Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Mimi naogopa dubwashika moja tu!!alielezeki ngisi si ngisi,lipo lipo picha yake jukwaa la kikubwa kwenye sred za kibweka
Kibweka huwa anatoa madubwasha mengi tu sasa yapi kati ya meeengi anayotoa?
 
Musimo Jr, sasa nadhani umeanza kupatapata majibu. Watu wengi wanaogopa mnyama au dudu lenye mkia.
 
vipi yule mwenye jicho moja aliyesemwa hapo awali na wewe unamwogopa.
Mi hata simjui hebu nielewesheni vizuri maana siwezi sema kama namuogopa ama laa kama simjui, unajua mkia una sifa zake kuitwa mkia so kama haufanyi kazi ya mkia then huo sio mkia
 
ha ha ha, wanja wa sina bwana unapakwa jioni afu unakaa barazani.

Sasa hivi nimepaka wanja wa ushoga kazi.
Hahahahaaa sasa kile ki askari cha kizanzibari kilikuwa kinamuonyesha mkuu kuwa kiko singo eeh?
Huo wa ushoga kazi ndio uko aje tena............?
 
Nyie jamani! Kuna kamnyama kamoja jamii ya paka kanaitwa Kanegele,ukubwa wake ni kama paka aliyekomaa vema,kanapatikana maeneo ya kanda ya ziwa. Haka hata simba akikutana nako anakula kona! Ukikutana nako njiani hakakupishi,ole wako ujifanye unakatimua! Sekunde chache kameshakurarua reception yote! Na kanawahi sana kukamata sehemu ya ofisi kwa kinababa! Ukifanikiwa kukashinda siku hiyo ujue kesho yake,same time,same place kanaibuka kurivenji! Ole wake atakaekatiza muda ule ule! Atakatambua! Nakaogopa ile mbaya!
 
Hebu tutafutie picha yake mkuu ili tukajue na sisi tusije kutana nako kakatuharibu, bora kararue uso huko kwingine hapana asee
 
Hebu tutafutie picha yake mkuu ili tukajue na sisi tusije kutana nako kakatuharibu, bora kararue uso huko kwingine hapana asee

ngoja nikiingia ktk pc yangu. Ni sura kama paka kabisa ila maskio ni marefu,macho ni makubwa yenye mnp'ao kama ya paka ila yametokeza zaidi kama goroli,mdomo mwembamba kiasi ni kajeuri usoni! Uspime!
 
ngoja nikiingia ktk pc yangu. Ni sura kama paka kabisa ila maskio ni marefu,macho ni makubwa yenye mnp'ao kama ya paka ila yametokeza zaidi kama goroli,mdomo mwembamba kiasi ni kajeuri usoni! Uspime!
Haya mkuu jitahidi maana nami kameanza kunitisha hako
 
nyoka aina zote, jongoo, konokono, washawasha, mende, wale wadudu wanakuwaga kwenye mboga za majani..

Mbwa na paka.
 
nawachukia
1.mende
2.jongoo
3. Tandu
4. Nge
5.panya
6. Nyoka
7.aina zote za duduwasha
8. Vunjajungu
9. Mbu
 
Back
Top Bottom