Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

Status
Not open for further replies.
ndio inanihusu mmezidi kutwa "vi'thread visivyo na kichwa miguu" sasa bora mkaombana urafiki facebook.. Ni maoni tu mpendwa charminglady

Kiherehere tu ndo chakuleta huku.... Si utokeeeeee!!!! Umeitwa??? Umelazimishwa kucomment au kusoma vithread vyetu visivyo na kichwa wala miguu???
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya wana Chitchat wote nawaomba Moderators wote watusafishie jukwaa letu pendwa kwani limevamiwa na Mamluki....

Hapo awali kabla ya mamluki hao tulienjoy sana jukwaa hili bila BAN zisizo na msingi, lakini sasa tunaingia jukwaa hili kwa wasiwasi wa kupigwa BAN za kusababishiwa...

Nahisi lengo la jukwaa hili lilikuwa zuri tu na ndio sababu likaanzishwa, kama lingekuwa jukwaa la Kipuuzi, kitoto, n.k (kama wasemavyo mamluki hao) Bila shaka lingefulitiwa mbali...

Kwa nini tukose raha katika jukwaa hili??????? Wanaoliona jukwaa la Chitchat haliwafai kwanini wanaingia huku???? Tunawasihi sana kwa Amani na Upendo waendelee kutembelea majukwaa mengine watuwachie jukwaa letu....

Si lazima kutembelea jukwaa hili as kuna majukwaa zaidi ya 50 yenye maana kuliko hili????? Tunakosa raha ya kuwa katika jukwaa hili kwa amani kisa MAMLUKI...

Nakala kwa wana Chitchat woooote!!!!

N.B. Mods msipeleke thread hii kwenye jukwaa la malalamishi ili kila mwanaCC asome na kutoa maoni yake.

Nawasilisha

hizi stori nishachoka kama unaona mtu kaleta uchafuzi wa hali ya hewa bofya Report Post kwa wale wa simu na Report Abuse kwa wale wa PC ya uanzishe uzi Miss ChitChat mboni unaniangusha bana..
 
Kwa niaba ya wana Chitchat wote nawaomba Moderators wote watusafishie jukwaa letu pendwa kwani limevamiwa na Mamluki....

Hapo awali kabla ya mamluki hao tulienjoy sana jukwaa hili bila BAN zisizo na msingi, lakini sasa tunaingia jukwaa hili kwa wasiwasi wa kupigwa BAN za kusababishiwa...

Nahisi lengo la jukwaa hili lilikuwa zuri tu na ndio sababu likaanzishwa, kama lingekuwa jukwaa la Kipuuzi, kitoto, n.k (kama wasemavyo mamluki hao) Bila shaka lingefulitiwa mbali...

Kwa nini tukose raha katika jukwaa hili??????? Wanaoliona jukwaa la Chitchat haliwafai kwanini wanaingia huku???? Tunawasihi sana kwa Amani na Upendo waendelee kutembelea majukwaa mengine watuwachie jukwaa letu....

Si lazima kutembelea jukwaa hili as kuna majukwaa zaidi ya 50 yenye maana kuliko hili????? Tunakosa raha ya kuwa katika jukwaa hili kwa amani kisa MAMLUKI...

Nakala kwa wana Chitchat woooote!!!!

N.B. Mods msipeleke thread hii kwenye jukwaa la malalamishi ili kila mwanaCC asome na kutoa maoni yake.

Nawasilisha

Mdogo wangu Mbwiga88 kapgwa ban imeniuma sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom