Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,962
- 22,428
Hivi mbona watu wanamuogopa kinyonga hivyo!
walio wengi huenda walikuwa wanatishiwa na ndugu/wazazi wakati wa utoto. Mimi nimewahi kusikia miaka hiyo kuwa kinyonga aking'ang'ania kwa kitovu hatoki hadi hospital. Aisee!