Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Paka hajawahi kunifanya kitu ila siwapendi vile wana tabia ya kulala kitandani na binadamu na nnawaogopa vibaya, nyumba yenye paka mie sikai..

Mbwa nawaogopa, hata ukinihakikishia kuwa hawaumi mie akuu. Nikiwa std5 nilikutana na mbwa njiani wakati natoka shule, yule mbwa alianza kunibwekea bila kosa, nkaanza kutimua mbio huku napiga makelele, alinifukuza mpaka nkakutana na mbaba mmoja akamkemea ndio akarudi alipotoka, toka siku hiyo mpaka leo mimi na mbwa mbali mbali, nyumba yenye mbwa pia siingii wala sikai kabisa!

nilikuwa nina mpango wa kukualika kwenye kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwangu ila kwa kuwa unamwogopa Mbwa basi nimeshakutoa kwenye list.Nalog off
 
Ha ha ha. Nialike afu ntaishia getini...kwani wewe hutaki zawadi?
 
Paka hajawahi kunifanya kitu ila siwapendi vile wana tabia ya kulala kitandani na binadamu na nnawaogopa vibaya, nyumba yenye paka mie sikai..

Mbwa nawaogopa, hata ukinihakikishia kuwa hawaumi mie akuu. Nikiwa std5 nilikutana na mbwa njiani wakati natoka shule, yule mbwa alianza kunibwekea bila kosa, nkaanza kutimua mbio huku napiga makelele, alinifukuza mpaka nkakutana na mbaba mmoja akamkemea ndio akarudi alipotoka, toka siku hiyo mpaka leo mimi na mbwa mbali mbali, nyumba yenye mbwa pia siingii wala sikai kabisa!
Usijali mamy ntakulinda na mbwa na paka popote utapopita, no paka nor mbwa will ever get close to u.......THIS I PROMISE YOU!
 
ila cha kwanza nachoogopa kabisa ni kama ningezaliwa chakula, hadi gozo ananila. Dah! Mdomoni kwa watu giza jamani.

kwani saiv siwezi kukutafuna??ebu nijuze kwanza we me/ke??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom