Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

Hahahaha mkuu nimekupata ndo nipo katika mikakati kujua wapi vikao vya mazishi vinafanyika maana siku hizi vikao vya msiba tunafanyia bar sasa sijajua bar gani si unajua huyu ni mdosi lazima tunywe kwanza tuanza mikakati lakini najua toka jana mapedeshee tayari walisha kutana leo nyumbani kwake sinza kuna nyomi ya ajabu.

Walitangaza viko Kijitonyama ila hawaja-specify kwake au ndugu. Ila predeshee kama huyu nilitegemea iwe home kwake. Hivi alikuwa anaishi wapi?? I hope sometimes alishakuwa Kinondoni!! Mama yake yuko Temeke!!!

Mazishi ni leo makaburi ya KISUTU.
 
Mwanzoni niliposikia kwa huyo mtaalam wa Lugalo nilidhani nimesikia vibaya kama ni PCP au PCB (ile masomo waliyokuwa wanasoma jamaa ambao baadae huwa madokta), nikairusha hapa nipate maoni. Kumbe spelling nimepatia, PCP. Sasa hiyo kirefu chake na maelezo, nimekoma kabisa maana nilidhani jamaa anapakaziwa flani.

Sasa kabla hatujakatishana tamaa kabisa, kwani hiyo PCP haina dawa kabisa jamani? Yaani zile dawa za ARV hazitibu hiyo? Au jamaa hakuwa amejiandikisha kwenye ARV? Tusaidiane ushauri jamani, kama hiyo PCP haisikii hata ARV, mtu anatakiwa afanyeje kama kweli anayo hiyo HIV ili asipate PCP?
 
NAME /STATUS

1. Amina Chifupa /DECEASED or DEADED
2.
3.
4.
.
.
.
.
.
.

Yaaani hapa nakumbuka zeutamu wengine imetusaidia sana tungekuwa sasa tunaishi kwa matumaini hii mada ingekuwepo kwenye zeutamu unaweza ukaona mpaka list ya mchumba ako hivi hivi kisha mnaachana kimyaa kimyaaa.
 
Mkuu ARV huwa nayo ina kikomo chake!!! Pia zina masharti ambayo ni lazima uzingatie unapokuwa kwenye dose ikiwemo vyakula, pombe na ngono kupita kiasi maana inapunguza sana nguvu (kumbuka mile 7 kwa kila tendo si mchezo). Halafu jana yake alikuwa ametoka kuoa!!! Hapo sina jibu kamili la shughuli yenyewe baada ya ndoa!!!

Kwa kifupi ARV is named as a silent killer!!! Huugui muda mrefu na wala kwa mateso kama utakuwa umewahi dawa mapema. Kwa wengi unasikia vifo vya ghafla au kuugua muda mfupi sana (ninaowafahamu kwa two weeks ugonjwa serious jamaa anakenda).
 
Jamaa nimesoma kwenye Nipashe kuwa alioa tena siku moja kabla ya kifo chake. Habari hii ni ya kweli?
Mwenye habari atujuze.
 
Naomba kuweka hii taarifa ya msemaji wa familia ya marehemu.

Marehemu alifariki katika hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo Dar es Salaam, alikopelekwa kwa matibabu usiku wa maanane wa kuamkia jana (yaani jumatatu). Aliaanza kuumwa juzi usiku muda mfupi baada ya kuoa.

Msemaji wa familia ya marehemu, ABDUL MPAKANJIA, alisema marehemu alikuwa akisumbuliwa na FIGO, KICHOMI NA HOMA YA MATUMBO na alikwenda hospitali mwenyemwe.

Abdul alisema juzi jioni baada ya futari, walimsindikiza Mpakanjia kwenda kufunga ndoa ambapo alimuoa ZAI KESSY, na usiku huo ndipo alianza kuumwa. Marehemu anasifika sana kwa kuwa anatoa mchango kwa wasanii ikiwa ni pamoja na kutoa nyumba yake iliyoko Sinza mori kuelekea kwa chaz hilary bila ya mipaka kwa wasanii kuugiza michezo yao.

Marehemu anazikwa leo kwa mujibu wataratibu za kiislamu katika makaburi ya kisutu mjini Dar es Salaam. Ameacha mjane ZAI aliyemuoa saa chache kabla ya mauti na watoto watatu, ABDULRHAMAN, ABDULRAHIM NA KARIM ambaye mdiye mtoto mkubwa.

NDUGU ZANGU TUMWOMBEE MUNGU AMWEKE MAHALI PEMA PEPONI HASA TUKIWA TUNAMALIZIA MFUNGO WA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHAN NA KWANI AMEFARIKI KWA MAPENZI YAKE MOLA...AMIN!
 
ni kweli mpakanjia katutoka jamani lakini kwa kuwa ni njia yetu sote mungu aiweke roho yake mahari pema peponi
Amen
tuliobakia tunajifunza nini--tuandae roho na nafsi zetu kwani kila mwanadamu ataionja mauti
 
Habari zilizotufikia hivi sasa zinasema kuwa MOHAMED MPAKANJIA amefariki dunia! Akithibitisha kifo hicho, jamaa wa karibu wa mfanyabiashara huyo, alisema kuwa Medy amefariki leo mchana katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam alikopelekwa jana usiku akitokea kwa Dk Massawe wa Temeke, ambako alikimbizwa kwa huduma ya kwanza. Habari zinasema kuwa Medy, ambaye alikuwa mume wa marehemu Amina Chifupa, hali yake kiafya haikuwa nzuri katika siku za hivi karibuni. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI - AMIN!!!!
 
mwenyewe nimeskia hzo habari!ila kwenye msiba wa marehem amina chifu wa ubena alilalamika sana kuhusu msiba wa binti yao...kwmba aliehusika lazma amfate!sasa mi cjui nimehusisha 2 matukio
 
kama ninayoyasikia hapa ni ya kweli, hivi hawakujuwa kama wao wako hivyo mpaka wakaamua kuzaa.
 
Maskini mtoto Rah umebaki yatima.Mungu ndo baba yako sasa maana yeye ndo baba ya yatima.
Jamani wazazi tujilinde inauma sana kufa kabla ya siku.Watoto wanateseka sana wanapobaki yatima.
 
Hakuna aibu kwa ukimwi. Tukiwa wazi tutaokoa wengi na pia itawapa courage wenye ukimwi waweke hadharani.

Hivi leo ukisikia kabisa kuwa nduguyo amwemwoa mjane wa aliyekufa kwa ukimwi, utajisikiaje?? Hivi kuna mtu hapa ameshauguza ndugu wa ukimwi akaona mateso yake?? Hivi kuna mtu hapa ameachiwa yatima karibu 20 wa ndugu uwatunze na kuhakikisha wanapata huduma muhimu ikiwemo elimu??? Acheni jamani. It pains.

Kwa magonjwa mengine ni kuwa reserved kuheshimu mazishi na waliobaki kama mhusika alikuwa na skendo but kwa ukimwi no way. Tusemezane. Play your part.

Thank you very much;

Kikubwa zaidi ni kwamba ukimwi wa sasa sio sawa na wa miaka mitano iliyopita. Kw sasa kuna dawa za kupunguza makali ya virusi na hivyo kufanya CD4 ziwe juu kuepuka PCP, Cryptococcal meningitis [huwa tunasema kafa na homa ya uti wa mgongo] nk.

Tuweke wazi mambo ili tupate misaada na maisha marefu zaidi

Nina ushahidi watu wengi waliokubali kupambana wanaishi vizuri tu
 
Yaaani hapa nakumbuka zeutamu wengine imetusaidia sana tungekuwa sasa tunaishi kwa matumaini hii mada ingekuwepo kwenye zeutamu unaweza ukaona mpaka list ya mchumba ako hivi hivi kisha mnaachana kimyaa kimyaaa.

mkuu sometimes ukiachaga kunywa KONYAGI unaongea pwenti sana!
haaaahahahaaa
 
Dawa ni kuacha tu kumega ovyo ovyo muikimbie dhinaa

Kuacha ngumu mama wa kwanza sema dawa ni kutumia kinga utaeleweka ukisema mtu aache wkt anajua vitu vitamu inakuwa ngumu mwambie dawa ni kukumbuka sox daima.
 
Kuacha ngumu mama wa kwanza sema dawa ni kutumia kinga utaeleweka ukisema mtu aache wkt anajua vitu vitamu inakuwa ngumu mwambie dawa ni kukumbuka sox daima.

mkuu halafu naskia zingine zimetoboka tena, sasa siwatatuua namna hii??, duh.wananitisha sana asee na w'end nna gemu.
 
Kuacha ngumu mama wa kwanza sema dawa ni kutumia kinga utaeleweka ukisema mtu aache wkt anajua vitu vitamu inakuwa ngumu mwambie dawa ni kukumbuka sox daima.
sasa bora uwe na mke mmoja au mpenzi mmoja na muwe waaminifu,Condom inapunguza tu maambukuzi na siyo kinga asilimia Mia.
 
Back
Top Bottom