Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

nyoka tu basi. hivi ushapandwa na nyoka usikie alivyo baridi? lazima usisimke. Mia
 
Ntakuonesha nikija huko.
Ipo na staili ya Nataka Shari

kale kalikuwa kanamkarisha, sijui kama alielewa.

Hahahahaaa sasa kile ki askari cha kizanzibari kilikuwa kinamuonyesha mkuu kuwa kiko singo eeh?
Huo wa ushoga kazi ndio uko aje tena............?
 
Mi hata simjui hebu nielewesheni vizuri maana siwezi sema kama namuogopa ama laa kama simjui, unajua mkia una sifa zake kuitwa mkia so kama haufanyi kazi ya mkia then huo sio mkia

tatizo ni eti mkia kuwa mfupi alafu uko mbele wakati umezoeleka kuwa nyuma..ebu kumbuka bana mbona yupo kiumbe mmoja tu mwenye mkia mbele.ni swala la kuvuta kumbukumbu utamjua.
 
si ndo kale kalivunja nyumba ya mtu singida, kakararua mtu na mtoto wake.

Nimekasahau jina kwa kiswahili na kizungu.
Stori ilivuma sana kwenye vyombo vya habari.

Nyie jamani! Kuna kamnyama kamoja jamii ya paka kanaitwa Kanegele,ukubwa wake ni kama paka aliyekomaa vema,kanapatikana maeneo ya kanda ya ziwa. Haka hata simba akikutana nako anakula kona! Ukikutana nako njiani hakakupishi,ole wako ujifanye unakatimua! Sekunde chache kameshakurarua reception yote! Na kanawahi sana kukamata sehemu ya ofisi kwa kinababa! Ukifanikiwa kukashinda siku hiyo ujue kesho yake,same time,same place kanaibuka kurivenji! Ole wake atakaekatiza muda ule ule! Atakatambua! Nakaogopa ile mbaya!
 
Mi wadudu wote nawaogopa, labda labda sisimizi wadogo wale ndo kdg hawanikeri sn. Kuna yule kiuma mbuzi nkimuona napiga kelele utafkiri nachomwa moto. Mende, vunja jungu, panya, jongoo, snails, wajusi, washwasha, mbu, nzi, nyuki, yani wote nawaogopa na siwapendi hata kuwaona hata km hawana madhara.
 
nyoka aina zote, jongoo, konokono, washawasha, mende, wale wadudu wanakuwaga kwenye mboga za majani..

Mbwa na paka.

Mpaka mbwa na paka mama? Walikufanyaje hawa jamani?
 
Ntakuonesha nikija huko.
Ipo na staili ya Nataka Shari

kale kalikuwa kanamkarisha, sijui kama alielewa.

Halafu kale kalikula dili na wakubwa zake ili kawekwe pale.
Hahahaa haya uje unionyeshe bhana
 
Mi wadudu wote nawaogopa, labda labda sisimizi wadogo wale ndo kdg hawanikeri sn. Kuna yule kiuma mbuzi nkimuona napiga kelele utafkiri nachomwa moto. Mende, vunja jungu, panya, jongoo, snails, wajusi, washwasha, mbu, nzi, nyuki, yani wote nawaogopa na siwapendi hata kuwaona hata km hawana madhara.

Dah huko unakoishi hakuna hata mmoja?
 
si ndo kale kalivunja nyumba ya mtu singida, kakararua mtu na mtoto wake.

Nimekasahau jina kwa kiswahili na kizungu.
Stori ilivuma sana kwenye vyombo vya habari.

Dah mi kantisha eti kanakimbilia sehemu nyeti kabisa ya mwanaume! Sitaki kukutana nacho hicho
 
Wale nzige wasiokuwa na mabawa, ni wekundu halafu wanapatikan kwa msimu fulan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom