Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,789
- 3,600
Kipindi kijiwe cha kahawa kiko mtaa wa azikiwe.Sio la uji! La choroko la 7 umemaliza muda inaonekana
Kipindi kijiwe cha kahawa kiko mtaa wa azikiwe.Sio la uji! La choroko la 7 umemaliza muda inaonekana
Hata salamu TU ☺️😌Sio la uji! La choroko la 7 umemaliza muda inaonekana
WalekumkristoHata salamu TU ☺️😌
Salamaleko 😁
Hapa hatuzungumzii huyo nyoka wa Dar.Maajabu wanaume wengi humu wanaogopa nyoka, wakati wamezaliwa nae na wanaishi nae ndani ya boxer🤷🤷🤷🤔
Kaka nakuona kaka,
Hawana hata tofauti kabisa...utofauti ni kidunchu sana, wamezidiana urefu tu!Hapa hatuzungumzii huyo nyoka wa Dar.
Haaahaa 😂 😆Walekumkristo
Nimecheka hadi nimepaliwa🤣🤣🤣Sio kweli shindii bado kabichi mno 😀
Wee hakuna nyoka Size ya Bamia..Hawana hata tofauti kabisa...utofauti ni kidunchu sana, wamezidiana urefu tu!
Hawa wanaotambaa jeYeah tena anajificha mno , na kukwepa kuonekana kizembe
Hawa wdudu huwa siwakubali kabisa kwanza wanaruka pili kuna zile stori nilikuwa nambiwa toka nipo mtoto et wanapita kwenye pua mpaka kwenye ubongo duh!😁Mantis=vunja jungu😄
Stori za jaba.Hawa wdudu huwa siwakubali kabisa kwanza wanaruka pili kuna zile stori nilikuwa nambiwa toka nipo mtoto et wanapita kwenye pua mpaka kwenye ubongo duh!😁
Bora hio kuna baadhi ya makabila watoto wanaaminishwa hao wadudu wanakata maskioHawa wdudu huwa siwakubali kabisa kwanza wanaruka pili kuna zile stori nilikuwa nambiwa toka nipo mtoto et wanapita kwenye pua mpaka kwenye ubongo duh!😁
Hawa waoga mnoHawa wanaotambaa je
Hahhahahah bado sanaNimecheka hadi nimepaliwa🤣🤣🤣
Ninafundhisha watoto wa wanafunzi wangu🤔
Hahahhaa bwashee unaogopa paka au haupendi paka?Kaka nakuona kaka,
Mimi na allergie na PAKA SIMPENDII naweza kukosa amani au kuogopa kabisa nikienda kula nikikuta mapaka Huwa nayarushia chakula yasinisogelee.
Wakati mwingine watu hustaajabu mbaba kama Mimi kuogopa PAKA kweli sipendii PAKA
Vyotee kwa pamojaaHahahhaa bwashee unaogopa paka au haupendi paka?