MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA

Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Nyie mwajua leo kuwa Mnyika ni mpenda sifa ? jamaa anapenda umaarufu sana hata tofauti na Zitto kabisa
 
Malaria Sugu upo??
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
 
kaaazi kweli kweli. Atakuwa keshajifunza kutopost uzembe na uharo humu jamvini! Go mnyika go! Go! Go!
 
sasa jamani kunishambulia kiasi hiki hakusaidii. Sidhani kama nimekosea ni bora mkanielekeza. Kauli mnazotuia mtanifanya nisitowe tena mawazo yangu kitu ambacho si haki.
 
Pole bwana Charity. Kwa ushauri wangu kwa mambo kama haya ungepaswa uwe na uhakika kwanza je analofanya ni nje ya majukumu yake ya kiubunge au la.

Kama utakumbuka vizuri baada ya kutangazwa kama mshindi Mnyika aliweka wazi kuwa atawatumikia wana Ubungo kwa yale aliyoyaahidi lakini pia akiwa kama Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hataahca kutekeleza majukumu yake ya kitaifa kwa ujumla. Na hili ni mojawapo.

Nimekuwekea post hapo juu yenye katiba ili upitie uone.

Ila kwa harakaharaka mbunge anakazi sio ya kutekeleza ahadi alizotoa bungeni, kazi yake ni kusimamia Serikali kutekeleza majukumu yake (ambayo hata yale aliyoahidi ni sehemu ya majukumu ya serikali)

Vilevile yeye ni mtunga sheria. Na unajua katiba ni sheria mama, hivyo hapa anatekeleza jukumu lake jingine.

ANASTAHILI KUPONGEZWA NA SI KUMPONDA maana anatekeleza jukumu lake ambalo lina manufaa kwa wana Ubungo na watanzania wote

Natamani ningekuwa mwanaubungo nipite nikijigamba kuwa mbunge wangu kaonyesha ujasiri wa hali ya juu
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
Mbunge hawakilishi maslahi ya wapiga kura wake tu bali hata ya taifa ambapo wapiga kura wake ni sehemu ya taifa. Vikao vya bunge ambapo masuala kama maji na mengineyo hujadiliwa na kutolewa majibu na wahusika havijaanza mpaka mwezi wa pili kwa taarifa yako.M,bona mnaanza kumwandama kijan wa watu mapema? kama mlimwona hafai tangu mapema si mngemchagua Hawa Ngumbi? Inaonekana wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo!
 
Charityboy,
Pole sana. Hata mimi nakuonea huruma. Lakini basi bila shaka umeelewa kuwa Katiba ndiyo Baba na mama wa Matatizo yote. Fedha za Nchi zisipotumika kwa uwiano wa vipaumbele maana yake maji, elimu na Afya havitakuwepo. Vipaumbele havitakuwepo isipokuwa kwa mipaka iliyowazi ya mamlaka za utawala nakadhalika. Hoja ziko nyingi ambazo Katiba ikikaa vizuri kero nyingi zitatatulika. Muunge mkono Mnyika kama tatizo lako ni la kuelimishwa tu, na pia kama hitaji lako la maji ni la kweli kama ilivyo kwa wananchi wa Ubungo. Kero ya Maji ni ya nchi nzima, kwani kuna ubaya gani tukipiga hitaji la nchi nzima na Ubungo ikiwemo ndani kwa hoja ya Mnyika au wewe unataka Ubungo pekee wapate maji?
 
sasa jamani kunishambulia kiasi hiki hakusaidii. Sidhani kama nimekosea ni bora mkanielekeza. Kauli mnazotuia mtanifanya nisitowe tena mawazo yangu kitu ambacho si haki.

Yani viumbe wengine mmeumbwa kuongea tu!
Afanye kazi mtasema,akikaa kimya mtasema!

Wewe hata hauhitaji kuelekezwa chochote maana ni gharama kubwa sijui itachukua mda gani kuelewa!
Kwa kuanza kabisa wadhungu wanasema!

"IF YOU WANT TO GET SOMETHING NEW AND USEFUL,EMPTY THE CUP FIRST"

Huwezi kupata chochote cha maana wakati "akilini" mwako umejaza chuki na kuamini yale unayo ota na kuwaza mda wote
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
Umaarufu unalizimishwa au unakuja tu, Mnyika ni maarufu acha wivu na hiyo kazi anayofanya ndio kazi za wabunge sisi wapiga kura wake tumemwambia tunataka katika mpya na yeye anafanya kazi kututafutia katika mpya na kwa kazi hii 2015 ana kura zetu
 
sasa jamani kunishambulia kiasi hiki hakusaidii. Sidhani kama nimekosea ni bora mkanielekeza. Kauli mnazotuia mtanifanya nisitowe tena mawazo yangu kitu ambacho si haki.

Kuwa Mbunge sio lazima usaide kwenu tu unaweza saidia hata kigamboni, au kilwa, hayo ni majukumu ya kuwakilisha sasa kieleele chako cha kuandiak kichwa cha habari tata (Umaarufu/Kulazimisha ) ndivyo vilivyo kufanya uonekane pumbafu kabisa
 
We ndo ziro kabisa yawezekana hujui kazi za ubunge ni zipi, ungekuwa makini usingeongelea utumbo huo, inamaana sura la katiba haliwagusi wana Ubungo au Ubungo si sehemu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania?, na unataka kusema hakuna mwanaubungo anayetaka mbunge wake ashughulikie tatizo la katiba?, acha ushabiki wa siasa.

Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

CUF!hapa siyo zanzibar,hii ni Tanganyika!Tanganyika kiupinzani ni ya CHADEMA,ikifuatiwa na NCCR MAGEUZI.Hata Mnyika achemshe vipi jimbo hilo halitokwenda kwa CUF ng'o!!
 
ww ndye unayetafta umaaruf kw kupost huo upuuz wko. Shame on you. Kwnz nna uhakka hukai ubungo. Rud mirembe ukmalzie tiba. Uclete ujnga kwnye mambo ya mcngi.
 
Charityboy,nakuunga mkono 110% kurudi CCM....Mnyika kwako hakufai maana ana-hit bull's eye (Katiba mpya)...go...go....go....go!!!! Mnyika alichofanya ni kwamba;wengi wenye akili na fikra huru na wapenda maendeleo ya kiuchumi,kijamii na kisiasa kwa tanzania wamekubaliana na hoja ya katiba mpya...katiba itakayoshirikisha mawazo ya watanzania wote hivyo analiomba bunge liweke modality ya kufikia lengo hilo. kwa maana hiyo watakaoshiriki ni watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa au kidni,.
 
CharityBoy, this is the home of Great Thinkers. Mbona unaleta hoja za kipuuzi namna hii?

Kwanza nina wasiwasi kama wewe ni mwana-Ubungo na pili nina wasiwasi kama umepiga kura.

Kama umepiga kura basi nina wasiwasi na ubongo wako maana unampigia kura mtu ambae hajui majukumu yake.

Nakushauri fuatilia hii link ujue majukumu ya Mnyika halafu utajigundua kuwa akili yako haiko vizuri na hustahili kuwepo JF http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf

Kampeni yangu kufunga 2010...Zitto Zubeir Kabwe awe Mwenyekiti wa CHADEMA!!!!!!!!!!!!

I liked that
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Mnyika hajakosea kupeleka hoja binafsi kwani ni sehemu ya kazi zake ndio maana hata hiyo hoja imepokelewa na wahusika Bungeni,
Katiba ni sheria mama iliyobeba maaudhui yanayohusu ustawi wa watanzania wote,inahusisha miiundo ya kiutendaji ikiwemo serikali kuu,serikali za mitaa na mihimili mingine kama mahakama na bunge,kwa namna hiyo hiyo mifumo ndio inayoendesha ustawi wa watu wa Tanzania,Katiba iliyopo sasa inakiuka kwa kiasi kikubwa sana ustawi wa watu wa Tanzania na kunyonga kabisa haki za watu wa Tanzania kutokana na kuwa vipengele vyake ama vimepitwa na wakati ama vimepotoshwa na watawala kwa sababu wao ndio waliweka watu waliokuwa wakiingiza hivyo vipengele kwenye katiba pindi pale ilipokuwa ikirekebishwa ,kwa msingi huo tuungane na Mnyika na watanzania wengine walionyesha ari ya kuhakikisha nchi inapata Katiba mpya kwa mustakabali wa nchi yetu
 
CharityBoy, this is the home of Great Thinkers. Mbona unaleta hoja za kipuuzi namna hii?

Kwanza nina wasiwasi kama wewe ni mwana-Ubungo na pili nina wasiwasi kama umepiga kura.

Kama umepiga kura basi nina wasiwasi na ubongo wako maana unampigia kura mtu ambae hajui majukumu yake.

Nakushauri fuatilia hii link ujue majukumu ya Mnyika halafu utajigundua kuwa akili yako haiko vizuri na hustahili kuwepo JF http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf

Baelezee maana batoto ba siku hizi tabu tupu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom