Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

Kuacha ngumu mama wa kwanza sema dawa ni kutumia kinga utaeleweka ukisema mtu aache wkt anajua vitu vitamu inakuwa ngumu mwambie dawa ni kukumbuka sox daima.

Hivi gharama ya sox ni shilingi ngapi? unaamini maisha yako yataokolewa na kondom kweli??? ni juzi tu nimesoma humu humu JF kuwa huko Kenya wamegundua kwamba kondom zinavijitundu na huenda zinapeleke kusambaza virusi husika. Mkauliza TZ ina mkakati gani kuchunguza hilo??

Ni nani wa kujali maisha yako kama si wewe mwenyewe?? Kwa nini ununue kondom wakati Mungu amekuumba na kukupa uhai bureeee, afya teleee.

NENDA UKAPIME UJIJUE, EPUKA UZINZI, KUWA NA MPENZI MMOJA AMBAYE HAJAAMBUKIZWA, kama umekata tamaa ya kuishi TUMIA KONDOM.

R.I.P Mpakanjia, ni mwezi uliopita tu nilimwona kwenye gari yake nzuri saana, na kimwana pembeni.

Mliobaki muuishi kwa matumaini.
 
Huyo shuhuda wa sala yeye alikuwa haswali? mbona kama alikuwa anamwangalia tu Marehemu anavyoswali? ( Ah nimesahau kumbe huwa hawafumbagi macho!)
jamaa kasema alikuwa anaomba dua sana ,dua huwa zinafanywa baada ya sala au kabla ya sala haimaanishi kwamba jama alikuwa anamkodolea macho wakati wa swala.dua mtu unakaa pembeni na kufanya dua zako au unaweza hata kuwakaribisha wengine mkafanya pamoja. kwahio na swala kwamba marehemu kaongeza ibada inamaana alikuwa anamuona akija kufanya ibada kuliko siku za nyuma.na nirahisi watu kujuana msikitini kwani baada sala huwa mnasalimiana na kupeana mawaidha au mawazo.
 
Nasikia wala si nimonia kama wengine wanavyodai, nimesikia wakisema ni ugonjwa fulani unaitwa PCP. Sijui ndio mafua ya nini, lakini wanadai matibabu yake ni magumu sana. Si ajabu ni ile halbadiri ya mkwe wake wa Kigamboni aliyemkana.

PCP, namely Pneumocystis carinii pneumonia is a fungal infection of the lungs. PCP is a pneumonia caused by the fungal organism Pneumocystis carinii and this organism is common in the environment. If it is true that he was infected with PCP, perhaps couples with other opportunistic infections, this fact completely rules out the theory of witchcraft, full stop.
 
Vitu vingine huwezi kuviweka hapa wazi! marehemu Amina alipozaa walimkataza asinyonyeshe, kwa hizo dalili! sasa hivi ukiwa mjamzito huwezi kukwepa kupima..........n.k"

masikini ...mtoto wao mzima??

siku hizi watoto wanaozaliwa na ukimwi wanaishi hadi miaka 20...wale wanaume ambao mkipata wasichana bikira mnavua kondomu tujihadhari ,,,,..anaweza kuwa amezaliwa nao...dawa kupima ...hata kama kidole hakipenyi!!!!
 
PCP, namely Pneumocystis carinii pneumonia is a fungal infection of the lungs. PCP is a pneumonia caused by the fungal organism Pneumocystis carinii and thisorganism is common in the environment. If it is true that he was infected with PCP, perhaps couples with other opportunistic infections, this fact completely rules out the theory of witchcraft, full stop.
this caught me on the wrong foot,kumbe UCHAWI pia uko in the mix
 
-
- Waandishi wetu mbona mengine ya kijinga sana mnajua kufuatilia lakini haya ambayo ni muhimu zaidi kwa kuelimisha taifa mnafumbia macho na kushiriki kulidanganya taifa eti amekufa na ugonjwa unaoletwa na baridi, wakati watu wote tulioamka tunajua kwamba Dar hakuna baridi ya kuua mtu, basi si mngetafuta girini zito zaidi ya kukomalia baridi ya mapafu kila wakati, tafuteni lingine basi maana hili girini ni too low!

Field Marshall Es!

Kaka ama kweli nakuheshimu sana maana kuna jibu nilitaka nikupe hapa......

Anyway, kwa wale ambao katika miezi sita ama mwaka mmoja uliopita hawajawahi kupata ujemedari wa kwenda kupima UKIMWI basi nawashauri wafunge midomo yao maana hata wao hawajijui na hivyo hawana haki ya kuwa madaktari ama hata wapiga lamri wa wengine....

omarilyas
 
masikini ...mtoto wao mzima??

siku hizi watoto wanaozaliwa na ukimwi wanaishi hadi miaka 20...wale wanaume ambao mkipata wasichana bikira mnavua kondomu tujihadhari ,,,,..anaweza kuwa amezaliwa nao...dawa kupima ...hata kama kidole hakipenyi!!!!

Halafu wengine mnakimbilia kujiona ninyi ndio CIVILISED....hata kimalaika cha watu hamuoni haya kukaingiza katika huu ufedhuli wenu...

omarilyas
 
RIP meddy
it s not wise to try hiding the true cause of his death tho'
most of us know he has died of HIV/AIDS so whats the big deal trying to keep the public from knowing the truth??
if we real mean TANZANIA BILA UKIMWI we should be open!
Mkuu unauhakika au unafuata "stori mkumbo" tu?
Mwacheni apumzike kwa amani jamani.
 
Ukisoma hii thread utagundua kwanini HIV AIDS itatumaliza watanzania/waafrika. YAANI tunavyofanya hivi hatusaidii lolote katika kupambana na huu ugonjwa zaidi ya kufanya stigmatization dhidi ya wale wenye huu ugonjwa..Its not fair kabisa...we might pretend kwamba we aint judgemental kwa kuogopa kuliongelea..lakini tufike mahali tukubali..kwamba HIV is killing our loved ones..than anything!. JAMANI hii vita tutaishinda kweli? Yaani na kampeni zote na pesa zote sijui za akina Global Fund na Bush..bado watu hata kuuongelea huu ugonjwa tunaona taabu? sasa huyu adui tutamshinda vipi? Tuwaige akina Kaunda na Mandela..waliosema kabisa kwamba watoto wao walikufa kwa ajili ya hili gonjwa..na wapo at the fore kupambana na huu ugonjwa. Ni lini tutaamka tuikubali hali halisi?

Ukimwi upo..Thats a reality check and we are dying because of it.......kikubwa ni kujifunza kwamba ukimwi siyo lazima uupate kwenye ngono. Sasa mtu akiongelea ukimwi anaonekana kama mwenye nao alikuwa ni muhuni..kitu ambacho si kweli. Wengine wanaupata kwa kuletewa na wapenzi au wenza wao. Jamani tujifunze kwamba hili gonjwa ni adui wa wote..walioko kwenye ndoa na walio single. Anybody can get it.

Lets be open, frank and genuine if at all we want to attempt to fight this killer disease. Inawezekana hayati Mpakanjia alikuwa na huu ugonjwa..lakini maadam keshatutoka..basi tuangalie alikosea wapi na sisi tusipitie huo mkumbo. Kama Maane alivyosema..tuwe wawazi na tubadilike kitabia. It MIGHT help.

Kinachosikitisha zaidi..hata viongozi wetu na wasomi wanaomanage hiyo miradi ya kupambana na ukimwi ndo hao..hata kuandika sentensi inyohusu huu ugonjwa wanaogopa kwamba watanyoshewa vidole!

In all, mimi sijui ugonjwa uliomuondoa Huyu Mtanzania mwenzetu lakini kama ni HIV..basi tujilinde..kama alikuwa na watu aliotembea nao..wasiambukize wengine..Kila mtu amchunge mwenzake. Kusema kwamba fulani kafariki kwa Ukimwi siyo kosa jamani..kwanza ni vizuri kusudi watu wawe makini na alikopitia....

Its only through openness and transparency that we can win this battle.
Otherwise juhudi zetu ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Yaani na ndugu zetu wote ambao wamepoteza maisha kwa hili gonjwa, bado tunaogopa hata kuutaja hadharani???????? Inasikitisha sana.

RIP Mpakanjia.

Masanja

Msanja,
Nimevutika na objectivity uliyoonyesha kwenye mchango wako.Mtu keshaaga dunia..watu wanamjadili kafa na UKIMWI.Alipokuwa hai watu hawakumsema kama alikuwa na mwenendo usiofaa au hatarishi.Na si ajabu wanaojadili na kumhukumu wao wana tabia hatarishi kama huyo au hata kupitiliza.
Kuwanyanyapaa waliokwishaupata siyo sawa na ni kinyume na haki za binadamu! Kila binadamu anastahili heshima.... who are we to pass judgement? UKIMWI NI UGONJWA KAMA ANY OTHER CHRONIC ILLNESS - Hapa watu wakiulizwa nani kapima na kujua hali ya afya yake I bet my last coin - utakuta hata asilimia 5 hawafiki.Isitoshe, utahukumu vipi ilhali hujui nani kamletea mwingine au kaambukizwa vipi?

Nadhani tumeendelea kujifunza kuwa UKIMWI unaua hasa kama mtu hajijui hali yake - na kumfanya aishi maisha ya matumaini kwa kuepuka vitendo vya kufanya VVU kuingia kwenye hatua ya UKIMWI.Mtu mwenye VVU siyo lazima aingie kwenye hatua ya UKIMWI... ila ukijikuta unagundua hali yako wakati tayari umeshaingia kwenye UKIMWI huwezi ku reverse back to VVU!Ukiishi kwa matumaini katika stage ya VVU unaweza kuishi maisha mazuri hadi ufikie mauti kama ambavyo mtu asiye na maambukizi anavyoishi na kufikia mauti bila kuugua UKIMWI.
 
Kaka ama kweli nakuheshimu sana maana kuna jibu nilitaka nikupe hapa......
omarilyas

- Bwana Omaar, heshima yako kaka vipi tena ukashindwa kinijibu this time na wewe ulikuwa bingwa sana wa kunitukana personal ukitumia jina la Tanzanianjema?

- Sasa hiki kigugumizi kimetoka wapi cha ghafla kwamba eti unaniheshimu toka lini mkuu? usiwe na wasi mkuu wewe endelea na yale matusi yako kwangu ya binafsi, maaana the next time you try hutaamini na ninakusubiri kwa hamu sana mkuu na yale matusi yako ya reja reja,

No wonder uko very close na Zitto, inajisema yenyewe!

Respect.

Kamanda FMEs!
 
Kuhusu ARV nadhani JK anawezatoa somo vizuri

mshkaji yeye anadunda tu ,watu wamaendelea kuosha vinywa ...yeye tozoz kwa mbele...inawezekana anazipatia dawa,,,watu wengi hawafuati masharti na wanazitumia bila mpangilio...sasa ukizingatia yeye anatembea na team of doctors popote mtaendelea kumuona hivyo hivyo,,....mbona hata namba tatu wake alipoteuliwa watu walikuja hapa na hizo taarifa...nadhani kinachomaliza watu ni matumizi mabovu ya dawa,na dawa ni sumu..
Nadhani wote mnamjuwa yule mwanaharakati kato....yeye tangia amejitangaza miaka 25 inafika ....watu wengine walikuwa hata hawajazaliwa...[au ndio wanazaliwa kama umri wa marehemu amina].wengi..wamekuwa ,wamebalehe ,wamepata mgoma ...wamekufa ..yeye bado anadnda....,kweli hapo ndipo unaamini kuwa ukimwi sio kifo[kwa watu wanaofuata masharti]
 
Halafu wengine mnakimbilia kujiona ninyi ndio CIVILISED....hata kimalaika cha watu hamuoni haya kukaingiza katika huu ufedhuli wenu...

omarilyas

kaka acha unafiki ...kwani siku hizi mabinti wa miaka 15 hadi 20 wengi wanatembea na watu wazima[na watu wazima wengi wanafikiri mabinti hawa nisalama].....mimi nasema sio kweli wanaweza wasiwe salama kwani wanaweza kuwa wamezaliwa na ukimwi bahati mbaya[mother to child].....sasa na hilo hutaki liongelewa..tunaficha nini????.....that is a moral decal...
sikuongelea wanaobaka vichanga kwani najuwa wengi wanachochewa na ushirikina ...nimegusia umri huo kwani hata kwenye tafiti mbali mbali za tamwa na NGO nyingine wametajwa kwenye ajira hatari au ndoa za mapema au school drop out...na matangazo unayaona [sidanganyiki]...sasa ufedhuli upo wapi ..jamii ikiambiwa ukweli?? na inawezekana kuna watu kama wewe labda wanaanya mambo hayo
 
Msanja,
Nimevutika na objectivity uliyoonyesha kwenye mchango wako.Mtu keshaaga dunia..watu wanamjadili kafa na UKIMWI.Alipokuwa hai watu hawakumsema kama alikuwa na mwenendo usiofaa au hatarishi.Na si ajabu wanaojadili na kumhukumu wao wana tabia hatarishi kama huyo au hata kupitiliza.
Kuwanyanyapaa waliokwishaupata siyo sawa na ni kinyume na haki za binadamu! Kila binadamu anastahili heshima.... who are we to pass judgement? UKIMWI NI UGONJWA KAMA ANY OTHER CHRONIC ILLNESS - Hapa watu wakiulizwa nani kapima na kujua hali ya afya yake I bet my last coin - utakuta hata asilimia 5 hawafiki.Isitoshe, utahukumu vipi ilhali hujui nani kamletea mwingine au kaambukizwa vipi?

Nadhani tumeendelea kujifunza kuwa UKIMWI unaua hasa kama mtu hajijui hali yake - na kumfanya aishi maisha ya matumaini kwa kuepuka vitendo vya kufanya VVU kuingia kwenye hatua ya UKIMWI.Mtu mwenye VVU siyo lazima aingie kwenye hatua ya UKIMWI... ila ukijikuta unagundua hali yako wakati tayari umeshaingia kwenye UKIMWI huwezi ku reverse back to VVU!Ukiishi kwa matumaini katika stage ya VVU unaweza kuishi maisha mazuri hadi ufikie mauti kama ambavyo mtu asiye na maambukizi anavyoishi na kufikia mauti bila kuugua UKIMWI.

Msanja na VeraCity nilijaribu kusema nikaambiwa niko too sensitive!!

Nafikiri uwazi tunaoulilia hapa si kuhukumu marehemu kwa vile yule alikwisha maliza muda wake duniani na hata tukipiga tarumbeta juu ya kifo chake haibadili hali halisi na wala haimsaidii.

Kila mtu anayesema kuwa amekufa kwa UKIMWI anao ushahidi kutokana na matendo yake wakati alipokuwa hai sasa basi tungetaka kumsaida tungeanzisha thread (kama si kumwambia live) tukamkanya na kumwonyesha anguko lililoko mbele yake. Tungemsema kaka Medy tabia yako ya kubadili kina dada itakuletea ugonjwa, kaka medy bla bla na bla ninaamini angetusikiliza na kujirekebisha. Lakini wasting our time condemning his behaviours wakati amekwisha kufa haitusaidii!

Ninaomba tubadilike badala ya kumsubiri mtu afariki ndo tuanze kumsema haitatusaidia kabisa. (Afadhali tulivyoanza kwa Liyumba- angalau sasa vibinti vitakuwa macho kuliko tungemsubiri akiwa tayari kavuta)
 
PCP, namely Pneumocystis carinii pneumonia is a fungal infection of the lungs. PCP is a pneumonia caused by the fungal organism Pneumocystis carinii and thisorganism is common in the environment. If it is true that he was infected with PCP, perhaps couples with other opportunistic infections, this fact completely rules out the theory of witchcraft, full stop.

naomba unieleze kwa kiswahili vizuri, dalili zake na mtu mwenye ugonjwa huo anakuwaje pls
 
Mtu akishakufa hata yakiongelewa sasa hivi hamsaidii,
Mngemwambia akiwa hai kwani mlikuwa hamuoni kwamba ni kicheche,
kila mtu atakufa ye amekufa wala hajaugua muda mrefu, hamjui haya maneno yanawaumiza ndugu wa marehemu wakija kuyasoma

kila nafsi itaonja mauti
 
- Bwana Omaar, heshima yako kaka vipi tena ukashindwa kinijibu this time na wewe ulikuwa bingwa sana wa kunitukana personal ukitumia jina la Tanzanianjema?

- Sasa hiki kigugumizi kimetoka wapi cha ghafla kwamba eti unaniheshimu toka lini mkuu? usiwe na wasi mkuu wewe endelea na yale matusi yako kwangu ya binafsi, maaana the next time you try hutaamini na ninakusubiri kwa hamu sana mkuu na yale matusi yako ya reja reja,

No wonder uko very close na Zitto, inajisema yenyewe!

Respect.

Kamanda FMEs!

Well, nadhani huhitaji heshima yangu maana ninavyokumbuka wakati wote nimekuwa critic wako lakini kwa kuwa nakutambua na kukuheshimu wakati wote nimekuwa nakufanyia constructive criticism. Nionyeshe ni wapi niliwahi kukufanyia personal attacks hata nilipokuwa natumia Tanzanianjema ambalo kamwe halikuwa anonymous kwa mtu yeyote anijuaye.....Na wala sikujificha na kutumia majina kibao

Hata hivyo kama unataka personal attacks ulizokubuhu nazo....bring it on....

Najijua mwenyewe kwani nimetambua hatma yangu siku nyingi sana na ninaishi nayo tangia wakati huo.....sijakumbuka shuka kumekuchwa. And believe me I might be respecting you but kitu fear for anybody or anything hakipo kwenye vocabulary yangu

omarilyas
 
Last edited:
kaka acha unafiki ...kwani siku hizi mabinti wa miaka 15 hadi 20 wengi wanatembea na watu wazima[na watu wazima wengi wanafikiri mabinti hawa nisalama].....mimi nasema sio kweli wanaweza wasiwe salama kwani wanaweza kuwa wamezaliwa na ukimwi bahati mbaya[mother to child].....sasa na hilo hutaki liongelewa..tunaficha nini????.....that is a moral decal...
sikuongelea wanaobaka vichanga kwani najuwa wengi wanachochewa na ushirikina ...nimegusia umri huo kwani hata kwenye tafiti mbali mbali za tamwa na NGO nyingine wametajwa kwenye ajira hatari au ndoa za mapema au school drop out...na matangazo unayaona [sidanganyiki]...sasa ufedhuli upo wapi ..jamii ikiambiwa ukweli?? na inawezekana kuna watu kama wewe labda wanaanya mambo hayo

Nakuonea huruma maana inaelekea hujui hata umri wa mtoto wa AMINA na MPAKANJIA uliyekuwa unamchimba hapa.....

Yakwenu katika familia zenu yamejaa na kuwashinda mnabaki kujidanganya kwa kushabikia, kufitinisha na kufisadisha familia za wengine....na huo ndio ufedhuli....

omarilyas
 
Back
Top Bottom