sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
- Thread starter
- #61
Umeongea points kwa asilimia 60 lakini jaribu kuweka hisia za chuki pembeni mkuu, naona umeongea kwa hisia chachu, dharau na kebehi, next time weka pembeni hizo sumu, haya matatizo ni yetu sote, watanganyika wengi pia hawautaki muungano na wazanzibar pia hawautaki, hakuna haja ya kuweka hisia chachu kwenye kutoa maoni.Nyerere alikuwa na lengo moja tu kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wa Zanzibar waje kuwekeza Tanzania bara uwekezaji mkubwa serikali ipate Kodi kwani wazawa kipindi kile wakiwemo wachaga matotongo ya kufanya biashara kubwa yakikuwa yamejaa hayajaamka .Wachaga walikuwa migombani tu kulima kahawa wamelala fofo kibiashara.Akaona heri alete wazanzibari waje huku kwa wingi bara apate Kodi ya kuendesha serikali na alifanikiwa Hadi leo wafanyabiashara wakubwa Wenye biashara kubwa na viwanda vikubwa bara Ni wazanzibari kuanzia akina Bakhresa nk wameshika sekta kubwa ziwe usafiri,mafuta,viwanda nk
Wachaga Ni wachuuzi yaani machinga waliochangamka kuliko machinga wa makabila mengine
Kwa kulipa Kodi TRA wazanzibari walioko bara wanaoongoza kuliko waswahili wote watanganyika
Nyerere aliangalia zaidi TRA kuukubali huu muungano mnauona umekaa mguu kushoto ukiwa kulia na wa kulia ukiwa kushoto.
Ukiwaangalia kiingiacho TRA Hadi leo Huwezi mtu kubali muungano uvunjike kirahisi hivi ukiuvunja halafu Bakhresa arudi kwao Zanzibar Mswahili yupi mtanganyika aweza kuwa na mtaji na uwezo wa kuendesha business chain kubwa za Bakhresa kuhakikisha TRA inapata chake bila athari? Wata take over Nani Hawa malofa akina Lisu wapiga Domo ambao hata kufuga kuku tu wa biashara watano hawawezi kazi kubweka tu kuwa muungano mbaya? Mkono mtupu haulambwi
Nyerere alikubali muungano wa aina ilyopo akijua mkono aulambao una kitu.Mfano tukisema tulambe mkono wa Chadema wasiotaka muungano una Nini? Mbowe ana Nini,Lisu ana Nini,Msigwa ana Nini? Chadema wengi choka mbaya wamepigika kimaisha wanaishi kwa kuchonga midomo tu
Hapo nmechukua ka point kazuri sana baada ya kuchambua mchele uliojaa mawe ili nipate mchele pekee