Fvck simpendi uyo fala… dah qqmk huu uzi kuna watu wataweka picha yake Ngoja nisepe
Oyaaaaah mnazingua mjuesnake roast hapa hong cong analiwa na kachumbari🤣
Aaah we! Mie sio mtoto mwenzio.Hahhahahah bado sana
Aisee myie mnashindwa kula nyani kweli?
Hahahah... 🤣🤣.. Man you're genius..Mbona kama umeweka picha ya medusa😀
Unapenda nin kwa chura?Hadi chura mwanaume 😂
MakalioUnapenda nin kwa chura?
Umesema mnyama ila wengi wameweka wadudu wa ArushaI don't like batView attachment 3586000
Kaka una hakika alikua black mamba??Black mamba ilibaki kidogo anigonge shingoni ,Morogoro kwenye shamba la mpunga , nikaruka kama Bruce Lee kumkwepa😅View attachment 3586006
mbn anakaa kama mdolBat huyo mzee
Black black mamba na green mamba kawaida tu kupishana naoKaka una hakika alikua black mamba??
Si ajabu ulikua ushapiga vitu vyako ukaona unywele ukadhani black mamba