Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

Kwa uelewa wangu katika fasihi hapa Mokiwa kaongea kwa lugha nyepesi lakini ngumu kutafsirika,uelewa wangu ni hivi;jaribu kuangalia waamini wa dini zetu hizi mbili yaani uislamu na ukristo ni waamini wa upande upi ambao huwa wananyoa sana vipara.I do not need your answer just swallow it na ikiwezekana fumba macho umeze kiwembe.
 
- Hayamuhusu ya Urais wameshindwa ya Flora Mbasha sasa anataka kuingilia ya siasa kutaka kutafuta ulaji tu hayamuhusu!1

Le Mutuz

Hivi wewe ni lini utakuwa na akili? Ndio nini hiki ulichoandika? Ama kweli Mungu alikupa mwili mkubwa lakini kakunyima akili!!!!!!!!
 
Uraisi umekuwa wa kuchezea chezea tu kisa kuwa mbunge tu na kuaminiwa jimboni basi mabega juuu na masikio juu
 
Hivi wewe ni lini utakuwa na akili? Ndio nini hiki ulichoandika? Ama kweli Mungu alikupa mwili mkubwa lakini kakunyima akili!!!!!!!!

- Wewe huna jipya akili zako kwani wewe umeandika nini hapa le mburulazzzz? nyamaza

Le Mutuz
 
juzi tulikuwa harambee kuchangia ununuzi wa gari ya paroko, niliwaeleza wazi natoa pesa yangu lakini gari ni lazima ubavuni iandikwe kwa maandishi makubwa kwamba gari hii ni ya parokia gani ili itambulike, mwenye magendo yake akodi tax ndio aende night club na guest house.

mokiwa hana akili na ndio maana waanglicana wamempiga chini uaskofu mkuu, jacob zuma ananyowa kipara na wasouth wamemwamini, hivi kama msomi wa level ya phd kama mokiwa anakuja na reasoning za kitoto namna hii bora mwanangu nimpeleke veta tu akapate ujuzi. tuna ombwe la wasomi wasioelimika Tanzania.

Zuma anajulikana sana kwa utovu wa nidham hasa Uzinzi na ufisadi.
Ametuhumuwa mara nyingi katika kasfa kibao ila ANC wanachama wake ni vipofu kama wa CCM kumchagua fisadi na mwanaume kahaba.
 
Zuma anajulikana sana kwa utovu wa nidham hasa Uzinzi na ufisadi.
Ametuhumuwa mara nyingi katika kasfa kibao ila ANC wanachama wake ni vipofu kama wa CCM kumchagua fisadi na mwanaume kahaba.

hivi unajuwa kwamba hata yesu alituhumiwa pia? kwahiyo wewe na majority ya wasouth africa wewe ndio una akili kuliko wao?
 
Nitashangaa sana kama huyu kijana wa kijiweni atapigiwa chapuo la urais..!
 
Huo ni ujumbe kwa January Makamba wenye akili tumemuelewa msio na akili hamjaelewa anachokimaanisha

Cowardice of the first order!!!!
If not hypocrite!!!!

Akili sio nywele za kwapa, ukibalehe zinaota!!!
 
Kwenda zako, kitabu gani hicho. Kawadanganye wadogo zako. Weka hichi kitabu cha biblia kinachosema hivyo, tumbafu

Hujanielewa Mkuu, nina maana lugha za fasihi kama alizotumia Askofu ndizo zinazotumika kwenye Biblia na zinahitaji maono ili ujue biblia imemaanisha nini ama sivyo utaiona biblia kama imekosewa , sijasema kuna kitabu cha kwenye Biblia kinachosema mambo ya Makamba. Shirikisha ubongo wako na vidole vyako kabla hujachapa bandiko.
 
Wewe umemwelewe.
Kwani Mwl Nyerere aliposema JK bado kijana mwaka 2005 hakujua kuwa JK
alikuwa na Umri mkubwa kuliko umri wa Mwl Nyerere wakati anaingia ikulu
mwaka 1961? Nyerere alitumia umri kidiplomasia tu. Alikuwa na maana kuwa
JK hafai kuwa Rais. Na sasa tumevuna tulichopanda.
Ha ha ha ha.. e bana imekaa safi sana hii..
 
na kazi ya kichwa siyo kufuga nywele. ila wazembe wasidhani hapa namtetea January makamba lah hasha ni heri nikawe mkimbizi kuliko kutawaliwa na wahuni kama hawa kina makamba.

jeshi letu wakubwa jeshi wameridhika basi kila mtu anadhani anaweza kuwa command inchief, hii nchi ilipaswa kuwa chini ya jeshi kwa angalau miaka mitano ijayo ili tutengeneze katiba ya wananchi kwanza.

Inchi iwe chini ya jeshi kwa lipi? Unazijua sheria za jeshi wewe? Kiongozi aliyewekwa na wananchi huwezi kumng'oa tu kirahisi kwa kuwa ameshindwa kutekeleza ahadi zake. Soma sheria za kijeshi za kimataifa utajua ni wakati gani jeshi linaweza kulazimika kumtoa raisi madarakani.
 
Safari ya kuelekea ikulu his excellence january makamba
paperclip.png
Attached Thumbnails
 
Askofu alikuwa na maana ya mbali zaidi ya hii, ametumia "Wanyoa Unga" kama kiwakilishi tu katika fasihi.

unatetea watu waliochanganyikiwa huenda na wewe upo kwenye grupu moja.
 
Hujanielewa Mkuu, nina maana lugha za fasihi kama alizotumia Askofu ndizo zinazotumika kwenye Biblia na zinahitaji maono ili ujue biblia imemaanisha nini ama sivyo utaiona biblia kama imekosewa , sijasema kuna kitabu cha kwenye Biblia kinachosema mambo ya Makamba. Shirikisha ubongo wako na vidole vyako kabla hujachapa bandiko.
Hakuna fasihi yoyote aliyotumia huyu mhuni kama wahuni wengine tu kwanza hiyo fasihi kasoma wapi zaidi ya kufanya utapeli kutumia mungu.
 
jamani Mokiwa ameongea kwa tafsida tu, mimi nadhani alitaka kusema kua nchi haiwezi kuwa na raisi ambaye bado mambo ya ujana yanamuongoza. Ni sawa na makamba bado ni kijana anawezaua na maamuzi kama ya vijana wengine kama kwenda disko, kunyoa unga,Uzinzi, na mengine mengi ambayo wanafanya vijana wa kisasa, na ni kweli hao vijana wote wanaotaka kugombea uraisi hawana sifa na experience za maisha. Sasa kama January ana mke na mtoto mmoja wa miaka 5, atawezaje kuongoza wazee, atawaambia nini, kwani tunaona sasa hivi wanavyovurunda ndo tuwape uraisi? Watakwenda kuangalia mechi Ulaya za Manchester na man U , sasa hivi hatuwataki maraisi wa hivyo
 
Mokiwa aache kanisa aje kwenye siasa, ni aibu kwa askofu na taasisi kubwa anayoingoza kuwa na analysis kama hii. Hivi kuna mahusiano gani kati ya kunyoa na uongozi? Mbona Jacob Juma ananyoa kipara na anaongoza nchi
  • Mbona watu wenye nywele wameghubikwa na ufisadi wa richmond, iptl n.k
  • Sasa akili kuwa ubaguzi na unyanyasaji umeanzia kanisani kwake

Au tunakariri misemo kuwa akili ni nywele
 
Akizungumzia sakata la kuibuka kwa watu wanaojitangaza kuwania urais, Askofu mstaafu ndugu Valentine Mokiwa amesema kuwa nchi ya Tanzania bado ni changa sana hivyo haipaswi kuongozwa na wanyoa 'unga' maarufu kama 'vipara'.

"Nchi yetu bado ni changa sana hivyo sii busara kuongozwa na wanyoa 'unga'.Tunahitaji damu iliyokomaa kutuongoza". Alisema Mokiwa huku akionekana dhahiri kumlenga mmoja wa watu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni kupitia kituo kimoja maarufu duniani cha runinga ya idhaa ya Kiswahili.

Simkubali kabisa Janury ila Mokiwa ni mhuni flani tu hivi, hana moral authority ya kuongea hivyo
 
Back
Top Bottom