Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Kuna mnyama au mdudu fulani humpendi/unamuogopa? Kwanini?

Mi simpendi nyoka na namuogopa nyoka yoyote awe mdogo awe mkubwa awe na sumu asiwe na sumu mi nyoka ni nyoka tu namuogopa na simpend
i
 
Chura na konokono. . . ndo maana sipendi sana kipindi cha mvua.
 
Chura na konokono. . . ndo maana sipendi sana kipindi cha mvua.
Mh so nikija na konokono nikikutishia nnachotaka unanipa eeh?
 
Naogopa wale mende wanaoruka.. Huwa wananinyima amani kabisa!
 
Nakumwagia chumvi akuyeyukie mkononi. . .. gross!!!
anami nakurushia nikiona unakuja na chumvi tena ukiwa umevaa skinny jeans akiingia humo raha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom