Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Morogoro: Msanii Afande Sele kujiunga na CHADEMA leo jioni

Hii ni alama ya desperation

Kila ninapotizama post zako nasikitishwa na mwelekeo wa vijana wa tanzania, kwanini tumekuwa wepesi kiwango hiki? vijana wengi ni wa aina hii ambao hawajui wanachokisimamia wanaburuzwa Na upepo unakokwenda kutegemeana na wanaowashabikia au wanaowalipa wanakokwenda, inasikitisha sana
 
Karibu kamanda ktk chama cha ukombozi maake zamani ulikua mkereketwa tu wa chadema sasa chukua kadi tokomeza MAFISADI
 
Afande sele anaweza kuonekana mcharuko kwa mwonekano lakini kwa chama kinachohitaji kuvuta vijana wengi upande wake nina amini ataisaidia chadema, Sele anauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja, lets wait and see!!
 
Mungi

Chadema imkutia upofu kabisa hivi mtu kama Afande Sele atawapatia ukombozi upi? habu muangalie hapa chini huyu kamanda wenu mpya.

afande_sele4.jpg

afande sele ni kama lema wa arusha. Kale ka mchezo ndio mana huvua nguo pindi anaponogewa kuimba
 
Last edited by a moderator:
Hizi picha ndizo zinampandisha sana ujue, kumbuka Clinton watu walifikiri kashfa ya Monika ingemmaliza kumbe alipokiri ikampaishha sana, Afande ninavyomfahamu hili hata ukimuuliza atakubali, si mnafiki na hapo ndipo wenye ajenda za "wasafi" na "masharobaro" wanaaibika. Tunataka mapinduzi ya kifikra ambayo kila mara katika nyimbo zake Afande kasimamia na siyo mapinduzi ya kimavazi.
kumbe Afande Sele naye ana kashfa?
 
imewauma ee! Nyoo! Na bado mpaka magamba muombe po 2015 chadema lazima tukinukishe,viva a.sele

Obheja poti,ni kweli kinawauma sana,hao magamba,hilo ni shambulizi la kushitukiza,na bado tutapambana hadi tone la mwisho,tumewakaba mpaka wamedata,maana fomesheni hii ni kukaba mpaka penati,wasanii wanajiunga bila kuhongwa,maana yake ni kwamba kura za wapenda mziki wa kizazi kipya tunazidi kuzikusanya,mawakili wasomi tunao tena waliobobea,bado wapenda soka muda si mrefu watawasikia wakijitangaxa kuchukua kadi,watakomaje poti hawa magamba.
Nawasilisha
 
kheri bhange kuliko kubwiya yale mambo yako

Kwa kweli mambo ya Ritz ni hatari zaidi ya majani,kumbukeni kuna mkoa fulani majani ni mboga na ni dawa pia,nikumbusheni ni mkoa gani kusini mwa Tanzania?
 
Hivi unajua ushahidi wa kesi ya ubakaji wewe kilaza, there must be an evidence beyond doubt kuwa palikuwa na penetration... So huo ushahid wa kuwepo kw penetration nameutafuta sana huo ushahid hapa jf sijauona

Katika kesi ya Babu Seya na wanawe kulikuwa na ushahidi wa 'penetration' au ndio double standard?

Wasio nacho wanawekwa ndani na ushahidi wa kimazingira ila walio nacho hata kuchunguzwa hawachunguzwi badala yake victims wanaambiwa walete ushahidi usiopingika yaani wafanye kazi ya polisi.

This is not fair!
 
Hivi unajua ushahidi wa kesi ya ubakaji wewe kilaza, there must be an evidence beyond doubt kuwa palikuwa na penetration... So huo ushahid wa kuwepo kw penetration nameutafuta sana huo ushahid hapa jf sijauona
Mkuu six,
kwangu leo net ilikuwa hovyo kabisa nimekuta hii post nimecheka sana leo huyu sele si yule anayevua nguo jukwaani au ni mwingine jamani.

Kama ulivyosema awali kuwa huyu sele yupo chadema kitambo kauza sana vitumbua havikupata wateja kabisa sasa bungeni ataenda kuvua nguo kwa spika au kweli vyama vingine manyago.
 
Back
Top Bottom