Paka hajawahi kunifanya kitu ila siwapendi vile wana tabia ya kulala kitandani na binadamu na nnawaogopa vibaya, nyumba yenye paka mie sikai..
Hahahahaaa unaonekana ulikuwa mroho wa hatari we kabinti................Kali nasikia kuna wale nyoka wanaitwa kifutu kule Mbeya huwa nao wanatafuta baridi so kama umelala anakuja analala na wewe tena karibu na pua ili apate joto, hebu pata picha ukiamka hapo inakuwajeSasa ukiwa na paka halafu unaishi kwenye baridi, akiingia kitandani kwako lazma a-snuggle. Halafu anajisogeza kwenye kajoto, yaani mbele ya pua yako. Nikiwa mdogo nilipenda sana nyau, ila urafiki uliisha siku alipokula samaki. Mbaya zaidi unatoka shule saa saba, njaa ile mbaya, samaki wa nazi mezani afu nyau kachopoa mmoja na mnaambiwa mboga yote imwagwe kwa sababu za kiintelijensia! I almost killed the thing!
Duh ila hii kali, mi kuku amewahi kuning`ata begani mpaka nkapata kidondaNi bora nkutane na nyoka,kulko hawa:kuku,mbwa,sungusungu.yawezekana nkawa m2 nilie tofaut,nlshawah kuumwa na nyoka mara 3,mbwa 2,kukua aliniparua bas hta kumshka huwa siwashk wala kula nyama yke,mbwa ndio kabsaaaaa
Yule anayefanya macho yanakuwa mekundu eeh?