Ukisoma hii thread utagundua kwanini HIV AIDS itatumaliza watanzania/waafrika. YAANI tunavyofanya hivi hatusaidii lolote katika kupambana na huu ugonjwa zaidi ya kufanya stigmatization dhidi ya wale wenye huu ugonjwa..Its not fair kabisa...we might pretend kwamba we aint judgemental kwa kuogopa kuliongelea..lakini tufike mahali tukubali..kwamba HIV is killing our loved ones..than anything!. JAMANI hii vita tutaishinda kweli? Yaani na kampeni zote na pesa zote sijui za akina Global Fund na Bush..bado watu hata kuuongelea huu ugonjwa tunaona taabu? sasa huyu adui tutamshinda vipi? Tuwaige akina Kaunda na Mandela..waliosema kabisa kwamba watoto wao walikufa kwa ajili ya hili gonjwa..na wapo at the fore kupambana na huu ugonjwa. Ni lini tutaamka tuikubali hali halisi?
Ukimwi upo..Thats a reality check and we are dying because of it.......kikubwa ni kujifunza kwamba ukimwi siyo lazima uupate kwenye ngono. Sasa mtu akiongelea ukimwi anaonekana kama mwenye nao alikuwa ni muhuni..kitu ambacho si kweli. Wengine wanaupata kwa kuletewa na wapenzi au wenza wao. Jamani tujifunze kwamba hili gonjwa ni adui wa wote..walioko kwenye ndoa na walio single. Anybody can get it.
Lets be open, frank and genuine if at all we want to attempt to fight this killer disease. Inawezekana hayati Mpakanjia alikuwa na huu ugonjwa..lakini maadam keshatutoka..basi tuangalie alikosea wapi na sisi tusipitie huo mkumbo. Kama Maane alivyosema..tuwe wawazi na tubadilike kitabia. It MIGHT help.
Kinachosikitisha zaidi..hata viongozi wetu na wasomi wanaomanage hiyo miradi ya kupambana na ukimwi ndo hao..hata kuandika sentensi inyohusu huu ugonjwa wanaogopa kwamba watanyoshewa vidole!
In all, mimi sijui ugonjwa uliomuondoa Huyu Mtanzania mwenzetu lakini kama ni HIV..basi tujilinde..kama alikuwa na watu aliotembea nao..wasiambukize wengine..Kila mtu amchunge mwenzake. Kusema kwamba fulani kafariki kwa Ukimwi siyo kosa jamani..kwanza ni vizuri kusudi watu wawe makini na alikopitia....
Its only through openness and transparency that we can win this battle.
Otherwise juhudi zetu ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Yaani na ndugu zetu wote ambao wamepoteza maisha kwa hili gonjwa, bado tunaogopa hata kuutaja hadharani???????? Inasikitisha sana.
RIP Mpakanjia.
Masanja