Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

Nakupa jibu lepesi

Kuna aina mbili za HIV, HIV-1 and HIV-2, huenezwa zaidi na sexual contacts, both cause clinically indistinguishable AIDS. HIV-2 is less easily transmitted, and the period between initial infection and illness is longer in the case of HIV-2. HIV-1 huenezwa kwa wepesi na progression to AIDS iko faster. Wazungu wana zaidi HIV-2.

Sasa hata kwenye HIV-1 ina magroup 4 (M, N, O, P)

M ina subtype kama 10 (A-H) A D C ziko Africa na ni hatari sana ! Lakini B iko less virulent na iko ulaya na marekani.

subtypes.jpg

Hizi ndizo sababu.

NB Dawa zote (ART) zilitengenezwa kwa subtype B waliko wazungu na baadaye zikaletwa kutumika kwa waafrica wenye subtype A D and C, ndiyo maana huwa naawaambia watu ART is not a solution. Tuache ngono zetu, tumia condom

Masa

Masanilo:

Nimefurahishwa sana na maelezo yako. Lakini ningependa niweke masahihisho kidogo tu. HIV-2 haipo sana kwa wazungu. HIV-2 imeenea sana kwenye nchi za Africa Magharibi zinazozungumza kifaransa na kireno.

Vilevile ni muhimu kuelewa kuhusu utengenezaji wa madawa. Mashirika ya madawa, sera za serikali na mashirika ya misaada zinaangalia sana Takwimu katika utengenezaji wa madawa.

Hivyo takwimu zinapoonyesha kuwa idadi kubwa ya watu wanasumbuliwa sana na ugonjwa fulani basi juhudi zinakuwa kwenye ugonjwa huo.

HIV-1 imeenea sana. Hivyo madawa yaliyopo sasa ni ya HIV-1. HIV-2 haijaenea sana na kwa sababu imeenea nchi za Africa magharibi, juhudi zilizofanywa ni ndogo na hakuna madawa.

Pamoja na kusema kuwa HIV-2 imeenea West Africa, interaction kati ya watu wa huko na Tanzania ni kubwa.
 
sikujua kama anaumwa zaidi ya kusikia tu kwenye nyimbo za dansi kama mmoja wa mapedeshee na mutu ya watu..............
Kama ndivyo basi yametimia ya mubgu kuwa kila kiumbe kitaonja mauti........alazwe mahali pema peponi .....ameni
 
Kamanda wangu

Kwenye issue serious lazima tusaidiane, ulinifurahisha sana kwenye post hii ulikuwa wazi bila kuficha ukweli wa tabia ya marehemu, kila siku yeye anaowa tu. Kwa kweli Mkulu tubadili tabia tunakwisha...statistics za Tanzania ni balaaa! Kwenye siasa mkuu tutapambana hahah bila kuparurana!

Kumbe mpwa wewe ni Dr. mzuri sana sasa mbona kule kwa yule binti anaye taka kunibambikizia mimba hujanipa ushauri mzuri kama hapo juu?
 
Tupeane takwimu kidogo

HIV prevalence Tanzania ni 7% tuko million 40. Tuna waathirika kama 3 million, tuna watoto yatima 1.2 million, wachumi wanakadiria uchumi wetu unapungua kwa 8.3% less per capita due to HIV/AIDS. Pamoja na ART kila mwaka wanakufa watanzania wenzetu Laki 2. Kati ya hawa waathirika 3 mil ni laki tatu tu ndiyo wanaopata ART hii imechangiwa kiasi kikubwa na pesa za Bush na NGOs.

Tafakari na chukua tahadhari

Masa
 
Kumbe mpwa wewe ni Dr. mzuri sana sasa mbona kule kwa yule binti anaye taka kunibambikizia mimba hujanipa ushauri mzuri kama hapo juu?

Hahahah kule niliandika bwana...ungetaka nyeti ungePM siunajua tena sisi ni twin brothers!
 
Chukua tahadhali

Masa

Mpwa naona leo umeguswa kweli kweli je umepima lakini?
Dah hongera sana kwa kutujenga kisaikolojia kulichukia gonjwa hili.
Unaweza kunisaidia box la condom mpwa?
 
Mpwa naona leo umeguswa kweli kweli je umepima lakini? Dah hongera sana kwa kutujenga kisaikolojia kulichukia gonjwa hili. Unaweza kunisaidia box la condom mpwa?

Mpwa wee acha tu!

Kazi ilikuwa kupokea majibu, maana nikikumbuka zile sehemu nilizopita na kuharibu...mmmh ishalaah majibu yalikuwa mswano, tokea siku hiyo condom na mimi kama wasabato na tai! hahahahahaha

Poa mazee nitakupa tukikutana pale Mlimani city!
 
Mpya anakimbiza sana

Mpya avatar yako ulifikiri nini hasa kuiweka?

Ukimwi unatisha unatisha si kawaida.
 
Poa mazee nitakupa tukikutana pale Mlimani city!

Hahahaha haya mpwa sasa kwa vile wewe umeamua kuhamia kwenye penzi binafsi itabidi unizawadie box la condom na K-Y mzee maana mm bado mzee kukata gafla inataka moyo mkuu. Powa mi nitakuwa samaki samaki pale njoo napata za moto.
 
Mpwa Mpwa karibu sana MCity hapa ndiyo kijiwe changu, mitaa ya Auditorium Hall.

Shida itakuwa kuniweka machoni....huwa napenda kuvaa kaptura na gari yangu ni nyeusi iko tinted! Nataka weka sticker ndogo ya JF ! Ngoja nimcheki Maxence
 
Mungu atusaidie kwa kweli, ugonjwa mbaya huu. Mbaya zaidi unatumaliza sisi vijana ambao tuna nguvu na kuwapa wazee mizigo ya kulea watoto yatima. Jambo la msingi hapa kila mtu achukue hatua, na sio kuanza kumsema mtu ambaye tayari ameshaondoka. Usimnyoshee mwenzako kidole, kumbuka vidole vingine vinakuja kwako mwenyewe.
 
Pretty:

Unaanza vizuri na baadaye unaboronga. Watu wengi wanaondoka wanaachia waliobaki mizigo ya kulea watoto na mambo mengi. Hivyo tutajifunza vipi bila kusema waliondoka?

Cha muhimu zaidi ni kujifunza kuelezana kabla ya watu hawajaondoka.
 
...Si ajabu ni ile halbadiri ya mkwe wake wa Kigamboni aliyemkana.
Huyu mtoto wa Kigamboni, si ndo yule aliyempokea airpot mcheza filamu wa Tz aliyekuwa BBA Revolution huko SA?
 
Huyu mtoto wa Kigamboni, si ndo yule aliyempokea airpot mcheza filamu wa Tz aliyekuwa BBA Revolution huko SA?

Wakuu mnatisha kwa kupekua nyeti za vigogo.

Nauliza tuu jamani yule mama etu wa UN hajambo kweli?
 
Pretty:

Unaanza vizuri na baadaye unaboronga. Watu wengi wanaondoka wanaachia waliobaki mizigo ya kulea watoto na mambo mengi. Hivyo tutajifunza vipi bila kusema waliondoka?

Cha muhimu zaidi ni kujifunza kuelezana kabla ya watu hawajaondoka.

Ndio hapo wanaume inabidi mjifunze, kuweni na mpenzi mmoja mwaminifu. Na wale waliooa inabidi mtulie na mkeo tu, usipapase huku na huku.
Mwanaume ndio kiini hasa cha mabadiliko kuhusu hili gonjwa. Maana kila mwanaume akiwa na mpenzi mmoja na akiacha kutongoza tena, sidhani kama kutakuwa mlipuko wa hili gonjwa kiasi hiki.
 
Mwanaume ndio kiini hasa cha mabadiliko kuhusu hili gonjwa. Maana kila mwanaume akiwa na mpenzi mmoja na akiacha kutongoza tena, sidhani kama kutakuwa mlipuko wa hili gonjwa kiasi hiki.

Mnatuonea jamani kinadada

Ninyi ndiyo kiini jamani, mnajiachia sana jamani,sikuhizi wadada wanatongoza wanaume bila aibu.

Unakuta binti anaacha paja zuri kabisa na chuchu zake maridadi kabisa nje nje, mwanume lazima utamani.

Kiini cha mabadiliko ni wanaume na wanawake pia.Kila mmoja akiwa mgumu kwa mwenzake UKIMWI unaota miguu mara moja.
 
Back
Top Bottom