Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

Ukisoma hii thread utagundua kwanini HIV AIDS itatumaliza watanzania/waafrika. YAANI tunavyofanya hivi hatusaidii lolote katika kupambana na huu ugonjwa zaidi ya kufanya stigmatization dhidi ya wale wenye huu ugonjwa..Its not fair kabisa...we might pretend kwamba we aint judgemental kwa kuogopa kuliongelea..lakini tufike mahali tukubali..kwamba HIV is killing our loved ones..than anything!. JAMANI hii vita tutaishinda kweli? Yaani na kampeni zote na pesa zote sijui za akina Global Fund na Bush..bado watu hata kuuongelea huu ugonjwa tunaona taabu? sasa huyu adui tutamshinda vipi? Tuwaige akina Kaunda na Mandela..
Masanja

Tokea huu ugonjwa umeingia ulishawahi kwenda kuzika wakatakangaza kuwa huyu marehemu amekufa kwa UKIMWI? kweli hapa TZ hiyo ipo kweli? madaktari ndo chanzo cha huu ugonjwa, au na sisi tunachangia kwa kutokueleza ukweli.
 
ingia katika SCIENCE JOURNAL,alaafu search,first person to have aids
Nadhani suala hapa siyo nani alikuwa mgonjwa wa kwanza wa UKimwi duniani, bali kwa hapa Tanzania ukimwi uliingiaje. Kama ndivyo, kauli ya FL ni sahihi kwamba Ukimwi uliingia Tanzania ukitokea Uganda kupitia mkoa wa Kagera.
 
kama kasepeshwa na HIV basi ni vyema tuweke list hapa YA UHAKIKA,si kumsingizia mtu jamini,ili mtu kama hujaoa isitokee ukapitia hiyo list kuwowana au kuopoa,i mean kwa wanaotaka kuoa tuu!si kwa ajili ya ngono na kula kona.RIP medy

NAME /STATUS

1. Amina Chifupa /DECEASED or DEADED
2.
3.
4.
.
.
.
.
.
.

Hivi wewe unaweza kuoa sasa hivi bila kupima?? jamani hii ni aibu Member wa JF!! bado tuko nyuma hivi??
 
Kwanini tusiweke thread nzima na kuzungumza UKIMWI?
 
kama ninayoyasikia hapa ni ya kweli, hivi hawakujuwa kama wao wako hivyo mpaka wakaamua kuzaa.
Vitu vingine huwezi kuviweka hapa wazi! marehemu Amina alipozaa walimkataza asinyonyeshe, kwa hizo dalili! sasa hivi ukiwa mjamzito huwezi kukwepa kupima..........n.k"
 
Tokea huu ugonjwa umeingia ulishawahi kwenda kuzika wakatakangaza kuwa huyu marehemu amekufa kwa UKIMWI? kweli hapa TZ hiyo ipo kweli? madaktari ndo chanzo cha huu ugonjwa, au na sisi tunachangia kwa kutokueleza ukweli.
time will tell...
 
Pengine ni kwa sababu ukimwi huwa hauui,ni Upungufu wa kinga mwilini.Kinachoua ni magonjwa nyemelezi kama nimonia,malaria na mengine.Ndio maana huwa hawatangazi may be.
 
Pengine ni kwa sababu ukimwi huwa hauui,ni Upungufu wa kinga mwilini.Kinachoua ni magonjwa nyemelezi kama nimonia,malaria na mengine.Ndio maana huwa hawatangazi may be.
Hapana hii scenario ni kufanya sababu ya kutokutangaza wawe tu wanasema kifo kimesababishwa na HIV .
 
[/COLOR]

Mkuu ARV huwa nayo ina kikomo chake!!! Pia zina masharti ambayo ni lazima uzingatie unapokuwa kwenye dose ikiwemo vyakula, pombe na ngono kupita kiasi maana inapunguza sana nguvu (kumbuka mile 7 kwa kila tendo si mchezo). Halafu jana yake alikuwa ametoka kuoa!!! Hapo sina jibu kamili la shughuli yenyewe baada ya ndoa!!!

Kwa kifupi ARV is named as a silent killer!!! Huugui muda mrefu na wala kwa mateso kama utakuwa umewahi dawa mapema. Kwa wengi unasikia vifo vya ghafla au kuugua muda mfupi sana (ninaowafahamu kwa two weeks ugonjwa serious jamaa anakenda).

Mkuu kama unayosema ni kweli kabisa, yaani kama ndio sayansi yenyewe, umenimaliza nguvu kabisa! Hizi ARV mi nilidhani zimeshaleta matumaini makubwa sana, naona watu wakiendelea na maisha yao na kutunza familia zao vizuri tu huku wakiendelea na shughuli zao za kiuchumi vizuri. Lakini kama ndio 'silent killer' ya kihivyo, naona ni balaa kabisa! Au labda jamaa alikuwa hazingatii dawa bana, mbona jamaa wengine kibao wako fresh tu?

Wajua nilishaelewa kuwa mtu akiwa kwenye hizo ARV basi ni 'life as usual', mradi tu akumbuke dozi yake daily, mambo ya check ups kwa physician wake mara kwa mara, awe active, mambo ya sports nk, ndivyo ninavyoona wengine wakiishi.
 
wewe margreth,sema gonjwa la ukimwi lipo nchini sio lilingilia tanzania kupitia kashenye,kanyigo hayo yote what for,hili si darasa la historia,for you information mgonjwa wa kwanza wa ukimwi was in 1956,baharia wa kimarekani.
Alaska,

Nimekuelewa, lakini kwenye JF hatuingii kusoma juu juu au kupitisha macho kama unavyodhani. Hapa wengine tunakuja kujifunza, kuhabarishwa, kuelimishwa n.k. Kwahiyo usitake mimi nielewe kwa jinsi wewe unataka!!!

Ndo maana unakuta wengi waliopo wanaleta vitu vingi vya udaku na kujikuta mnalalama kukicha.
 
Mwanzoni niliposikia kwa huyo mtaalam wa Lugalo nilidhani nimesikia vibaya kama ni PCP au PCB (ile masomo waliyokuwa wanasoma jamaa ambao baadae huwa madokta), nikairusha hapa nipate maoni. Kumbe spelling nimepatia, PCP. Sasa hiyo kirefu chake na maelezo, nimekoma kabisa maana nilidhani jamaa anapakaziwa flani.

Sasa kabla hatujakatishana tamaa kabisa, kwani hiyo PCP haina dawa kabisa jamani? Yaani zile dawa za ARV hazitibu hiyo? Au jamaa hakuwa amejiandikisha kwenye ARV? Tusaidiane ushauri jamani, kama hiyo PCP haisikii hata ARV, mtu anatakiwa afanyeje kama kweli anayo hiyo HIV ili asipate PCP?

Pneumocystis Carinii pneumonia PCP wanasababishwa na aina fulani ya fungus waitwao pneumocystis carinii,

Na dawa zake zinakuwaga Septrin
Trimethoprim na Sulfamethoxazole , Bactrim , Septra

Ila ndugu yangu Pneumonia hii kidogo ni ngumu katika kutibika ukilinganisha na Pneumonia inayosababishwa na Bacteria .
Muombe mungu akuepushie hii kwani ni ya haraka zaidi.
 
Last edited:
Mkuu kama unayosema ni kweli kabisa, yaani kama ndio sayansi yenyewe, umenimaliza nguvu kabisa! Hizi ARV mi nilidhani zimeshaleta matumaini makubwa sana, naona watu wakiendelea na maisha yao na kutunza familia zao vizuri tu huku wakiendelea na shughuli zao za kiuchumi vizuri. Lakini kama ndio 'silent killer' ya kihivyo, naona ni balaa kabisa! Au labda jamaa alikuwa hazingatii dawa bana, mbona jamaa wengine kibao wako fresh tu?

Wajua nilishaelewa kuwa mtu akiwa kwenye hizo ARV basi ni 'life as usual', mradi tu akumbuke dozi yake daily, mambo ya check ups kwa physician wake mara kwa mara, awe active, mambo ya sports nk, ndivyo ninavyoona wengine wakiishi.
Ndo maana kocha wa zamani wa yanga na mhadhiri wa udsm yupo fiti mpaka kesho
 
Back
Top Bottom