kuuvunja pia ni kwa manufaa ya nani?
kuuvunja pia ni kwa manufaa ya nani?
Kwani kuukataa Muungano ni dhambi au kosa kisheria?Huyo sheikh alitakiwa aongezewe
kesi mpya hapohapo...kuhamasisha wapenzi wake kuuchukia
Muungano huku akijua wazi kuwa yuko chini ya ulinzi.
tangia uamsho waiombe smz kuitisha kula ya maoni ni muda mrefu; hofu ya ccm ni nini ? Muungano umebaki kukumbatiwa na wanasiasa tu wananchi wameuchoka. Ukifungua kesi za kuupinga utaishinda selikali maana vielelezo vya kuuhalalisha havipo ! Muungano huu ni kwq manufaa ya nani ?
Si kweli, walijibu ni Wazanzibar waliohudhuria mahakamaniWaliokuwa wakijibu ni
kikundi kidogo cha akina mama ambao hawawezi kuwakilisha
maoni ya Wazanzibari wote, iitishwe kura ya maoni upande wa Zanzibar na Tanganyika ili tuweze kufikia maamuzi ya haki.
Mbona hili lipo wazi jamani, si kwa manufaa ya OMAN waliofurusha kwenye mapinduzi ya Zanzibar 1964.
Simple, Wazanzibarkuuvunja pia ni kwa manufaa ya nani?
Mbona hili lipo wazi jamani, si kwa manufaa ya OMAN waliofurusha kwenye mapinduzi ya Zanzibar 1964.
Mnavyowang'ang'ania!!!! wenyewe hawautaki yaani mmemuonauko sahihi mkuu...maana ata
farid ni mwarabu wa oman,ndio maana uhamsho wote waharabu
hakuna mzanzibar asilia(mweusi) ata mmoja.
Uko sahihi mkuu, hapa ni ushabiki tu, kwa upande mmoja watu wanailaumuILA wana jf tuache ushabiki,Muungano
umedhoofisha sana maendeleo ya zanzibar kama ilivyopia tanganyika!
Na kuna wazenji wanaoshabikia
kuvunjwa muungano ilhali hata hawajui walioko nyuma ya
akina Farid, wamemezeshwa maneno wanayatema bila
hata kujua nini dhamira ya dhati nyuma yake