Mohamed Mpakanjia is no more!

kwa niaba ya watu wengine,kujiepusha na huu mstakabali,tungeomba hii CHAIN ya mpakanjia ianikwe jamvini
 

Tutaushindaje ugonjwa ambao hakuna anaekufa nao? Inabidi tumuige Mandiba alivyofanya alipofiwa na mwanae. Hakujificha nyuma ya numonia, kisukari, whatever bali aliuambia umma kuwa mwanae alikuwa mwathirika. Mpaka tutakapofika mahali pa kutouonea aibu ugonjwa huu, utatumaliza.

RIP marehemu na poleni wafiwa.

Amandla...........
 

FM:

Numonia kitu gani tena au ndio avereji yenyewe? Anyway, kusema kuwa ugonjwa fulani ndio sababu ya kufa kwa jamaa, hakuna ubaya wowote kwa sababu huko sio kutoa hukumu.
 

Mkuu Masanja,

Tuko pamoja kwa maoni yako mkuu. Watanzania tufike mahali tuseme wazi ni nini kimesababisha kifo cha mtu kuliko hii biashara ya kuficha ficha. Wenzetu wa Uganda ambao hapo awali ugonjwa wa ukimwi uliwashambulia sana, walikuja na sera ya kusema wazi ni kipi kimemuua ndugu na hivyo watu wakawa wanachukua tahadhari ili wasivamie wajane au waume waliofiwa na wake zao. Wakati huo huo mtu alikuwa hawezi kuhama mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine bila barua ya serikali kwani wengine akifiwa na mke Temeke kwa Ukimwi anahamia Tandale na huko anaenda kusambaza. Kwa nini na sisi tusiige mtindo huo kama kweli tunataka kukomesha maambukizi ya makusudi ya HIV?

Simjui Mpakanjia kwa karibu na hivyo siwezi kusema amekufa kwa ukimwi lakini yaliyosemwa na waliotangulia na waliokuwa wanamjua kwa karibu yeye na mke wake marehemu Amina wanayo mengi ya kutufumbua macho na kutufunza.

tiba
 
انّا للہ و انّا الیہ راجعون
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Surely we belong to Allah and to Him shall we return
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.


Nasikia jana alikuwa ameoa...!
 
Khakika ya Binadamu hamna kitu,na Mmungu ametwambia kuwa Kila nafsi itaonya mauti .
 
Niliona kwenye vichwa vya habari vya nipashe ya kesho sikuamia nikafungua JF sasa ndiyo naamini daaaaah..hivi alisha acha biashara za madawa...?
 
Najua ugonjwa ni siri ya mhusika mwenyewe na Daktari wake, lakini sasa kunapokuwa kuna tetesi kuwa Pneumonia imemuondoa mwenzetu tena jijini Dar inabidi public ipewe mwongozo na tahadhari jinsi ya ku-beat huu ugonjwa kwenye sehemu zenye joto kama DAR.

R.I.P Mpakanjia.
 
Yeah ni kweli amefariki dunia katika hospitali ya Lugalo wanadai Rimonia ndo imemmaliza.
Poleni sana wafiwa
R.I.P Mpakanjia.

Mkuu Rimonia ndo ugonjwa gani? R.I.P Boarderway!
 

Sehemu zenye joto ugonjwa huu unaweza kukupata ikiwa una Upungufu wa KInga MWIlini.
 
Maane: Be positive, sasa Dr. Nchimbi kaingiaje hapa? You just needed to say R.I.P Med. If you have someting specific btn Dr. Nchimbi and Med family give out as a separate topic. Wanajamii sisi wote ni watu na tuonyeshe ukomavu wetu kwa kuandika vitu vinavyoendana na mada.
Mungu uilaze Mahali Pema Peponi Roho ya Mohamed. Mungu Ametoa na Mungu Ametwaa, Jina la Mungu lihimidiwe.
 
Kupata tender na kusupply haiuwi shirika ni tabia ya waendeshaji ndiyo inaua shirika. Do you know kuwa RITES wanakodishia mabehewa n.k. TRL kwa bei ya karibia TZS282million? Na hali Dr. Shukuru anasema is not aware????
 
R.I.P Mohamed Mpakanjia

Inanisikitisha sana tunavyomnyooshea marehemu kidole wakati vilivyobakia vinatupoint sisi wenyewe. ni kama tunashangilia kwa yeye kufariki kwa UKIMWI kutokana na matendo yake lakini tukumbuke pia hata sisi tunao uwezekano wa kuupata kwa sababu njia ya kuambukizwa ni nyingi. Leo unashangilia, kesho unapata ajali unaongezewa damu ambayo iko infected. Please tunapaswa kumsikitikia na si kushabikia.
 

MJ1;

Mimi nadhani umekuwa sensitive sana! ukweli ni kwamba lazima tuuzungumzie ukimwi na kuweka kila kitu hadharani kuwaokoa tunaowapenda. kama unakumbuka vizuri, tangu amina afe pamekuwa na mlolongo wa machapisho kwenye magazeti kuhusu mpakanjia na baadhi ya warembo wa mjini

that chain is long and a few of them wameshakuwa exposed. na hata ukisoma humu kwenye hii thread, it all goes back to Liyumba, sasa hebu fikiria ni watanzania wangapi walikuwa wanajua kwamba liyumba ni umeme live?

Kuna wakati hata rais wetu alirefer issue ya magari mekundu, lakini tulikaa kimya, tukampoteza amina, tukakaa kimya na kupotosha jamii ati kauawa, sasa jamaa naye amekwenda... vipi watu wabaki kimya? kesho ukianza kuona picha za ndoa kazi ya wale walioachwa na meddy na ukakuta mtu wako wa karibu, je utakaa kimya??

Its a high time that we stand up and give each other early warnings ili kusaidia tunaowapenda.

That being said, ni vizuri kupima afya na kujua status, iwapo uko swafi then jitahidi kujitunza na iwapo uko positive, then see medical advice. What if Meddy was negative?

Tanzania bila ukimwi, inawezekana

RIP Meddy
 
Last edited:
Tusihukumu kwani hatujui nasi tutakufaje. Muhimu kama unahisi jamaa alikuwa anaishi maisha ambayo hayapendezi basi jifunze kwake na ubadilike wewe ili uwasaidie watu wanaokuzunguka.

Alale pema Meddy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…