Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Tandu unamfahamu?
Waliopitia chuo kikuu cha dar wanamjua sana maana ni very common maeneo hayo. Aliwahi kuingia kitandani kwangu nikiwa nimelala, u can imagine sakata lilivyokuwa
 
naona mnasisitiza nyoka nyoka..nyoka yupi huyo? Mbona wengine hawaumi.
Nyoka ni nyoka tu asee awe anauma au haumi, wa kijani au wa pink wote wanafanana na hawavutii kabisaaaaaa na wanatisha
 
Bila mkia utaishi kweli?
Utarukwa akili na kuokota makopo.

Ila mkia wa ng'ombe sio mzuri mrefu mno., wa nguruwe nao haufai hata kujifukuzia nzi bora wa kondoo.

weee! Nikae nao wanichape na mkia!
 
Naona mwenendo wa sred unaanza kugeukia kichwa chini miguu juu, MADUDU YENYE MIKIA MBELE, MADUDU YENYE JICHO 1 LAKINI HAYANA SUMU! Mwe sijui ni madudu gani hayo
 
Bila mkia utaishi kweli?
Utarukwa akili na kuokota makopo.

Ila mkia wa ng'ombe sio mzuri mrefu mno., wa nguruwe nao haufai hata kujifukuzia nzi bora wa kondoo.
Taarab hizo we mtoto we............na wanja wako wa sina bwana! Lol!
 
Naona mwenendo wa sred unaanza kugeukia kichwa chini miguu juu, MADUDU YENYE MIKIA MBELE, MADUDU YENYE JICHO 1 LAKINI HAYANA SUMU! Mwe sijui ni madudu gani hayo
Kwani we unayajua hayo madudu?
 
Mimi naogopa dubwashika moja tu!!alielezeki ngisi si ngisi,lipo lipo picha yake jukwaa la kikubwa kwenye sred za kibweka
 
Bila mkia utaishi kweli?
Utarukwa akili na kuokota makopo.

Ila mkia wa ng'ombe sio mzuri mrefu mno., wa nguruwe nao haufai hata kujifukuzia nzi bora wa kondoo.

hahahaha!! Hivi mkia wa kondoo hauna manyonya mengi! Kama unayo mengi ndio nitazidi kuogopa.
 
naogopa mikia yao kukaa mbele. Nishazoea ng'ombe, mbwa na wengine mikia yao ipo nyuma. We huogopi?

ata mimi naishangaa ila siiogopi..naishika na kuichunguza kwanini hiko mbele lakini sipati jibu.vipi wewe ulishawai kuichunguza au kuishika hiyo mikia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom