Mohamed Mpakanjia is no more! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mohamed Mpakanjia is no more!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mponjoli, Sep 14, 2009.

 1. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Wanajamii,

  Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Mohamed Mpakanjia aliyekuwa mume wa marehemu Amina Chifupa Mpakanjia hatunaye tena.Amefia hospitali ya Lugalo.

  Habari zaidi baadaye.
   
 2. Mohamed Mpakanjia is no more!
   
 3. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Waungwana nimepokea taarifa kuwa mpakanja amefariki jioni hii majira ya sa atisa pale hospital ya lugalo, taarifa hizi nimezipata kutoka kwamtu aliyekuwepo hapo lugalo hospital. Mwenye taarifa za uhakika atuwekee hapa maana ikumbukwe kuwa huyu mtu amekwishazushiwa kifo zaidi ya mara tatu sasa.

  Kama ni kweli ametangulia mbele ya haki basi na mungu ailaze roho yake mahali pemapeponi.


  Amen
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nimepata message sasa hivi hapa kuwa Medi mpakanjia amefariki, kama kuna mtu ana taarifa zaidi please,
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah ni kweli amefariki dunia katika hospitali ya Lugalo wanadai Rimonia ndo imemmaliza.
  Poleni sana wafiwa
  R.I.P Mpakanjia.
   
 6. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Du! Amemfuata au ameitwa?
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Poleni sana wafiwa.

  Hata Mkuu Mponjoli fuatilia source ya habari hizi uweze kuthibitisha, huyu jamaa alisham-bip Mungu mara kadhaa na baadae kuambiwa kuwa hakufa.
   
 8. K

  Kisanduku Member

  #8
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda huu wengi bado tumo makazini lakini nimetumiwa message kwama Mohamed Mpakanjia dakika chache zilizopita kwenye hospitali ya Lugalo ambako alikuwa akisumbuliwa na pneumonia. Ni hospitali ile ile aliyolazwana kufia Amina Chifupa mwaka jana.

  Je wana JF mnaweza kutuhakikishia habari hii ambapo mtoa habari wangu anasema Radio Clouds wametangaza.
  Kama ni uzushi basi Moderator tupilia mbali hii subject na samahani wote
   
 9. K

  KIMBOYA VUMILIA Member

  #9
  Sep 14, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  APUMZIKE KWA AMANI...amina
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  MegaPyne Mkuu, is this true or nimesoma vibaya??? Aliugua ghafla au ni nini?? Anyway, siku nyingi sijamsikia huyu bwana na nyimbo yake tena naona hawaimbi. R.I.P Med wa Mpakanjia.
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Pole sana wafiwa, mungu amlaze mahali panapomstahili.

  R.I.P Medi wa Mpakanjia
   
 12. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! Poleni familia, na mtoto/watoto wake, Poleni marafiki zake akina Dr. Nchimbi n.k kwa huu msiba mzito! amemfuata mke wake Amina, hapa duniani ni sehemu tu ya kupita,

  Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi.
   
 13. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  R.I.P Mpakanjia!! We will always remember you! Poleni wote wafiwa Mungu awape nguvu kwenye wakati huu mgumu!!
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ina maana naye ameuga Neumonia kama mkewe Amina??? Poleni ndugu, jamaa na marafiki hasa watch dog wake Dr. Nchimbi aliyekuwa anampatia habari za mkewe Marehemu Amina akiwa Bungeni.

  Siku zote duniani tunapita, hata kwa utajiri mkubwa kiasi gani tunao lakini siku moja tutauacha na kuzikwa kwenye udongo usiozidi mita 2.5 ukiachilia wale ambao Mungu amewajalia urefu zaidi. Tujiandae kwa kuishi vizuri kwa kuwa na mahusiano mazuri na kila mtu. R.I.P Med Mpakanjia. Your legacy will remain!!!
   
 15. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Apumzike kwa amani Ameni
   
 16. M

  Mfikilwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 363
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  duh kifo hakina huruma, R.I.P Mohamed
   
 17. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Rip med
   
 18. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Alikuwa anaumwa pneumonia
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyu alikuwa mgonjwa muda mrefu! RIP
   
 20. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  R.I.P Mpakanjia.
   
Loading...