Mnyama gani humpendi?

Mnyama gani humpendi?

Nyoka, hata picha yake tu sitaki kuona.
1000036520.jpg
 
Mnyama: nachukia mbwa hasa akitoa ulimi njee ghaashiii😠

Wadudu: chavichavi namchukia na yale manyoya yake yuewiii🙌
 
Nyoka anachukiwa kwasababu za kiimani, wengi waliaminishwa ni mbaya.

Kina simba, chui wakapambwa kua ni warembo.

Reptiles nisiowapend ni comodo na mamba, wale wapuuzi wanakula chochote wakiwa na njaa, hawabagui wala hawachagui.

Nyoka wala hana shida na binadamu labda chatu ambae nae yupo maeneo machache na hana shobo na binadamu.
 
Anavyotambaa tu anatisha!
 
Kuna kumpenda na kumwogopa. Mimi sipatani na nyoka.
Nyoka hatuwajui ndio maana wengi hatuwapendi au kuwaogopa.

Na ni kama wamewazidi maarifa binadamu ndio maana wanaogopwa, hawatabiriki kirahisi.

Zamani nilikua nahisi siwapend nyoka ila nikaja kujua nawaogopa, na baadae nilipowasoma soma nikajua sio tishio sana kwa binadam kama tukiwajua na kuwazidi maarifa.
 
Nyoka anachukiwa kwasababu za kiimani, wengi waliaminishwa ni mbaya.

Kina simba, chui wakapambwa kua ni warembo.

Reptiles nisiowapend ni comodo na mamba, wale wapuuzi wanakula chochote wakiwa na njaa, hawabagui wala hawachagui.

Nyoka wala hana shida na binadamu labda chatu ambae nae yupo maeneo machache na hana shobo na binadamu.
I once wrote Uzi humu nikielezea hivihivi. Watu wameambukizwa chuki toka kwenye vitabu vya dini. Ndo hao husema eti koboko anaweza kukimbuza pikipiki akichukia au gari which is wrong. Ukisikia story za watu humu jf kuhusu nyoka unaweza hisi vijiji vya tabora havina watu waliliwanna nyoka. Kumbe wanaishi vizuri tu
 
Zamani nilikua hivyo pia, mimi sio mtu wa chuki zisizo na msingi kwa kitu chochote.

Nyoka anachukiwa kwasababu ya dini.
 
Nyoka hatuwajui ndio maana wengi hatuwapendi au kuwaogopa.

Na ni kama wamewazidi maarifa binadamu ndio maana wanaogopwa, hawatabiriki kirahisi.

Zamani nilikua nahisi siwapend nyoka ila nikaja kujua nawaogopa, na baadae nilipowasoma soma nikajua sio tishio sana kwa binadam kama tukiwajua na kuwazidi maarifa.
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom