Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

naogopaaaaa panyaaaaa walaaaaaal,kupitaaaa chocgote
 
Nyie fanyeni masihara tu! Shauri yenu! Wekeni jokes wee ila usiombe kukutana nako! Kwa herini!
 
Nyoka Nyoka Nyoka, nobody likes you hata Russian Roulette anayependa pets za ajabu hajakutaja
 
vp chavichavi a.k.a dudu washa linatisha sana pata picha likikutambaa kutoka miguuni mpaka JUU!

Kumbe Naogopwa oi...
gypsy-moth.jpg
 
Mdudu Mbu ndie anaongoza record ya kuua watu hapa nchi Tanzania

draft_lens2817582module17110782photo_1235268258670px-Mosquito_2007-2enlarged.jpg
 
Nyoka Nyoka Nyoka, nobody likes you hata Russian Roulette anayependa pets za ajabu hajakutaja
Mkuu unamaanisha Huyu ndie hajatajwa na Russian Roulette!
rough-green-snake.jpg
Naweza Sema karibu ya Wanawake Wote hawampendi huyu zaidi ya Wanaume
 
Mi napenda reptiles, niseme tu ukweli. when I was young (or younger... lol) nilikua na pet kinyonga for almost 4 years (a male)... alafu nilipoenda University nikashindwa kuenda nae nikamrudisha porini. Hata hivo najua ningesikitika sana kuiona ikifa (life spine ni 5 years).

We Roulette wewe, kinyonga anavosisimua hivo na hiyo mirangi yake inavobadilika??? Dah......unamoyo aisee, mi namuogopa balaa kwanza sipendi hata kumuona!!
 
Mkuu unamaanisha Huyu ndie hajatajwa na Russian Roulette!
rough-green-snake.jpg
Naweza Sema karibu ya Wanawake Wote hawampendi huyu zaidi ya Wanaume
Mpaka nimesisimka, wanaume wengi wnamuogopa huyu wanawake wanaogopa mende, panya, buibui nk
 
kitu ng'e na tandu kama hujawahi kukutana nao live njoo dom.
 
Mpaka mbwa na paka mama? Walikufanyaje hawa jamani?
Paka hajawahi kunifanya kitu ila siwapendi vile wana tabia ya kulala kitandani na binadamu na nnawaogopa vibaya, nyumba yenye paka mie sikai..

Mbwa nawaogopa, hata ukinihakikishia kuwa hawaumi mie akuu. Nikiwa std5 nilikutana na mbwa njiani wakati natoka shule, yule mbwa alianza kunibwekea bila kosa, nkaanza kutimua mbio huku napiga makelele, alinifukuza mpaka nkakutana na mbaba mmoja akamkemea ndio akarudi alipotoka, toka siku hiyo mpaka leo mimi na mbwa mbali mbali, nyumba yenye mbwa pia siingii wala sikai kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom