MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA

MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA

CharityBoy,This is the home of great thinkerz,people with fine minds! If by any chance u dont meet ths requirement,please unsubscribe yourself frm the forum!
Nevertheless,kwa sababu za kibinadamu niseme!
Mnyika si mtu anayeongozwa na sifa au kiu y madaraka,kama angekuwa anataka sifa au umaarufu angeanza kushikia bango issue za Ubungo kabla ya Taifa!
John ameanza na issue ya Katiba kwa sbb ndiyo chimbuko la Matatizo karibu yote ya taifa hili yakiwemo hayo ya Ubungo,eg Maji si tatizo la Ubungo tu,hata cc wa Jimbo la Segerea tunalo na kila kona ya nchi yetu kilio ni hikohiko!!
Sasa tunapoanza kushughulikia matatizo,hatuanzi na tukio,tunaanza na chanzo,tunaanza na mzizi na sio matawi!!
Mzizi hapa ni katiba which in essence is a system of BASIC LAWS by which a country is governed,sasa kama hz Sheria mama zikiwa na mushkeli,au zimepitwa na wakati au zilitungwa kwa hila ni lazima tuzibadilishe na tuiandike upya!!!
Ndiyo maana ameanza na Katiba,matatizo ya Katiba yanahusu pia Ubungo Charityboy!!
John Mnyika si mbunge wa Ubungo,ni Mbunge wa Tanzania!!!
Mungu Mbariki Mnyika!!!!
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Contradiction ya matumizi ya nafsi ya kwanza na ya tatu inadhihirisha wewe si mwanaubungo bali ni pandikizi. Kama viongozi wenu wameshindwa kufanya kazi wacha watu wanaojituma wafanye hiyo kazi please. Ukikua kiJF utatengamaa kimawazo. Karibu Sana
 
user-online.png
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Charityboy
Join DateThu Nov 2010
Posts36Thanks0
Rep Power 0

Wewe naona u mgeni hapa na humjui Mnyika vizuri, kama umetumwa waambie wamegonga mwamba.
 
KWELI KUNABINADAMU MASIKINI,LAKINI HUYU Jamaa ni masikini wa mawazo,yaani kati ya ******* duniani huyu namba moja.ANA MTINDIO WA UBONGO.Pumbavuu zako JF ni mahali pa waelewa na sio popompoo kama wewe.Mwanga mkubwa wewe,Jinamizi usiependa maendeleo ya taifa hili.Jitoe Jf nenda huko kwa visönoko wenzako.
 
wewe utakuwa umetumwa na zitto tu!!! Alidhani kichwa ni yeye peke yake?
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
Hi charity girl, what did you have for christmas?/ you sound very disoriented and out of order

Pole just see a doctor for God's sake
 
katumwa huyo,, 2sipoteze mda kwa kumjadili huyo kibaraka wa sisiem
 
Ndio maana unaitwa charity hata sasa umesaidiwa mawazo ya kuja kuandika hapa, kaa kimya huko huna maana, unadhani ni ww pekee unakaa ubungo?!!
 
kwani wewe ni wanaubungo au ulijadiliana na wanaubungo mukafikia muafaka kuwa ulete mawazo yako jf? Mawazo yako kamwe hayawezi kuwa ya wanaubungo.kwanza waombe radhi wanaubungo umewadharau.be thinker that thinks man.
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
Wewe hauwakilishi watu wote wa ubungo ijapokuwa unaweza kuwa ni mwakalishi wa wana ccm wote wa ubungo. Jitahidi kusoma na kutafakari kabla haujatoa hoja, KAZI ZA MBUNGE ZIKO NYINGI SANA hiyo ya maji ni mojawapo. In general kazi yake ni kutetea maslahi ya wanaubungo, dar na taifa kwa ujumla na bila mabadiliko ya katiba ni vigumu sana kutetea hayo maslahi.

Kama unamfahamu Mnyika na kazi alizofanya kabla hata hajapata ubunge usingethbut kusema analazimisha umaarufu
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Tatizo la maji ni la serikali si mbunge... Yeyye anaweza kupiga kelele tuu ili ww upate lakini sio kukuletea pale labda kama mwizi kama RA na EL...
Tunataka wabunge watuletee katiba mpya na kwa taarifa yako sisi wa huku external tumemtuma... Katiba za kifala hatutaki tena
 
Amakweli hakuna mtu hasara kabisa! hata kichaa anaweza akaondoa jiwe njiani ambalo lingeweza kuleta madhara kwa wapita njia, Charityboy thread yako haina mshiko kabisa na imejaa ushabiki wa kichama zaidi bila mtazamo wa kitaifa yaani ime kaa ki cuf zaidi.....Hata hivyo watu wenye akili wametoa mawazo mazuri ambayo yametujenga wengi kwa hilo nakupongeza
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Wewe si mtaalam wa kuandika threads za udaku??? Umekujaje huku kwenye eneo la critical thinkers??? Ziondoe pumba zako huku.
 
Charityboy,
Pole sana. Hata mimi nakuonea huruma. Lakini basi bila shaka umeelewa kuwa Katiba ndiyo Baba na mama wa Matatizo yote. Fedha za Nchi zisipotumika kwa uwiano wa vipaumbele maana yake maji, elimu na Afya havitakuwepo. Vipaumbele havitakuwepo isipokuwa kwa mipaka iliyowazi ya mamlaka za utawala nakadhalika. Hoja ziko nyingi ambazo Katiba ikikaa vizuri kero nyingi zitatatulika. Muunge mkono Mnyika kama tatizo lako ni la kuelimishwa tu, na pia kama hitaji lako la maji ni la kweli kama ilivyo kwa wananchi wa Ubungo. Kero ya Maji ni ya nchi nzima, kwani kuna ubaya gani tukipiga hitaji la nchi nzima na Ubungo ikiwemo ndani kwa hoja ya Mnyika au wewe unataka Ubungo pekee wapate maji?

Dr. Slaa, Asante sana kwa majibu haya ambayo, ni zaidi ya majibu, bali shule tosha. Nawashukuru na wana JF wote. Charityboy ameelewa nadhani kwani nadhani alikuwa anawaza kama siyo kikabila, basi kinamna fulani!!!!
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Samahani, nilisahau kukutukana kwa pumba zako. Pumbaa.......f weeee!! Kuna tofauti gani kati ya mawazo na ya ngedere???
 
Mwalimu alimuuliza Charityboy 1+1=? charityboy alijibu 11,
Charity hata hii hesabu ya chekechea unaishindwa? kweli we kichwa maji.
ulishindwa kujiuliza kwa nn ofisi ya bunge ilipokea hoja yake wakati sio kazi yake?
au hujawahi kuona wabunge wakitoa hoja binafsi?
ww ndio unataka kulamisha kujulikana JF kwa hoja zako za Ki..nge
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

hapa sio facebook... hii kitu ilibidi uipost facebook sio hapa
 
Mnapoteza muda na server JF. ukibishana na mpumbavu na wewe....................
 
Back
Top Bottom