Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,420
- 33,982
Kimbwembe,
Hukusema kweli kuwa "nawajua mashujaa wa Dar peke yao."
Katika kitabu changu nimeeleza mashujaa wa Jimbo la Kusini, Jimbo la Kati, Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro, Tanga, Jimbo la Magharibi.
Ungefanya utafiti kidogo tu hili ungelijua.