Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,221
Subiri amalize kazi mgodini kwakešMmh Kwa hela Gani alonayoš¤£
Utaogelea mipesa
Subiri amalize kazi mgodini kwakešMmh Kwa hela Gani alonayoš¤£
Nimejua kuweka hizi emoji zenu za kwenye like. Sasa kazi iendeleeUwe mara ngapi bhana boss.! šš
Tupe ajira hizo tupate pesa za kula na za kufanyia skin routine š
hakika, atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni..!!ššNapokea salaam mama mtumishi, hope uko vyema kabisa
Mkuu computer haijaua creativity sababu hizo rendering na michoro unayoona mtu hafanyi kutokea moja kwa moja kwenye computer, bali anaanza na kuconceptualize kwenye karatasi kwa mkonoMatumizi ya Computer na hizi rendering softwares na njaa yameua kabisa creativity na kujifunza design principles and fundamentals kwa wabunifu wa kizazi hiki.
R. I. P BJ Amuli, Sumar Varma, Antony Almeida
Tutajuta šššNimejua kuweka hizi emoji zenu za kwenye like. Sasa kazi iendelee
ššš Igweeeeeeešš
Wifi yangu, hichi hapa ndiyo furaha yangu, si unaiona ile chemistry ilivyo lit, naomba msiache kunifurahisha, Nawapenda sana..!!
Wewe tena em fanya uje ššš¤£š¤£š¤£Nazitoa wapi ss
Ni mwendo wa dislike tuššTutajuta ššš
Tutafokewa mpk tukome
Tar 20 nitakua townš¤£Wewe tena em fanya uje šš
Usinambie tayana šTar 20 nitakua townš¤£
šš ukinipa dislike nakudundaNi mwendo wa dislike tušš
Kuna kipindi nilionaga Kuna ugomvi humu wa dislike nikawa sielewi. Hivi vidude kwenye app hakuna vilikuwepo kwa wanaotumia browser, Ila walipoiunga app na browser sasa hivi vinatokea
Kazi zako ndio zikutangazeNi kweli kabisa jitahidi kufanya kazi na watu smart kama sisi hahaha
šššš ukinipa dislike nakudunda
Najua pa kukunyooshea š¤£šš