Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

wewe ni aje kama unajua majibu yanini uyaweke! naanza pata wasi wasi na IQ yako
Pia acha kudandia lori kwa mbele hujui kwa nini nilisema tuweke majibu hapa,ama kweli kazi ipo.kusema tu haitoshi yaani nilimaanisha majibu ya kila mtu yawe scanned copy ya kutoka maabara baada ya analysis.
 
Pia acha kudandia lori kwa mbele hujui kwa nini nilisema tuweke majibu hapa,ama kweli kazi ipo.kusema tu haitoshi yaani nilimaanisha majibu ya kila mtu yawe scanned copy ya kutoka maabara baada ya analysis.

Ur need a glass of milk, I am afraid ur polluted
 
I wonder why we are being hypocritical. Nadhani kifo cha ndugu yetu Med kimepunguza drug baron mmoja. Nashangaa kuona wengine wanasema mungu amechukua mtu mzuri, may be we have different definitions of goodness. Kwa maana nyingie dawa za kulevya zitapungua kiasi kabla ya kumpata drug baron mwingine. Kuba baadhi ya members kwenye jamii kuwapoteza ni blessing in disguise na wengine kuwapoteza ni hasara kubwa. Let us call a snake snake.
 
Vipi yule dogo wa Chadema nasikia alikuwa anamega mke wa Meddy hebu aje atuambia kama ni uzushi.

Dogo wa Chadema, naona unahisiwa hapa. Jitokeze ujitetee na kuwajulisha members kuwa huishi kwa matumaini. Najua wewe ni mtu wazi na safi hivyo hutasema uongo. Mbona wapo wengi waliojitosa hadharani kusema wanaishi kwa matumaini??

JF where openness is the slogan!!!!
 
Ninacho jiuliza ni kwamba kama huyu mtu alikua nao ni lazima ata kua alijua hali yake(siyo rahisi siku hizi mtu uambukizwe mpaka ufe na usijue unao). Sasa kama alikua anajua hali yake kwa nini alioa? Na huyo mwanamke aliye kubali kuolewa bila kwenda kupima ana jipenda kweli?

MF1, kuna tetesi nimepata kwamba muathirika wa VVU akitumia dawa (antibiotics) say for a week, akaenda kupima virusi eti havionekani...

Naomba ufafanuzi, kuna ukweli wowote katika hili?
 
Ukisoma hii thread utagundua kwanini HIV AIDS itatumaliza watanzania/waafrika. YAANI tunavyofanya hivi hatusaidii lolote katika kupambana na huu ugonjwa zaidi ya kufanya stigmatization dhidi ya wale wenye huu ugonjwa..Its not fair kabisa...we might pretend kwamba we aint judgemental kwa kuogopa kuliongelea..lakini tufike mahali tukubali..kwamba HIV is killing our loved ones..than anything!. JAMANI hii vita tutaishinda kweli? Yaani na kampeni zote na pesa zote sijui za akina Global Fund na Bush..bado watu hata kuuongelea huu ugonjwa tunaona taabu? sasa huyu adui tutamshinda vipi? Tuwaige akina Kaunda na Mandela..waliosema kabisa kwamba watoto wao walikufa kwa ajili ya hili gonjwa..na wapo at the fore kupambana na huu ugonjwa. Ni lini tutaamka tuikubali hali halisi?

Ukimwi upo..Thats a reality check and we are dying because of it.......kikubwa ni kujifunza kwamba ukimwi siyo lazima uupate kwenye ngono. Sasa mtu akiongelea ukimwi anaonekana kama mwenye nao alikuwa ni muhuni..kitu ambacho si kweli. Wengine wanaupata kwa kuletewa na wapenzi au wenza wao. Jamani tujifunze kwamba hili gonjwa ni adui wa wote..walioko kwenye ndoa na walio single. Anybody can get it.

Lets be open, frank and genuine if at all we want to attempt to fight this killer disease. Inawezekana hayati Mpakanjia alikuwa na huu ugonjwa..lakini maadam keshatutoka..basi tuangalie alikosea wapi na sisi tusipitie huo mkumbo. Kama Maane alivyosema..tuwe wawazi na tubadilike kitabia. It MIGHT help.

Kinachosikitisha zaidi..hata viongozi wetu na wasomi wanaomanage hiyo miradi ya kupambana na ukimwi ndo hao..hata kuandika sentensi inyohusu huu ugonjwa wanaogopa kwamba watanyoshewa vidole!

In all, mimi sijui ugonjwa uliomuondoa Huyu Mtanzania mwenzetu lakini kama ni HIV..basi tujilinde..kama alikuwa na watu aliotembea nao..wasiambukize wengine..Kila mtu amchunge mwenzake. Kusema kwamba fulani kafariki kwa Ukimwi siyo kosa jamani..kwanza ni vizuri kusudi watu wawe makini na alikopitia....

Its only through openness and transparency that we can win this battle.
Otherwise juhudi zetu ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Yaani na ndugu zetu wote ambao wamepoteza maisha kwa hili gonjwa, bado tunaogopa hata kuutaja hadharani???????? Inasikitisha sana.

RIP Mpakanjia.

Masanja
Nimesikia hapa wimbo wa nachechemea, nikamkumbuka huyu mwamba. I hope mwanae anaendelea vyema, Mungu amtunze na kubariki afanyayo
 
Back
Top Bottom