Mohamed Mpakanjia is no more!

Duh Jamani Mbona watu wazuri ndio wanafariki tu.. na watu wengine wanapeta. Yote ni ya Mungu
 
Wanasema na jana alifunga ndoa! Kama ni kweli Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
 
Last edited:
Wanasema na jana aligunga ndoa! Kama ni kweli Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Mkuu sijakuelewa hapo kwenye red alifunga/aligonga/alimega?
Maana kule kalazwa toka juzi nasikia.
 
Pneumonia jamani inatokana na baridi kama sikiosei Dr munisaidie,sasa pneumonia dar wapi na Wapi?au ndo Dr wameshaguess bila kujua nini kimemuua?
 
unamaana alifunga?

Duh hapo mpwa lugha gongana.
Pedeshee Mpakanjia pumnzika kwa amani baba tutakumiss sana tutamiss offer zako za tano tano kwa kila kichwa...Umetangulia na ss kesho tutakufuata hapa duniani tunapita tu.
 
Pneumonia jamani inatokana na baridi kama sikiosei Dr munisaidie,sasa pneumonia dar wapi na Wapi?au ndo Dr wameshaguess bila kujua nini kimemuua?

Pneumonia is an inflammation of the lung, usually caused by an infection. Three common causes are bacteria, viruses and fungi. You can also get pneumonia by accidentally inhaling a liquid or chemical. People most at risk are older than 65 or younger than 2 years of age, or already have health problems.

Source: [ame]http://www.google.com/search?sourceid=navclient&ie=UTF-8&rlz=1T4ADBR_enZM321TZ324&q=Pneumonia[/ame]
 
Mkuu sijakuelewa hapo kwenye red alifunga/aligonga/alimega?
Maana kule kalazwa toka juzi nasikia.

Nilikuwa na maana ya kufunga lakini pia si taarifa sahihi na ndio maana nikasema, "wanasema" na kwamba, "kama ni kweli" basi Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi. Unajua kwa jinsi alivyojiweka tokea uhai wa Amina, kumekuwa na mambo mengi,baadhi yakiwa ni yale aliyoyapenda yatangazwe ama kuandikwa. Lakini sasa hivi hata jamaa zake wa karibu wanasema hawajui. Sujui maana yake nini hasa.
 
OOOOPssss.....!!!
REST IN PEACE MED MPAKANJIA......!!WE HAD LOVED YOU BUT GOD GOD LOVED YOU MUCH.....!!!
amen
 
Ndugu yangu wacha tu....msiba mkubwa huu....hana tofauti na mambo ya Liyumba!

bwana Masanilo, Lisemwalo liko hivi (tena toka kwa wafanya kazi wenzie na liyumba); uhusiano wa Liyumba na Amina haukuwa wa siri kabisa.. na ndo jamaaa alikwenda nae mpaka Dubai kati ya moja ya zile tripu zake za mwanzo za 'around the world in 80 dayz' ndo kujua kuwa Liyumba 'anagonga' si ndo akamsepesha
 
Wanasema na jana alifunga ndoa! Kama ni kweli Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani


Yaani kufunga ndoa na mke wa ngapi tangu Amina afariki!!!?? Jamani mnaojiita celebrities nyie ohooooo. Yaani kama alifungishwa ndoa si alikuwa hoi bin taabani kitandani?? Kweli huo ni upendo au ni justification ya jambo fulani kwa mjane anayebaki??? Uzuri mmoja alishaanza kuuza baadhi ya mali zake!!! Kazi kweli kweli.

Ohh au aliona siku zake zimefika mwisho basi akatubu. Mungu msamehe kwa yote kwani amekurejea siku za mwisho.
 
Back
Top Bottom