Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Mende jamani. Sio kwamba namuogopa ila nikimuona tu nasisimka. hata kumuua naona kinyaa... na panya, the same.
 
ila cha kwanza nachoogopa kabisa ni kama ningezaliwa chakula, hadi gozo ananila. Dah! Mdomoni kwa watu giza jamani.
 
Mende jamani. Sio kwamba namuogopa ila nikimuona tu nasisimka. hata kumuua naona kinyaa... na panya, the same.
Huko kwenye kibanda cha umwali ndio wapo hao, njoo kwangu hutawaona hata i promise
 
anami nakurushia nikiona unakuja na chumvi tena ukiwa umevaa skinny jeans akiingia humo raha!

Kwani nakuambia nakuja na chumvi? Alafu ataingiaje kwenye skinny jeans na wewe wakati hata kujikuna ni mtihani?
 
ila cha kwanza nachoogopa kabisa ni kama ningezaliwa chakula, hadi gozo ananila. Dah! Mdomoni kwa watu giza jamani.
Hahahahaaa halafu kuna watu midomo yao iko kama dampo ungekuwa unatapika huku unaliwa
 
Kwani nakuambia nakuja na chumvi? Alafu ataingiaje kwenye skinny jeans na wewe wakati hata kujikuna ni mtihani?
Si anaingilia huku kwa juu maana huwa pako luz kidogo
 
hehehehe, we badala ya kuja kunisaidia kuwamaliza unanialika kwako? una lako jambo, sio bure!
Haswa ninalo langu jambo nalo ni kukutoa huko kwenye mapanya na mende :eyebrows:
 
Hahahahaaaa hata vile vyeupe vya ndani ya nyumba?

vile ndo balaa,nikiviona silali hadi kitolewe nje,
hlf siku moja kikaingia kwenye handbag yangu,nikawa niko sehemu kwenye foleni ile naingiza mkono nitoe wallet ukatoka na chenyewe nimekishika,sitasahau nilivyopiga mayowe na kutupa kila kitu na kukimbia,hadi leo nikikumbuka naona aibu.
 
Hhhhm mbona zangu zinabana kote kote? Usikute navaa size sio yangu.
Mh basi kama ni hivyo anaingilia hapa kifuani maana siku hizi mnapaacha wazi ili tusipate tabu kuona
 
Back
Top Bottom