MNYIKA na UMAARUFU wa KULAZIMISHA

Wewe na nani...! sema 2015 nitarudi sisiem sio tutarudi.....! caz ur nat msemaji wa wana ubungo.....!:whoo:
 
Naamini ulikuwa unaandika hii post wakati umekalia mpingo wa mtu. Akili haikuwepo!!!
Ukisimama lete post nyingine yenye akili...... Heri ya mwaka mpya!!!:whoo:
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

KATIBA mbovu is the mother of all Matatizo Solve KATIBA unajenga foundation nzuri...... Kwahiyo Kijana anafanya Kazi yake... Na lazima uelewe Chadema walisema Wabunge wao wana kazi mbili... Jimboni na Taifa kwa ujumla
 
si mshangai huyo charityboy ni ccm maana ashazoea wabunge wao kupigia makofi kwenye hoja za kipuuzi..kama kuzima hoja ya richmond,kusema kuwa katiba haitakiwa, kuandamana kwa wafuasi wa CCm kulaani katiba mpya
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Hebu jaribu kupumua kwa nguvu, legeza mabega kisha fumba macho. Sasa jiulize kwamba ulitaka kusema nini. Kwa hiyo anza upya, mwanzo kabisa, tartiiibu
 
Nina wasiwasi sana na akili ya huyu kijana anazungumzia watu na hisia zake badala ya issues. Ebu mumsomeshe kinachoendelea kwenye jamvi au apigwe stop ana bore.
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

------------
Naona wewe ulieandika post hii bado umelewa na kilevi cha kijani maana hata fikra hauna, na vile vile hujui kazi za wabunge. Nadhani unahitaji msaada wa kuelimishwa maana unaangukia kwenye lile kundi la MAJUHA wa ccm.
Mnyika ni mmoja wapo wa wabunge very clever, kwa sababu unapotaka kutatua matatizo ya ubungo ni kama kutatua tatizo la mti, huwezi kupigana na matawi ya mti na hali tatizo liko kwenye mizizi, matatizo mengi ya nchi hii yamejikita kwa sababu ya kuwa na katiba mbovu.

Acha wenye akili wafanye kazi, this is the home of great thinkers usilete uswahili wa ccm.
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Madai ya katiba mpya have a lot to do with upatikanaji wa maji Ubungo. Its a pity kwamba you are not able to see the connection.

I can't blame you though.
 
Changamsha akiri,katiba imechangia kwa kiasi kikubwa kuzorota kwa miradi ya maendeleo hapo ubungo.So swala analodai mnyika ni la msingi sana.Katiba ikibadilishwa uchakachuaji utapungua na uwajibikaji utaongezeka.Maendeleo ubungo utayaona nini tena unataka zaidi ya hapo?

Wewe acha UZUMBUKUKU wewe. unaweza kufafanua Katiba imezorotesha vipi maendeleo ya Ubungo? Nina wasiwasi kama hata ushawahi kuisoma hata Katiba hii tulionayo. Ungefafanua specific vifungu vya Katiba vilivyozorotesha Maendeleo ya Ubungo kuliko kugeralize mambo.
 
ziongeze sheria humu ndani Jamvini Ya kuwa mtu akipost UZI usio na kichwa wala miguu azuiliwe kwa wiki moja kushiriki wana jaza serve tu hawa p*****f**

Sanjari na hiyo, iongezwe sheria kuwa mtu akileta uccm au Ucdm afungiwe milele.
 
Charityboy kweli kazi uliyokabidhiwa ni ngumu ona sasa matusi si nilikwambia acha kazi ya kizembe namna hiyo wewe umesoma then unakubali kutumika kama chagu. Mi niliambia hii kazi ngumu kuifanya ndani ya jf kuna watu makini --ila njaa itatuweka pabaya siyo wewe tu.
 
Charity Boy wewe una ugonjwa mkubwa sana hilo la katiba ni mojawapo ya jambo muhimu sana. KICHWA BOGAWEWE! ...wewe huoni jinsi katika unavyochangia kurudisha maendeleo nyumba...wabunge wa upinzani wanashindwa kutekeleza mikakati ya maendeleo kwa sababu ya katiba wewe hulioni hilo????????? KICHWA BOGAWEWE......Mbunge anatakiwa aangalie mambo mengi zaidi yamaji tu wewe charity mpumbavu! akili kama ya kuku!.......au wewe Fisadi nini unajifanya unauchungu sana na wana ubungo eh!
 
sasa jamani kunishambulia kiasi hiki hakusaidii. Sidhani kama nimekosea ni bora mkanielekeza. Kauli mnazotuia mtanifanya nisitowe tena mawazo yangu kitu ambacho si haki.
Better be silent and be regarded as a fool than speak and remove all doubts. Kunyamaza ni busara zaidi kuliko kujianika hapa kwamba hata A,B,c za ubunge huzijui. Asipowasilisha hoja binafsi Mnyika utaifanya kazi hiyo wewe? Kwani Mwakyembe aliposoma ripoti ya Richmond alitumwa na Wana Kyela au alikuwa anatekeleza majukumu ya kikatiba? Moto umewasha mwenyewe wacha ukubabue tu.
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Umekuja kwa pupa, i hope una IDs nyingi hapa, ila wewe ni LAIYONI, na hatuongei na malayaoni hapa, houseboy nenda utahiriwe then ukikuwa utapost thread hapa, u r arrogant, idiot, illiterate, kihiyo whatever stupid name u deserve, posts zako tangia uje humu ni kuchafua watu wasafi, ulianza na Dr Slaa jana, leo Mnyika, u r Political prostitute, & don't pretend ww ni CDM wakati sio tunakujua, laiyoni ww
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Ningekuwa ni wewe ningerudi hapa jamvini na kuomba radhi wadau huku nikitoa excuse (hata kama ya uongo) kuwa mdogo wangu ambaye ana utindio wa ubongo aliiba password yangu ya JF akatumia ID yangu kutuma hii post.

Kwa kweli hii pumba uliyopost haielezi chochote zaidi ya kutufahamisha ni kiasi gani una utindio wa akili. Mmmh, JF imefungua madirisha ili tupate hewa safi lakini bahati mbaya sasa hata inzi wa chooni kama
charityboy wanajiunga na hili jukwaa.
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!

Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

Wewe ni victim wa mfumo wa wabunge waliopita na wengi wa waliopo, wanaodhani eti kazi kuu ya mbunge ni kutetea jimbo lake na si nchi yake!

Kijana anafanya kile tulichotegemea afenye kama Mbunge, fikiria kwa makini kupatikana kwa katiba mpya kutatua matatizo kiasi gani?

Usiofu, kuhusu upatikanaji wa maji na matatizo mengine ya jimboni Ubungo, navyo atashughulikia kwa sababu akipeleka hoja ya Katiba mpya hazuiwi kushughulikia na matatizo yenu!
 
Wewe acha UZUMBUKUKU wewe. unaweza kufafanua Katiba imezorotesha vipi maendeleo ya Ubungo? Nina wasiwasi kama hata ushawahi kuisoma hata Katiba hii tulionayo. Ungefafanua specific vifungu vya Katiba vilivyozorotesha Maendeleo ya Ubungo kuliko kugeralize mambo.

Kama unaamini kuwa katiba imezorotesha maendeleo sehemu yeyote ndani ya Tz basi na ubungo imeathirika kwa katiba hiyo.

MFANO: Madaraka makubwa aliyonayo mkuu wa kaya mpaka kufikia kusamehe wezi wa EPA na kushindwa kuwawajibisha watendaji wanaosababisha hasara kwa taifa kila kukicha bado hapo ubungo haijaathira mkuu?
 
Naamini ulikuwa unaandika hii post wakati umekalia mpingo wa mtu. Akili haikuwepo!!!
Ukisimama lete post nyingine yenye akili...... Heri ya mwaka mpya!!!:whoo:

Huyu charity boy asisome comments zote lakini hii isimpite.
 
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!<br />
<br />
Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom