Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

vile ndo balaa,nikiviona silali hadi kitolewe nje,
hlf siku moja kikaingia kwenye handbag yangu,nikawa niko sehemu kwenye foleni ile naingiza mkono nitoe wallet ukatoka na chenyewe nimekishika,sitasahau nilivyopiga mayowe na kutupa kila kitu na kukimbia,hadi leo nikikumbuka naona aibu.
Hahaaaa dah pole sana but hope wataalam hawakukusaidia kutunza vitu vingine kati ya ulivyovimwaga
 
Mi hua navutia skinny jeans na polo neck . .
Sio kila siku unavaa hivo bhana, nakuvizia siku umevaa kama hapo kwenye avatar yako the nakuwekea tena vile vyeusi visivyokuwa na lile gamba gumu
 
Haswa ninalo langu jambo nalo ni kukutoa huko kwenye mapanya na mende :eyebrows:
Hapa nilipo hakuna. Si nimesha kwambia I can't stand them? NImehakikisha siwezi kuziona tena katika mazingira. Asante kwa kujali.
 
Hapa nilipo hakuna. Si nimesha kwambia I can't stand them? NImehakikisha siwezi kuziona tena katika mazingira. Asante kwa kujali.
Sawa kama hawapo ila ukumbuke wakionekana, i will be here. Kujali, u r welcome
 
Hahaha! Weeh akili zako zinakutosha mwenyewe, wallah tena! Sasa unataka tufunge energy saver mdomoni!?
ila cha kwanza nachoogopa kabisa ni kama ningezaliwa chakula, hadi gozo ananila. Dah! Mdomoni kwa watu giza jamani.
 
Anything crawling: mijusi hata ile ya ndani sijui. Chura niliacha kuogopa high skuli shauri ya kupasua. Ila reptiles wote kwa ujumla, kenge, kinyonga, mamba! I can imagine them crawling over my skin.
Kuna wale blood suckers weusi wako kama konokono, kwenye Rambo movie moja walimtambaa mwili mzima. Hao hata kuwaona kwenye tv staki japo sijawahi kukutana nao live.
 
Vinaitwa leeches. . . .vile vinasisimua mwili kweli.
 
Anything crawling: mijusi hata ile ya ndani sijui. Chura niliacha kuogopa high skuli shauri ya kupasua. Ila reptiles wote kwa ujumla, kenge, kinyonga, mamba! I can imagine them crawling over my skin.
Kuna wale blood suckers weusi wako kama konokono, kwenye Rambo movie moja walimtambaa mwili mzima. Hao hata kuwaona kwenye tv staki japo sijawahi kukutana nao live.
Basi uanze kuwazowea leeches coz they are now used in medical treatment. Kama ulivo zowea chura, zowea na hao.
 
Nyoka na kinyonga.......wee hata awe wa bandia/mdoli, hapana aisee!!
Mi napenda reptiles, niseme tu ukweli. when I was young (or younger... lol) nilikua na pet kinyonga for almost 4 years (a male)... alafu nilipoenda University nikashindwa kuenda nae nikamrudisha porini. Hata hivo najua ningesikitika sana kuiona ikifa (life spine ni 5 years).
 
Back
Top Bottom