MJ1;
Mimi nadhani umekuwa sensitive sana! ukweli ni kwamba lazima tuuzungumzie ukimwi na kuweka kila kitu hadharani kuwaokoa tunaowapenda. kama unakumbuka vizuri, tangu amina afe pamekuwa na mlolongo wa machapisho kwenye magazeti kuhusu mpakanjia na baadhi ya warembo wa mjini
that chain is long and a few of them wameshakuwa exposed. na hata ukisoma humu kwenye hii thread, it all goes back to Liyumba, sasa hebu fikiria ni watanzania wangapi walikuwa wanajua kwamba liyumba ni umeme live?
Kuna wakati hata rais wetu alirefer issue ya magari mekundu, lakini tulikaa kimya, tukampoteza amina, tukakaa kimya na kupotosha jamii ati kauawa, sasa jamaa naye amekwenda... vipi watu wabaki kimya? kesho ukianza kuona picha za ndoa kazi ya wale walioachwa na meddy na ukakuta mtu wako wa karibu, je utakaa kimya??
Its a high time that we stand up and give each other early warnings ili kusaidia tunaowapenda.
That being said, ni vizuri kupima afya na kujua status, iwapo uko swafi then jitahidi kujitunza na iwapo uko positive, then see medical advice. What if Meddy was negative?
Tanzania bila ukimwi, inawezekana
RIP Meddy