Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

na kazi ya kichwa siyo kufuga nywele. ila wazembe wasidhani hapa namtetea January makamba lah hasha ni heri nikawe mkimbizi kuliko kutawaliwa na wahuni kama hawa kina makamba.

jeshi letu wakubwa jeshi wameridhika basi kila mtu anadhani anaweza kuwa command inchief, hii nchi ilipaswa kuwa chini ya jeshi kwa angalau miaka mitano ijayo ili tutengeneze katiba ya wananchi kwanza.

Mkuu mbona una ghadhab sana na wewe unanyoa unga unga kama mimi nini?
 
Jaribu kumeuelewa askofu kwanza kabla ya kutokwa povu....Askofu ametumia lugha ya picha kufikisha ujumbe wake kwa hadhira iliyokusudiwa. Kama huelewi jambo ni bora ukauliza kabla ya kuchangia kwa mhemuko wa chuki ya kidini!!!!!

Wewe mburula hakuna muhemko wa chuki ya kidini kwenye maandiko yangu, akili yako ndogo unadhani majoho huvaliwa na mapadri TU KUMBE HATA MASHEIKH HUVAA MAJOHO!!
 
Teh..mnyoa kipara a.k.a baharia aombewe.?
 
Mokiwa alishamkataa kitambo tu!
 
hahaaah!! kweli kabisa...hata samson aliponyolewa kipara na delila mungu alimkataa na baada ya kumkataa akapigwa na wafilisti
 
yamkini alifumba neno mwenye umri mdogo kwa kutumia neno kipara na ndo maana mbele akasema tunataka mtu mkomavu.
 
Au Ask. Mokiwa alitumia Tafsida....labda hakumaani hicho kipara tunachokijua. Vinginevyo, hii ni too low...!!
 
juzi tulikuwa harambee kuchangia ununuzi wa gari ya paroko, niliwaeleza wazi natoa pesa yangu lakini gari ni lazima ubavuni iandikwe kwa maandishi makubwa kwamba gari hii ni ya parokia gani ili itambulike, mwenye magendo yake akodi tax ndio aende night club na guest house.

mokiwa hana akili na ndio maana waanglicana wamempiga chini uaskofu mkuu, jacob zuma ananyowa kipara na wasouth wamemwamini, hivi kama msomi wa level ya phd kama mokiwa anakuja na reasoning za kitoto namna hii bora mwanangu nimpeleke veta tu akapate ujuzi. tuna ombwe la wasomi wasioelimika Tanzania.
tuwatafakari marais wanyoa vipara.

nitatoa mifano miwili tu.
Jacob zuma...aliingia madarakani akiwa amebebwa na nguvu ya chama na sio kwa mfumo wa kura kama za hapa kwetu,ni mmoja kati ya viongozi wenye kashfa nyingi duniani kuanzia za ufisadi hadi ufuska na kuoa kila mwaka pamoja na vimada wengi kila kona.
ukiacha mikutano ya taasisi za kimataifa ni nadra kusikia hata amepata mualiko binafsi wa heshima,marafiki zake ni wazee mafuska kama sepp blatter aliyeachia ngazi kwa kashfa ya rushwa na ngono hivi majuzi tu n.k

pierre nkurunzinza...yeye ndo bado yuko kwenye headline za press media za dunia nzima kama vile bila yeye burundi haipo.

Joseph kabila kanombe....huyu nae ni kama nkurunzinza wa burundi yuko pale kwa maslahi ya kagame na rwanda pamoja na kuiba maliasili ya DRC basi.

kwa hiyo nchi hii inaachana na mafisadi na hatutaki watu ambao hawafanani hata na icon ya urais zaidi ya kupeleka makundi ya uwizi tu pale ikulu basi na si lingine:sorry:
 
umemaliza kaka
 
Umemaliza!
 
juzi tulikuwa harambee kuchangia ununuzi wa gari ya paroko, niliwaeleza wazi natoa pesa yangu lakini gari ni lazima ubavuni iandikwe kwa maandishi makubwa kwamba gari hii ni ya parokia gani ili itambulike, mwenye magendo yake akodi tax ndio aende night club na guest house.

mokiwa hana akili na ndio maana waanglicana wamempiga chini uaskofu mkuu, jacob zuma ananyowa kipara na wasouth wamemwamini, hivi kama msomi wa level ya phd kama mokiwa anakuja na reasoning za kitoto namna hii bora mwanangu nimpeleke veta tu akapate ujuzi. tuna ombwe la wasomi wasioelimika Tanzania.

Baba Askofu Mokiwa HANA Ph.D. Huu udakitari ni wa kutunukiwa kwa heshima kama wa Mama Rwakatare, Jakaya Kikwete na wengine wa aina hiyo. Huenda siku za karibuni hata Edward Ngoyai huenda naye akaukwaa!
 
Huyu mwenye mambo ya kitoto atakuwa january,
 
Back
Top Bottom