Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Wewe si unamuita chizi?, Ikitokea akafariki utamuona Mh Dr JK amekuwa wa kwanza kuongoza mazishi.
combinenga3.jpg


Angalia alivyovaa kandambili huyu kweli ana akili timamu wasome na hawa wana JF.
hakikisheni havui nguo tu hadharani, maana akili yake inamtosha mwenyewe
Soma na hii.
Hahahahaha hapana huyu hafai ni kichaa kabisa. Huyu labda ni mbunge wa vichaa.
Soma na hii.
Wait and see, asije akavua nguo kwenye kampeni kama siku ileeee!:A S 39:
Soma na hii.
Sasa ni rasmi chadema ni cha wahuni
Hayo mambo ya kifo nakuachie wewe kamanda.
 
Hivi siku hizi mtu akitangaza kujiunga CDM tayari anakuwa mgombea ubunge wa jimbo 2015. Jamani, kwani yapo majimbo mangapi ndani ya nchi hii; au mi ndo nimepotea?
 
Karibu kamanda sele,twendeni tutafika tu.Nami muda huu nipo kwenye kikao cha ndani cha chama hapa tabura.Ni pamoja na wanafunzi wa vyuo vya Tabora ikiwa pamoja na Saut
 
[h=5]Afande Sele The'King[/h]3 hours ago via mobile

Hakuna kusanda,hakuna kumbwanda,mbele kwa mbele makamanda,vua gamba vaa gwanda kisha kaza mkanda, wanashuka sisi tunapandaaa,,,,Leo tunaanza kuandika hisyoria mpya ktk mkoa wetu wa morogoro na tz kwa ujumla kwa sababu nikiwa kama msanii wa muda mrefu na mfalme pekee wa mzk wa kizazi kipya ninaetunga nyimbo zangu kwa kuzingatia ujumbe muhimu ktk jamii kwa mambo ya kisiasa,kiuchumi,elimu,amani na up...endo nk,sasa leo nimeamua kwa ridhaa yangu iliyosukumwa na uzalendo na mapenz makubwa kwa taifa langu kuchukua kadi ya kujiunga rasmi uanachama wa CHADEMA,tukio hilo kubwa litafanyika leo jioni ktk mkutano wa hadhara utakaofanyika kata yetu ya mafiga/misufini na utahudhuriwa na viongoz mbalimbali wa chama kutoka makao makuu ya chama dsm pamoja na mbunge wa nyamagana mh ezekiel wenje,kwa wakaz wa moro wazalendo nyote mnakaribishwa saaana,ahsanteni wana'ndugu,siasa si uadui,tupingane/tusipigane,Pendo moja!,,,,

IMG_6156.JPG
 
Afande sele miaka yote yupo chadema. Kama muuza vitumbua, hakuna mnunuzi, kw hiyo ameamua kujiuzia. Chadema imechokwa haraka tofauti na matarajio ya wengi

Walokichoka CDM ni wale wote wasiojua uhitaji mkubwa wa nchi hii kufikia maendeleo ya kweli ktk nyanja zote za maisha ya wa tz! Nahisi nawe ni mmoja wao!
 
Sijui hata km unaelewa unachokiongea. Una ushahid kuwa wamebakwa? Lete ushahid. Otherwise hizi ni porojo tuu

Unataka ushahidi upi? ambake dadayo au akusodome wewe ndo uamini kuwa le profeser kweli ni mbakaji???
 
Msanii Afande Sele leo jioni anatarajiwa kujiunga rasmi na CHADEMA katika mkutano mkubwa utakaofanyika katika kata ya Mafiga na Misufini.

ASANTE SELE KWA IMANI JUU YA WAKOMBOZI CHADEMA.




Ndege wafananao huruka pamoja!amejua wapi pa kupata majani kirahisi,kuanzia kwa mwenyek....
 
Ushahidi mbona umo humuhumu Jamii Forums,
Wewe unataka nikuletee nyumbani kwako?

Hivi unajua ushahidi wa kesi ya ubakaji wewe kilaza, there must be an evidence beyond doubt kuwa palikuwa na penetration... So huo ushahid wa kuwepo kw penetration nameutafuta sana huo ushahid hapa jf sijauona
 
Yupo CHADEMA siku nyingi, na tetesi zilisema atakuwa mgombea ubunge, Ndipo wakati anaimba na kuvua nguo watu wakahoji mbunge mtarajiwa wa Chadema kuvua nguo
 
Hivi unajua ushahidi wa kesi ya ubakaji wewe kilaza, there must be an evidence beyond doubt kuwa palikuwa na penetration... So huo ushahid wa kuwepo kw penetra tin nameutafuta sana huo ushahid hapa jf sijauona
Hiyo penetration ni report ya daktari tu.
Bado kuna kukiri au kukanusha kwa mtenda na mtendewa.
Hujasoma meseji za mheshimiwa akiomba wayamalize, hiyo tafsiri yake ni kukiri kuwa alibaka.
 
Kamanda usikurupuke kujibu pumba wapi nimesema hana haki, sikiliza wewe kauzu unapoingia kwenye siasa lazima watu wakujadili umesikia! watu wanamjadili Rais Kikwete sembuse huyu chizi.
Ni kweli mkuu ukiingia katika mambo kama haya lazima ujadiliwe hasa ukiwa celebrity, nakubali kuwa Mkulu anajadiliwa sana, ila tujiulize anajadiliwa katika lipi? Vipi jamaa hapo ofisini wanasemaje juu ya wanamuziki kukimbilia CDM?
 
combinenga3.jpg


Angalia alivyovaa kandambili huyu kweli ana akili timamu wasome na hawa wana JF.

Soma na hii.

Soma na hii.

Soma na hii.

Hayo mambo ya kifo nakuachie wewe kamanda.
Hizi picha ndizo zinampandisha sana ujue, kumbuka Clinton watu walifikiri kashfa ya Monika ingemmaliza kumbe alipokiri ikampaishha sana, Afande ninavyomfahamu hili hata ukimuuliza atakubali, si mnafiki na hapo ndipo wenye ajenda za "wasafi" na "masharobaro" wanaaibika. Tunataka mapinduzi ya kifikra ambayo kila mara katika nyimbo zake Afande kasimamia na siyo mapinduzi ya kimavazi.
 
Back
Top Bottom