MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA

Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

No Comment
 
Naamini ulikuwa unaandika hii post wakati umekalia mpingo wa mtu. Akili haikuwepo!!!
Ukisimama lete post nyingine yenye akili...... Heri ya mwaka mpya!!!:whoo:


Sina mbavu kwa posti yako, you have made my day.
 
Huyu chabo, anafikiria nini mpaka atamke hivi. Kama huna cha kutafiti ni bora ung'atuke. Jambo hili ni la kitaifa zaidi na si kichabo chabo. Inaonekana we ni wale wale wakina dowans.
 
Ninyi ccm acheni roho za korosho.Najua kinawauma kulikosa jimbo la umbungo sasa mmeanza kusaka vijisababu ili mradi tu MNYIKA aonekane hawezi kazi.Kupeleka mapendekezo ya katiba mpya ni moja ya majukumu ya mbunge.Katiba ni fundamental law of the land all legislation must derive the comformity with the constitution.We know Jelous is the case with MNYIKA
 
Ni haki yako kuchangia ktk Jf lakini kwa upupu kama huu hukutakiwa kufanya hivyo maana inaonyesha kiwango chako finyu ktkt kufikiria. Siko sisiemu wala cdm na wala si mkazi wa Ubungo, lakini itoshe tu kwamba wana Ubungo mmeandika historia kwa kuwa na Mbunge makini.
 
Back
Top Bottom