chako kigumu, kwani hizo hela alipewa mkononi?

Bernard amesema wazi aliingiziwa pesa kwenye account yake akaziamru zirudi maana yeye hazifahamu, na kwa kuhofia kesi ya uhujumu.

uchumi akaamru manager wa bank usika azirudishe.
 
KULE.KAMATI YA MAADILI KUNA MAWILI
1)ARUDISHE FEDHA YA YANGA MAISHAYAENDELE KAMATIYASHERIA AIKUWA NA MAMLAAKA HAYO..
MORRY NO2D
PICHA INAENDELEA .KULE UKIINGIZWA MKONOWA NANII UNAJUA NN NEXTY
MORRISON ATAFUNGIWA KWAMDAKIDOGO
Hakuna hela aliyochukua angalia emails zake kashapost kuna hela iliingia kwenye account yake bila kujua imetoka kwa nani akamwandikia emails branch manager wa bank husika na akawacopy viongozi wote wa yanga $25,000 hakuna hela ya yanga aliyokula
 
Imagine jitu linashinda kutwa nzima ofisi za TFF kusubiri hukumu ya Morrison vs Yanga wakati ukiambiwa udai tume huru na katiba mpya hutaki hii ni akili au matope!

Ndiyo maana Lucy alisema ukweli tukasema ametutukana. Hivi hiki kilichotokea sio uzwazwa
 
Kuna njama za wazi kabisa kuwa Kamati ya TFF na maamuzi yake kumhusu Moris, inapanga kuibeba Simba. Hujuma kama hizi dhidi ya baadhi ya vilabu zinaua mpira hivyo ni vema serikali iingilie kati. Halafu nadhani pia Rais wa TFF achunguzwe vizuri malengo yake katika soka letu, simwelewi elewi!
Tulia, punguza jazba. Usiseme vilabu vinaua mpira, sema Yanga inakufa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom