GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!
Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
Nyie mwajua leo kuwa Mnyika ni mpenda sifa ? jamaa anapenda umaarufu sana hata tofauti na Zitto kabisa