Ali Kiba ni mwana Yanga SC 100% kaja Simba SC ili tu Kuungwa mkono na Vita yake dhidi ya Hasimu wake Diamond Platnumz

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,631
108,992
GENTAMYCINE sijashangaa sana kwa hili la Ali Kiba ( mwana Yanga SC lia lia kwa 100% ) kuhamia Simba SC kwani kama Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni mwana Yanga SC lia lia, Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia, Mjumbe wa zamani Simba SC ( tena nimesoma nae Sekondari ) Said Tuli ( sasa ni Mshauri Kivuli wa Klabu ya Simba ) japo ni Wakala wa Wachezaji ni mwana Yanga SC lia lia, Mratibu wa Timu Abbas nae akiwa ni mwana Yanga SC lia lia na Fred Ngajiro ( Fred Vunjabei ) aliyekuwa Kit Sponsor Wetu alikuwa na ni mwana Yanga SC lia lia kwanini na Yeye Kirusi Ali Kiba asiwe mwana Simba SC Usoni ila mwana Yanga SC rohoni?

Halafu Yanga SC wakisema ( tena kwa Kutamba ) kuwa Watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League na kwamba watatufunga mno Simba SC huwa mnawakatalia na hamuwaelewi.

Hovyo kabisa yaani Mtu ana Bifu lake la Kushindwa Mziki na Kubanduliwa ampendae na Mwamba Nasib na kamshindwa kuona atafute Msaada wa Kusapotiwa Kimuziki na Kurudishwa katika Chati akaona aje Kwetu Mimbumbumbu ( Fools ) na kweli tumempokea na tarehe 6 August, 2023 tunaenda Kumpandisha Chati kisha akisharejea katika Kiwango chake mwakani anarejea zake Yanga SC anakokupenda zaidi.

Yaani Ali Kiba ambaye aligombana na Mchezaji Haruna Fafhil Hakizimana Niyonzima alipoihama Yanga SC na kuja Simba SC hadi Wakaufuta Urafiki na Kukacha kabisa Kuntembelea Niyonzima alipokuwa akikaa Sinza leo hii anakuja Kutubania Pua yake na kusema.... kuanzia leo Mimi ni mwana Simba SC.....

Yaani mmenikera na kuniboa Kweli!!
 
Drake ni chiccago lialia lakini anaendaga kwenye game za Lakers

Farhan kaandika fact sana..Tunautoa mpira kwenye burudani tunahamia kwenye Biashara..hizi mentality za msanii ni yanga huyu ni Simba zipitwe na wakati sote tunajua ni upepo tu..

Burna boy ni Man U l kindaki na ashasema anaichukia city baada kupokea kipigo cha 6-3 lakini UCL ndo alitumbwiza shoo la kibabe.Na akapiga picha na kina grealish.angekataa kisa yeye ni Man U lia lia???
 
Nadhani team hazina tatizo lolote kuhusu mtu anayepaswa kuhudhuria tamasha lao sio lazima.awe mshabiki wao ila jambo la msingi ni yeye msanii kufanya ubunifu ambao mashabiki halisi watapata hamasa.

Hiki ndicho alichofanya Kiba. Kiba ni Yanga damu ila makolo wameaminishwa na watajaa kujisikia ile siku ya club yao sababu its just a mind game.

Hata Diamond mwenyewe anajulikana ni Simba damu ila alisema amehamia Yanga eti sababu ya Manara ila ukweli unajulikana alikuwa na deals zake tu.

Kwa mashabiki halisi wa hizi team ukiwa na hasira utaumia sana ila hata wewe ukipewa deal la kuvaa jezi ya simba ingali wewe ni Yanga na wakasema watakulipa milioni 100 hivi utakataa kisa unashabikia Yanga? Ushabiki upo damuni ila hiyo ya biashara wala haisumbui japo nami imeniuma maana pia mie ni team Kiba hapo tu😁
 
Nadhani team hazina tatizo lolote kuhusu mtu anayepaswa kuhudhuria tamasha lao sio lazima.awe mshabiki wao ila jambo la msingi ni yeye msanii kufanya ubunifu ambao mashabiki halisi watapata hamasa.

Hiki ndicho alichofanya Kiba. Kiba ni Yanga damu ila makolo wameaminishwa na watajaa kujisikia ile siku ya club yao sababu its just a mind game.

Hata Diamond mwenyewe anajulikana ni Simba damu ila alisema amehamia Yanga eti sababu ya Manara ila ukweli unajulikana alikuwa na deals zake tu.

Kwa mashabiki halisi wa hizi team ukiwa na hasira utaumia sana ila hata wewe ukipewa deal la kuvaa jezi ya simba ingali wewe ni Yanga na wakasema watakulipa milioni 100 hivi utakataa kisa unashabikia Yanga? Ushabiki upo damuni ila hiyo ya biashara wala haisumbui japo nami imeniuma maana pia mie ni team Kiba hapo tu
Ndio umuelekeze huyo mtoa mada, maana kaja speed wakati hili sio jambo la ushangaza kwenye masuala ya kibiashara. Analeta hisia kwenye mambo madogo kama haya.
 
GENTAMYCINE sijashangaa sana kwa hili la Ali Kiba ( mwana Yanga SC lia lia kwa 100% ) kuhamia Simba SC kwani kama Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni mwana Yanga SC lia lia, Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia, Mjumbe wa zamani Simba SC ( tena nimesoma nae Sekondari ) Said Tuli ( sasa ni Mshauri Kivuli wa Klabu ya Simba ) japo ni Wakala wa Wachezaji ni mwana Yanga SC lia lia, Mratibu wa Timu Abbas nae akiwa ni mwana Yanga SC lia lia na Fred Ngajiro ( Fred Vunjabei ) aliyekuwa Kit Sponsor Wetu alikuwa na ni mwana Yanga SC lia lia kwanini na Yeye Kirusi Ali Kiba asiwe mwana Simba SC Usoni ila mwana Yanga SC rohoni?

Halafu Yanga SC wakisema ( tena kwa Kutamba ) kuwa Watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League na kwamba watatufunga mno Simba SC huwa mnawakatalia na hamuwaelewi.

Hovyo kabisa yaani Mtu ana Bifu lake la Kushindwa Mziki na Kubanduliwa ampendae na Mwamba Nasib na kamshindwa kuona atafute Msaada wa Kusapotiwa Kimuziki na Kurudishwa katika Chati akaona aje Kwetu Mimbumbumbu ( Fools ) na kweli tumempokea na tarehe 6 August, 2023 tunaenda Kumpandisha Chati kisha akisharejea katika Kiwango chake mwakani anarejea zake Yanga SC anakokupenda zaidi.

Yaani Ali Kiba ambaye aligombana na Mchezaji Haruna Fafhil Hakizimana Niyonzima alipoihama Yanga SC na kuja Simba SC hadi Wakaufuta Urafiki na Kukacha kabisa Kuntembelea Niyonzima alipokuwa akikaa Sinza leo hii anakuja Kutubania Pua yake na kusema.... kuanzia leo Mimi ni mwana Simba SC.....

Yaani mmenikera na kuniboa Kweli!!
GENTAMYCINE

"akaona aje Kwetu Mimbumbumbu ( Fools ) na kweli tumempokea..."
 
Punguza makasiriko yasiyo lazima...
 
Back
Top Bottom