Mnyama gani humpendi?

Mnyama gani humpendi?

Ukiwa mtu wa shamba kawaida mkuu, hasa maeneo ya matindiga kuna nyoka wakali vibaya mno, ukienda moro kilombero mashamba ya miwa , unakuta black mamba kajisokota kwenye fungu la miwa kichwa kaweka juu ya miwa anakupimia tu
Uking'atwa na nyoka inatakiwa kufanyaje ili usife
 
Ukiwa mtu wa shamba kawaida mkuu, hasa maeneo ya matindiga kuna nyoka wakali vibaya mno, ukienda moro kilombero mashamba ya miwa , unakuta black mamba kajisokota kwenye fungu la miwa kichwa kaweka juu ya miwa anakupimia tu
Mimi siwezi ishi huko, ila pengine ningekuwa mzaliwa wa hayo maeneo ningekuwa nimewazoea.
 
Back
Top Bottom