Mohamed Mpakanjia is no more!

Mohamed Mpakanjia is no more!

Well, nadhani huhitaji heshima yangu maana ninavyokumbuka wakati wote nimekuwa critic wako lakini kwa kuwa nakutambua na kukuheshimu wakati wote nimekuwa nakufanyia constructive criticism. Nionyeshe ni wapi niliwahi kukufanyia personal attacks hata nilipokuwa natumia Tanzanianjema ambalo kamwe halikuwa anonymous kwa mtu yeyote anijuaye.....Na wala sikujificha na kutumia majina kibao

Hata hivyo kama unataka personal attacks ulizokubuhu nazo....bring it on....

Najijua mwenyewe kwani nimetambua hatma yangu siku nyingi sana na ninaishi nayo tangia wakati huo.....sijakumbuka shuka kumekuchwa. And believe me I might be respecting you but kitu fear for anybody or anything hakipo kwenye vocabulary yangu

omarilyas

- Bwana Omaar, heshima yako tena kaka, ninashukuru sana ndugu yangu kwamba finally unaweza kunijibu kwa heshima na in a civilizied way, ya fear na ID nyingi sikuyasema ila ni wewe ndiye umeyasema,

- katika siasa kama sheria ni mwiko sana kusema maneno ambayo hukuulizwa kwani huwa ni njia rahisi sana ya kuweka wazi weakness zako mwenyewe, kwa wazoefu wa details kama mimi.

- I am looking forward from now on kuwa na mijadala constractive in its criticism na wewe, as opposed na personal speculations attacks kama ilivyokuwa zamani, wewe ni mtumzima umenisikia na mimi pia nimekusikia, huwa sio tabia yangu kukurupuka hovyo bila sababu.

Respect.

FMEs!
 
Well, nadhani huhitaji heshima yangu maana ninavyokumbuka wakati wote nimekuwa critic wako lakini kwa kuwa nakutambua na kukuheshimu wakati wote nimekuwa nakufanyia constructive criticism. Nionyeshe ni wapi niliwahi kukufanyia personal attacks hata nilipokuwa natumia Tanzanianjema ambalo kamwe halikuwa anonymous kwa mtu yeyote anijuaye.....Na wala sikujificha na kutumia majina kibao

Hata hivyo kama unataka personal attacks ulizokubuhu nazo....bring it on....

Najijua mwenyewe kwani nimetambua hatma yangu siku nyingi sana na ninaishi nayo tangia wakati huo.....sijakumbuka shuka kumekuchwa. And believe me I might be respecting you but kitu fear for anybody or anything hakipo kwenye vocabulary yangu

omarilyas

Wakuu acheni hizi bana.. bahati nzuri nawafahamu personally, I believe you are all better than this.Maana kila mtu humu ndani akiamua kwenda personal na mwenzake anayemjua kutakua hakufai tena....
 
Mkuu kama unayosema ni kweli kabisa, yaani kama ndio sayansi yenyewe, umenimaliza nguvu kabisa! Hizi ARV mi nilidhani zimeshaleta matumaini makubwa sana, naona watu wakiendelea na maisha yao na kutunza familia zao vizuri tu huku wakiendelea na shughuli zao za kiuchumi vizuri. Lakini kama ndio 'silent killer' ya kihivyo, naona ni balaa kabisa! Au labda jamaa alikuwa hazingatii dawa bana, mbona jamaa wengine kibao wako fresh tu?

Wajua nilishaelewa kuwa mtu akiwa kwenye hizo ARV basi ni 'life as usual', mradi tu akumbuke dozi yake daily, mambo ya check ups kwa physician wake mara kwa mara, awe active, mambo ya sports nk, ndivyo ninavyoona wengine wakiishi.

Mkuu ARV kweli zina matumaini makubwa ila kwa kifupi ni lazima uwahi kutumia na si katika advanced stage ya ugonjwa. Ni lazima uzingatie diet. Ni lazima upunguze tendo la ndoa au kuacha kabisa. Ni lazima kufanya routine check ups kwa kuwa huwa zinabadilishwa type kulingana na hali halisi ya immune na kirusi maana huwa wanabadilikabadilika na tiba ni lazima ibadilike (aina ya ARV). Ni lazima uzingatie dose, this is very crucial na wengi wanashindwa hasa wanywaji pombe na madawa ya kulevya.

Mwishowe huwa nazo zinashindwa kazi, yaani mwili unakuwa weak kwa ARV (prolonged use) na ndiyo maana si tiba ya kudumu ya UKIMWI basi unakufa. Ni kama vile kabla ya ARV waathirika wenye kipato walikuwa wanafanya blood drain!! Ila nayo mwishowe mwili unashindwa na utakufa tu.

Kama utawahi ARV na kuzingatia masharti yake utaishi kwa muda mrefu (ndiyo maana wanaita ni dawa za kurefusha maisha). Kuna ndugu yangu alimwacha mjane since 1997 na bado yuko hai. Tunachofanya ni kumtunza na kumwonyesha upendo sana na kusaidia wale watoto. Watoto 3 wameshamaliza Secondary na wako Chuo, Mmoja yuko Sekondary na wa mwisho aliathirika na yuko Darasa la 5 (alichelewa kwa sababu ya optumistic diseases) na bado anaishi kwa matumaini.

Silent killer hapa ilimaanisha kuwa wakati wa kufa husumbuki sana kama ilivyokuwa awali, hasa madonda. Unagua muda mfupi na kufariki. Anyway, it is sad. Tuwe na uaminifu na ukimwi utamalizika.

Hivi ukishaoa au kuolewa unatafuta nini tena?? Ukiwa singel ukifa tutasema pengine katika kuchagua mchumba uliteleza maana unajua mambo ya onja onja na mkiachana huna budi kumtafuta mwingine, na uamimifu ni mdogo sana kwa vijana (mabinti kwa wavulana).

Wazazi pia tuchangie katika elimu kwa watoto wetu na akifa mtu wa ukimwi waeleze watoto wako live na ikiwezekana watembelee ndugu na wagonjwa wa ukimwi ili kujenga woga. Hebu tujaribu several options ili tuachane na mzigo wa yatima.
 
Nakuonea huruma maana inaelekea hujui hata umri wa mtoto wa AMINA na MPAKANJIA uliyekuwa unamchimba hapa.....

Yakwenu katika familia zenu yamejaa na kuwashinda mnabaki kujidanganya kwa kushabikia, kufitinisha na kufisadisha familia za wengine....na huo ndio ufedhuli....

omarilyas

sijakuelewa.....wala sina haja ya kukuelewa ...it add no value !!!

..tunaongelea hoja kwa upana ...wake na kwa faida ya sisi ambao mwisho wa safari yetu hatuujuwi...

sorry!!
 
Mkuu ARV kweli zina matumaini makubwa ila kwa kifupi ni lazima uwahi kutumia na si katika advanced stage ya ugonjwa.
Kama utawahi ARV na kuzingatia masharti yake utaishi kwa muda mrefu (ndiyo maana wanaita ni dawa za kurefusha maisha)
Kuwekana sawa, ART huwa hazitolewi kwa mtu anapogundua tu ni HIV + wewe unakokuita kuwahi...ART zina madhara makubwa sana kwa mtumiaji, kwenye figo, maini namapafu, subcutenous fats etc etc..usipokuwa makini zinaweza kukuuwa mapema hata kabla ya AIDS. WHO (shirika la Afya Duniani) limeweka taratibu za kufuta

The optimum time to commence ART is before patients become unwell or present with their first opportunistic infection. Immunological monitoring (CD4 testing) is the ideal way to approach this situation. A baseline CD4 cell count not only guides the decision on when to initiate ART but is also essential if CD4 counts are to be used to monitor ART.

CD4 Criteria for Initiation of ART
  • CD4 <200: Treat regardless of clinical stage
  • CD4 200-350: Treat if WHO stage III or pregnancy
  • CD4 >350: Treat if >1 stage III sign or repeated stage III conditions. For others, monitor and consider ART based on clinical or immunologic deterioration. Always start before CD4 decreases to <200.
  • Measure CD4 after stabilization of any intercurrent illness.
a -CD4 cell count should be measured after stabilization of any intercurrent condition.

b - CD4 cell count supplements clinical assessment and should therefore be used in combination with clinical staging in decision-making.

c - A drop in the CD4 cell count below 200 cells/mm 3 is associated with a significant increase in opportunistic infections and death.

d - The initiation of ART is recommended for all patients with any WHO clinical stage 4 disease and some WHO clinical stage 3 conditions, notably pulmonary TB and severe bacterial infections.

e - The initiation of ART is recommended in all HIV-infected pregnant women with WHO clinical stage 3 disease and CD4<350 cells/mm 3
 
RIP Meddy Mpakanjia.
mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehma alikupenda zaidi.
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki.

Vipi yule dogo wa Chadema nasikia alikuwa anamega mke wa Meddy hebu aje atuambia kama ni uzushi.
 
Mkuu Masanilo asante kwa darsa zuri
 
Vipi yule dogo wa Chadema nasikia alikuwa anamega mke wa Meddy hebu aje atuambia kama ni uzushi.

Listi ni nene Kabonde, na hata alipopita Marehemu Mpakanjia hasa kwa wasanii wa maigizo na celebrity wa hapo mjini acha kabisa!
 
Masanilo nasikia huu ugonjwa kwa wenzetu wazungu wamefanikiwa kuudhibiti na si tishio au sababu ya vifoo vingi kama ilivyo huku kwetu Africa.
Ni sababu zipi haswa nchi za ulaya na usa zilizopelekea kudhibiti maambukizi mapya.
 
Maane, Masanilo,

Ninashukuru saana nimepata somo kubwa sana kutoka kwenu kwenye huu ugonjwa hatari.

Ni vizuri kama tungepata thread mpya tukaondoa mambo mkanganyiko R.I.P. Bado kuna vitu vingi vya kujadili, kuna madawa ya miti shamba hiyo bado, kwa sasa hivi Arusha watu wanababuka kwa kunywa hizo dawa n.k!
 
Wakuu acheni hizi bana.. bahati nzuri nawafahamu personally, I believe you are all better than this.Maana kila mtu humu ndani akiamua kwenda personal na mwenzake anayemjua kutakua hakufai tena....

- Mkuu Amagnk, heshima kaka hakuna noma ni mambo ya uwazi tu sometimes, no big deal na nimekusikia sana.

Respect.

FMEs!
 
Masanilo nasikia huu ugonjwa kwa wenzetu wazungu wamefanikiwa kuudhibiti na si tishio au sababu ya vifoo vingi kama ilivyo huku kwetu Africa.
Ni sababu zipi haswa nchi za ulaya na usa zilizopelekea kudhibiti maambukizi mapya.

Nakupa jibu lepesi

Kuna aina mbili za HIV, HIV-1 and HIV-2, huenezwa zaidi na sexual contacts, both cause clinically indistinguishable AIDS. HIV-2 is less easily transmitted, and the period between initial infection and illness is longer in the case of HIV-2. HIV-1 huenezwa kwa wepesi na progression to AIDS iko faster. Wazungu wana zaidi HIV-2.

Sasa hata kwenye HIV-1 ina magroup 4 (M, N, O, P)

M ina subtype kama 10 (A-H) A D C ziko Africa na ni hatari sana ! Lakini B iko less virulent na iko ulaya na marekani.

subtypes.jpg

Hizi ndizo sababu.

NB Dawa zote (ART) zilitengenezwa kwa subtype B waliko wazungu na baadaye zikaletwa kutumika kwa waafrica wenye subtype A D and C, ndiyo maana huwa naawaambia watu ART is not a solution. Tuache ngono zetu, tumia condom

Masa
 
- Duh! Mkulu Masa, great thinker kumbe wamo! Ee bwana umeniacha hoi sana, hii ndio tunaita great thinking, saaafi sana mkuu for once nimekukubali ingawa tuendelee kutokubaliana kwa mengine kama kawa!

Respect darasa zito sana hilo, weka elimu hapa bro!

Kamanda FMEs!
 
Kamanda wangu

Kwenye issue serious lazima tusaidiane, ulinifurahisha sana kwenye post hii ulikuwa wazi bila kuficha ukweli wa tabia ya marehemu, kila siku yeye anaowa tu. Kwa kweli Mkulu tubadili tabia tunakwisha...statistics za Tanzania ni balaaa! Kwenye siasa mkuu tutapambana hahah bila kuparurana!
 
Nakupa jibu lepesi

Kuna aina mbili za HIV, HIV-1 and HIV-2, huenezwa zaidi na sexual contacts, both cause clinically indistinguishable AIDS. HIV-2 is less easily transmitted, and the period between initial infection and illness is longer in the case of HIV-2. HIV-1 huenezwa kwa wepesi na progression to AIDS iko faster. Wazungu wana zaidi HIV-2.

Sasa hata kwenye HIV-1 ina magroup 4 (M, N, O, P)

M ina subtype kama 10 (A-H) A D C ziko Africa na ni hatari sana ! Lakini B iko less virulent na iko ulaya na marekani.

subtypes.jpg

Hizi ndizo sababu.

NB Dawa zote (ART) zilitengenezwa kwa subtype B waliko wazungu na baadaye zikaletwa kutumika kwa waafrica wenye subtype A D and C, ndiyo maana huwa naawaambia watu ART is not a solution. Tuache ngono zetu, tumia condom

Masa

Masa, this is great!! For your contributions in the earlier post on ARVs/Ts and this one. Thank you so much and keep it up.
 
Back
Top Bottom