MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by charityboy, Dec 28, 2010.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

  Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
   
 2. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  jaribu kuangalia vizuri kazi za wabunge
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,338
  Trophy Points: 280
  wewe umetumwa na hao hao Si Si Em,

  Majukumu ya MBUGE ni yapi Bungeni?

  Acha kukurupuka,
   
 4. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukikua utaacha.
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  CharityBoy, this is the home of Great Thinkers. Mbona unaleta hoja za kipuuzi namna hii?

  Kwanza nina wasiwasi kama wewe ni mwana-Ubungo na pili nina wasiwasi kama umepiga kura.

  Kama umepiga kura basi nina wasiwasi na ubongo wako maana unampigia kura mtu ambae hajui majukumu yake.

  Nakushauri fuatilia hii link ujue majukumu ya Mnyika halafu utajigundua kuwa akili yako haiko vizuri na hustahili kuwepo JF http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf
   
 6. W

  Wezere Senior Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Changamsha akiri,katiba imechangia kwa kiasi kikubwa kuzorota kwa miradi ya maendeleo hapo ubungo.So swala analodai mnyika ni la msingi sana.Katiba ikibadilishwa uchakachuaji utapungua na uwajibikaji utaongezeka.Maendeleo ubungo utayaona nini tena unataka zaidi ya hapo?
   
 7. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  ina maana wewe baod zile sindan za usingizi walizkudunga ccm bado hazijaisha nguvu tu?!!! zinduka, wenzio wameshaanza safari we bado uko usingiini tu...polesana maana hujui ulitendalo....
   
 8. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  una mtindio wa ubongo
   
 9. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,809
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  ziongeze sheria humu ndani Jamvini Ya kuwa mtu akipost UZI usio na kichwa wala miguu azuiliwe kwa wiki moja kushiriki wana jaza serve tu hawa p*****f**
   
 10. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo nyie mkipewa maji ndiyo basi, kiu yenu kwisha.
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hauna tofauti na kahaba,kura yenyewe haukupiga,na hata kama ulipiga hukumpa!
  Kama ulimpa basi anacho fanya ni moja kati ya majukumu yake!
  kama ulidhani ata kuletea chakula nyumbani imekula kwako fanya kazi
   
 12. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaubungo tuko pamoja kijana wetu,achana nao hao vibaraka wanaofikiri kazi yako ni ukandarasi wa mabomba ya maji
   
 13. M

  Munghiki Senior Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu mtatiro walimchagua wananchi au wwe binafsi?ni suala ku2mia logic na nina 100% wwe cio mkazi wa ubungo 2ache na Mnyika we2 tuliyemchagua kwa ajili ya maendeleo ya ubngo!
   
 14. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  haka kajamaaa@charityboy kana matatizo makubwa kametumwa na majini,kana leta hija za ajabu sana,ina bidi kufungua forums za watu wenye matatizo ya akili.
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Charityboy aka Malaria Sugu.
   
 16. D

  Derimto JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani tumuelimishe na ikiwepo kumpa role profile za wabunge ikiwezekana na siyo kumshambulia hivi na msisahau kuwa humu jamvini walioko ni magreat thinkers na kama ni litle thinkers tumwelimishe kama ifuatavyo

  Charityboy ni hivi mbunge anaweza kuwa litle thinkers akaanza kutetea hoja za barabara ya kuelekea jimboni kwake na akajiona ana hoja na akapiwa makofi na kuungwa mkono na wenzake ilhali nchi kuna matatizo luluki yanayotukabili ambayo kama yatatatuliwa ontime yatasababisaha mabadiliko makubwa na kuifunika ile hoja yake na ndiyo maana SUALA LA MNYIKA KUSHIKIA BANGO KATIBA MPYA AMBAYO ITALETA MABADILIKO MAKUBWA NA KUONDOA URASIMU NA KERO MBALIMBALI ZIKIWEMO HIZO ZA MAJI.

  HII NI HOJA YA KITAIFA ZAIDI NA SIYO HOJA YA KIUBUNGO AU KIJIMBO AMBAPO TUNATAMANI KAMA WABUNGE WETU WOTE WAUNGANE WASIMAMISHE HOJA ZA NGUVU ZA KITAIFA NA TUTAPUNGUZA MATATIZO YASIYO YA LAZIMA.

  Mungu ibariki Tanzania.
   
 17. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Inaonekana unafanya kazi maalum hamu jamvini. Maana post inasema "Katiba mpya ya chadema hatuitaki". Ni wazi kuwa unachofanya ni kufanya mashambulizi dhidi ya Chadema lakini kwa kutumia mada tofauti tofauti.

  Kwa akili yako ndogo suala la maji ni kubwa kuliko Katiba? Hilo unataka kuwaambia majuha au watu wenye akili timamu.
   
 18. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
 19. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mpuuzi hana alama mwilini ila kwa matendo yake na maneno yake utamuelewa tu hata sasa rudi CCM hatuhitaji mazezeta wa kufikiria huku...:redfaces:
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata walimu huwa wanajua ni nani yuko tandishika sometimes,watu kama hawa either ni mjinga au anajua anacho fanya lakini anataka tu kuchezea akili za watu.

  Una hangaika na mtu ambaye hatakuelewa zaidi utamaliza nguvu zako tu!
   
Loading...