Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

OK! TUASSUME WALIODAI UHURU WA TANGANYIKA WOTE WALIKUWA WAISLAM!

Then SO WHAT????
Au tuisilimishe nchi?
 
Kweli nimeaibika kama nipo muda wote huo bila kujua kuna jukwaa la dini.Ila hata nikienda kule siwezi kuacha kuhubiri ninachoamini ktk dini yangu nibaki kuharibu imani ya dini nyingine na hisia za waumini wake aidha kwa kejeli,kiburi,ujuaji na majivuno kama ww.Pia elimu yangu si ya kumdhuru mtu kama ww utumiavyo hako kadogo ulikonako.Ni rahisi sana mtu kukuelewa mlengo wako ww hata pale unapoandika sentensi mbili tatu utataka uwakwaze wasio na dini yako!Tatizo lako kubwa ni kuwa extrimist na kutafsiri kila kijacho kwa misingi ya dini yako.Usiwe na akili za Boko haram ambao wao wanakataza elimu na utamaduni wa western lakini bunduki,magari na teknolojia wanayotumia kwa ushetani wao imetoka huko.

= extremist

Kwanza pole sana kwa kuwa nyuma miaka miwili.

Pili hilo neno 'extremist" ni sifa kubwa sana kupita maelezo, hivi ukiwa daktari na hauko "extreme" kwenye kazi yako utakuwa wewe ni daktari unaewatendea haki wagonjwa wako? fikiri.

"hako kadogo" ulikonako wewe katumie kwa busara na si kwa kiherehere siku nyingine uwache kiherehere, utaaibika zaidi kwa kiherehere chako.
 
Ninachoamini hawa wazee wa Kariakoo wenye nasaba na Mohamed Said walikuwa hawana Ujasiri wa kumkabili Mkoloni.

Hukatazwi kuamini hata sanamu la mzungu lililovalishwa nepi, itakuwa hilo? unanchekesha
 
Wayahudi washenzi Sana walimkong'ota yule msela wa kizungu halafu badae wakamtundika mtini kama nyani
 
Huyu Mzee Mohamed Said hana nia ya dhati ya kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika,ila ana mtima nyongo.Kwa sababu kama kweli anasema iliyokuwepo iliacha wazee wake wa kkoo sasa mbona yake imeacha wazee wengine.Namshauri afanye tafiti kama alivyofanya kwa kuhusu wazee wake afanye na kwa wengine ili aje na historia iliyokamilika.Au aandike historia ya kkoo nafikiri itafaa zaidi kuliko kutudanganya.
 
huyu mzee anagubu,atahangaika na kufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetere
 
= extremist

Kwanza pole sana kwa kuwa nyuma miaka miwili.

Pili hilo neno 'extremist" ni sifa kubwa sana kupita maelezo, hivi ukiwa daktari na hauko "extreme" kwenye kazi yako utakuwa wewe ni daktari unaewatendea haki wagonjwa wako? fikiri.

"hako kadogo" ulikonako wewe katumie kwa busara na si kwa kiherehere siku nyingine uwache kiherehere, utaaibika zaidi kwa kiherehere chako.
Acha kujishika na vipoint vidogo visivyo na mashiko.Mi kielimu bibi si size yako!Ni vema ukaondoa akili yako huko kwenye kipedo huenda ukaeleweka.Hata wewe na huyo faby mnaruhusiwa kuendelea kuamini majambia na mabikira 7.Sasa sijui wewe umeandaliwa nini.Au labda ukienda ahera unakwenda kukarabatiwa ubikira kwa maandalizi ya Shekau.
 
Kweli kabisa, wewe kielimu si saizi yangu, unavyoandika tu hilo limejibaini hata bila kusema.

Hivi wewe wazee wako hawana historia yoyote katika nchi hii ukatupa hapa tufaidike?

Hapo sasa.
 
Ukitaka historia ya wazee wangu njoo home mie sio mnyimi.
Angalizo:usije na shari.
 
Wayahudi washenzi Sana walimkong'ota yule msela wa kizungu halafu badae wakamtundika mtini kama nyani

Hey, shut your big bucket a.k.a domo kubwa, Puss wee.
 
OKW BOBAN SUNZU hao uliowataja wamekaa kama vile ni wakristo na huyu mzee yeye anaamini waliofanya hivyo ni waislamu... yeye anapotizama harakati za uhuru anatizama kwa mlengo wa kidini. bahati mbaya sana haijamsaidia maana kelele zote anazopiga na kujaribu kujitutumua bado watu wanamwona ni kama mpiga zumari barabarani ... yeye anajikita kupingana na mfumo kristo anadhani yeye alionewa na anaendelea kuonewa. ukiona mtu siku zote ni mlalamishi ujue psychological ana tatizo mimi nlifundishwa hivyo.
 
Ukitaka historia ya wazee wangu njoo home mie sio mnyimi.
Angalizo:usije na shari.

Hayo yakujidai sijui historia home ni ujinga tu uliokujaa na hauna cha historia wala nini. Wewe soma hapa kisha uanze kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Wacha nisome historia ya wazee wetu wa Kariakoo na Gerezani waliokuwa mstari wa mbele katika kuupinga ukoloni kupitia kwa Al Alama Mohamed Said
 
dos santos hakuna ambacho kinaweza kumuumiza mkristo hapo wakristo nawajua wao wapo busy sana na mambo yao. huwa wahangaiki na mambo madogo madogo kama hayo na mengine ndo maana huwasikii wakilalamika hapa watu wanaleta hoja kuwasanifu tu. hata mngesema alileta uhuru sheikh kipozeo watu watafurah tu na watarudi kwenye vitabu shulen vinasemaje... sasa wewe utoke mtihani andika hao wajomba zako kuwa walileta uhuru uone kama utapata hilo swali. sometime mnapoteza muda na nguvu kwa vitu vidogo snaa halaf mnaacha mambo ya msingi. historia ilishaandikwa hairudiwi tena.... huyu mwandishi bado ni wale wale matokeo ya elimu ya Kafiri mzungu. kama mi muongo muulize. banian mbaya kiatu chake daawa. kila ambacho anatumia asilimia 80 ni wazungu walioanzisha hata laptop hizo simu, magari ndege.... sisi tujikalie hapa tule tende ,halua na urojo na tunapata hata nafasi ya kuandika haya kwa sababu ya hawa wakristo ambao ndo wapo busy huko wakati sisi tunahangaika na kunywa kahawa na kuwarushia matope. leta kahawa na kashata 3 tuendelee kucheza bao hapa huku tunapata story za sheikh mohamed said na wenzi wake ila ndo maana najitahidi kuwachukia hawa wazungu... kila sehemu utawakuta... kila sehemu iwe uarabuni au uzunguni.
 
Poa bbe asiyejua maana haambiwi maana.
 
Unapoteza muda wako bure kupanda mpunga baharini kisa umeambiwa ili uote unahitaji maji mengi.Huyo jamaa akili zake ni za kushikiwa, mwenye jazba ,akiambiwa jambo hapimi ukweli wala uhalisia wake,ana muda mchafu wa kuendeleza uanaharakati.Wewe hapo mwambie kuna mtoto mchanga ambaye huenda hata anapolala anajisaidia haja zote lakini kaokolea kitabu kitakataifu utaoni vipedo hivyooo vurugu mtindo mmoja na uharibifu wa mali na uwizi.

Chizi Maarifa,
Unaandika huku umeghadhibika.

Hii huondoa umakini kwa matumizi ya lugha isiyopendeza ya kukashifu.

Kwa ufupi mimi niliandika habari za wazee wangu kwa
kuamini kabisa kuwa zitajulisha dunia historia ambayo
haikuwa ikifahamika.

Nina hakika wewe hukupata kujua kuwa TANU iliasisiwa na Abdul Sykes wewe ukijua historia ya Nyerere tu.

Nina hakika umejifunza mengi kwa kunisoma.

Ni bahati mbaya sana kuwa historia hii ya wazee wangu umechoma nyoyo za wengi kwa kuwa hawa walikuwa Waislam.

Nitafurahi kusoma historia ya mashujaa wengine waliopigania uhuru wa Tanganyika.

Mengine ya matatizo ya kisaikolojia haya yanakuelekea wewe zaidi kwa kuchukizwa na kitabu kuliko mie.

Manazi wa Ujeremani katika miaka ya 1930 walichoma vitabu vilivyoandikwa na Wayahudi.

Fanya utafiti katika hili.
Utajua ni ni nani waliokuwa na tatizo la kisaikolojia.
 
jina unalotumia lina akisi kweli
uwezo wako wa akili. Ulichoandika
bahati mbaya hujakifanyia utafiti ni
zile stori za mitaani. Ukweli mmeumia sana
na maandishi ya Mohamed Said, ndio maana
humuishi kutaka watu wasiamini kile alichoandika.
Kama mnayo historia ya kweli nanyi andikeni kitabu.
dos santos hakuna ambacho kinaweza kumuumiza mkristo hapo wakristo nawajua wao wapo busy sana na mambo yao. huwa wahangaiki na mambo madogo madogo kama hayo na mengine ndo maana huwasikii wakilalamika hapa watu wanaleta hoja kuwasanifu tu. hata mngesema alileta uhuru sheikh kipozeo watu watafurah tu na watarudi kwenye vitabu shulen vinasemaje... sasa wewe utoke mtihani andika hao wajomba zako kuwa walileta uhuru uone kama utapata hilo swali. sometime mnapoteza muda na nguvu kwa vitu vidogo snaa halaf mnaacha mambo ya msingi. historia ilishaandikwa hairudiwi tena.... huyu mwandishi bado ni wale wale matokeo ya elimu ya Kafiri mzungu. kama mi muongo muulize. banian mbaya kiatu chake daawa. kila ambacho anatumia asilimia 80 ni wazungu walioanzisha hata laptop hizo simu, magari ndege.... sisi tujikalie hapa tule tende ,halua na urojo na tunapata hata nafasi ya kuandika haya kwa sababu ya hawa wakristo ambao ndo wapo busy huko wakati sisi tunahangaika na kunywa kahawa na kuwarushia matope. leta kahawa na kashata 3 tuendelee kucheza bao hapa huku tunapata story za sheikh mohamed said na wenzi wake ila ndo maana najitahidi kuwachukia hawa wazungu... kila sehemu utawakuta... kila sehemu iwe uarabuni au uzunguni.
 
Last edited by a moderator:
tuandike vitabu vingapi wakati tayar kuna vitabu vya historia vinavyoelezea ukweli wa histori.Unataka viandikwe vya nini tena? kwan hujasoma historia sheikh? au uliishia madrasa tu unasubir wenzako waje kukudanganya kukwambia sisi waislamu tunakandamizwa? ulalamishi ni roho, ni malezi, ni utamaduni. we hutak kusoma elimu hi ya ya kizungu... unang'ang'ania madrasa halafu unabaki kulalamika miaka yote tumepewa chuo kiwe cha kiislamu lakini waislamu wenyewe wenye uelewa wanapeleka watoto wao Tumaini, Saut. St Gasper n.k sasa hapa tutamlaumu nani? hatuhangaiki kusoma tunasubir watu kadhaa waje na hbr za vijiweni waseme wao ndo wapigania haki zetu... hawa hutumia psychology kutufungasha mabomu halaf wao hawataki kufa. osama pamoja na kuwatoa wenzake sadaka yeye alikuwa anakwepa kufa... huu si ujinga? tunakuwa brainwashed wewe mwenyewe umeacha kutumia hata nickname ya kiisalmu unatumia dos santos ya kikafiri. asalam aleikhum wa rahma tulay wabarakatuh.... kweli kuna kitu hapa? sisi ni akina nani wa kutia aibu kila siku? tunajidhalilisha kwa kujinasibu kinyonge kila siku na malalamishi tele. uarabuni tumefanya nini cha maana? hapa tanzania asilimia kubwa ya shule ni za kikristo sisi hatutaki kusoma tunakaa kutengeneza magaidi.
 
said mohamed sina sababu ya kughadhabika hata kidogo naandia kwa kutumia uchezaji wangu wa lugha na maneno yenye mguso tofaut ili kufikisha ujumbe kwa uyakinifu ilhali nikichokonoa mawazo mujarab toka upande wa pili. siku zote ukiziba jicho moja ukataka kuangalia jambo au mambo kwa mtizamo wako pekee huwez ona kwa mwanga sahihi. kama kila kitu utakichukulia kuwa ni uislamu watu watakuchoka wataona huna jipya na ndicho kinachotokea sasa tukiitizama historia,tukitizama ila jambo kiuislamu mwishoni tutaonekana hatuna mwono wenye mwanga. miaka yote kama tutaendelea kulalamika hatuna solution then wengine watasonga mbele. tukubali kuna tatizo la kisaikolojia ktk uislamu DUNIA NZIMA.... na ndo maana husikii sana wakristo wakilalamika lalamika.... wao wapo busy na mambo yao. they do, we speak.... mi nakushauri andika so many books lakini mwishowe historia inabaki jinsi ilivyo sasa.... by the way mimi hainiathiri kitu kama uhuru uliletwa na nyerere au sheikh mohamed... na watanzania wengi hawana haja na hayo ni kama wale wanaosema mapinduzi yaliongozwa na john okello na ushahid wakaleta lakini sisi hatutaki kusema hilo hivyo tuachane naye awe aliongoza yeye au nani tunashukuru kuwa zanzibar tuliwapindua waliokuwa wanatunyonya tukabak sisi waafrika wenyewe kuingoza nchi hiyo. mimi dini huwa hazinisumbui maana nimefanikiwa kuzijua zote kwa kias kizuri kidogo
 
Binadamu lazima tutaghitilafiana kwa jambo hili au lile.

Hakika ya kutazama kwa jicho moja ni kuwa utayakosa mengine.
Hili mimi nimeliona katika uandishi wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Nasomeshwa na maprofesa wa historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na
wao wanaanza na Nyerere.

Nikawa nashangazwa kwa kuwa hiyo mikutano ya siri ya TANU wakiifanya
nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Aggrey na Sikukuu.

Baba yangu Said Salum alikuwa akiyaona haya yote.

Shariff Abdallah Attas akimuona Nyerere akija kwa Abdul ofisini kwake
Kariakoo alipokuwa Market Master.

Akifuatana na Nyerere mchana kwenda kula kwa mama yetu Mama Daisy
mkewe Abdul Sykes.

Shariff Attas alikuwa akijua nini kilikuwa kinaendelea na hawa wazee wametuachia
kumbukumbu nyingi.

Hawa wote waliona TANU ikiundwa na harakati zake hazikuanza hapo alikuwapo
Chief Kidaha Makwaia na Abdul Sykes na TANU kabla Nyerere hajatokea 1952.

Ikanipitikia kuwa hawa walimu wangu hawaijui historia ya wazee wangu na
TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Walikuwa na jicho moja.

Nikaazimia kuwafunza kwa kuwapa jicho la pili.

Naam semina zilikuwa zikichangamka kiasi nikiwa sipo walimu wote wataniuliza,
"Vipi Mohamed anaumwa?"

Tofauti ya walimu wangu na nyinyi ni kuwa wale walinitia moyo nije kuandika.
Hapa mnapandwa na hasira mkisoma historia hii ya wazee wangu.

Hili la Wakristo kutolalamika nadhani umelileta sipo.
Mada ni "ushujaa wa wazee wangu" kwa hiyo sitasema lolote kuhusu Wakristo.

La unataka tufanye mjadala wa hilo fungua uzi wake makhsusi.

Hayo mengine ya dini nk. nk. sioni haja ya kuyasemea ila hili la Watanzania
kuwa "hawana haja;" na hayo hilo si kweli.

Mimi nikiwa hapa jamvini wengi wanakuja kunisoma na kufanya majadiliano
na mimi labda ikiwa wewe ni mgeni hapa ndipo utakuwa hunifahamu.

Napokea email, simu, txt msg, nyingi kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Leo hii nimeingia usiku kutoka Ulaya kwa mwaliko wa haya haya.

Kuhusu historia ya Zanzibar...

Kitabu maarufu ni cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru,"
na mimi nilikuwa msaidizi wake katika utafiti.

Okello kisa chake kimeelezwa kwa kirefu.
Yeye alikuwa mpiga zumari wa Hamelin.

Najua unaumizwa na historia hii lakini tufanyeje?
Hii historia ilikuwa lazima iandikwe ili ikamilishe historia ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom