Mnautaka muunganoooo...Hautuutaki!!!

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,304
6,509
Hayo ni maaneno aliyokuwa akiyatamka Sheikh Faridi wa UAMSHO kuhamasisha wafuasi wake,,,nao wakajibu hatuutaki..pia Watanganyika tumeshauriwa ni heri tujiunge na Kenya!!!

Source:ITV-habari ya saa 2
 
Waliokuwa wakijibu ni kikundi kidogo cha akina mama ambao hawawezi kuwakilisha maoni ya Wazanzibari wote, iitishwe kura ya maoni upande wa Zanzibar na Tanganyika ili tuweze kufikia maamuzi ya haki.
 
ukiuangalia kwa maneno ni muungano lakini una kama element za ukoloni hivi kwa vitendo
ni mtazamo tu
 
tangia uamsho waiombe smz kuitisha kula ya maoni ni muda mrefu; hofu ya ccm ni nini ? Muungano umebaki kukumbatiwa na wanasiasa tu wananchi wameuchoka. Ukifungua kesi za kuupinga utaishinda selikali maana vielelezo vya kuuhalalisha havipo ! Muungano huu ni kwq manufaa ya nani ?
 
tangia uamsho waiombe smz kuitisha kula ya maoni ni muda mrefu; hofu ya ccm ni nini ? Muungano umebaki kukumbatiwa na wanasiasa tu wananchi wameuchoka. Ukifungua kesi za kuupinga utaishinda selikali maana vielelezo vya kuuhalalisha havipo ! Muungano huu ni kwq manufaa ya nani ?

Ni kweli selikali haitaki kupigwa kula
 
Waliokuwa wakijibu ni
kikundi kidogo cha akina mama ambao hawawezi kuwakilisha
maoni ya Wazanzibari wote, iitishwe kura ya maoni upande wa Zanzibar na Tanganyika ili tuweze kufikia maamuzi ya haki.
Si kweli, walijibu ni Wazanzibar waliohudhuria mahakamani
kwenda kusikiliza shauri hilo.
 
Mbona hili lipo wazi jamani, si kwa manufaa ya OMAN waliofurusha kwenye mapinduzi ya Zanzibar 1964.

uko sahihi mkuu...maana ata farid ni mwarabu wa oman,ndio maana uhamsho wote waharabu hakuna mzanzibar asilia(mweusi) ata mmoja.
 
Mbona hili lipo wazi jamani, si kwa manufaa ya OMAN waliofurusha kwenye mapinduzi ya Zanzibar 1964.

Na kuna wazenji wanaoshabikia kuvunjwa muungano ilhali hata hawajui walioko nyuma ya akina Farid, wamemezeshwa maneno wanayatema bila hata kujua nini dhamira ya dhati nyuma yake
 
ILA wana jf tuache ushabiki,Muungano umedhoofisha sana maendeleo ya zanzibar kama ilivyopia tanganyika!
 
uko sahihi mkuu...maana ata
farid ni mwarabu wa oman,ndio maana uhamsho wote waharabu
hakuna mzanzibar asilia(mweusi) ata mmoja.
Mnavyowang'ang'ania!!!! wenyewe hawautaki yaani mmemuona
Faridi tu!!!! au ndi chuki zenyewe? Yule aliyekuwa waziri wa
sheria awamu ya kwanza Nasoro Moyo naye hautaki,
Asilimia kubwa ya Wazanzibar hawautaki ni mabavu tu ndiyo yanayotawala.
 
ILA wana jf tuache ushabiki,Muungano
umedhoofisha sana maendeleo ya zanzibar kama ilivyopia tanganyika!
Uko sahihi mkuu, hapa ni ushabiki tu, kwa upande mmoja watu wanailaumu
CCM halafu kwa upande mwingine wanashindwa kujua kuwa CCM ndio
ambao wameushikilia Muungano, muungano ambao huwanufaishi wazanzibar
wala Watanganyika.
 
Na kuna wazenji wanaoshabikia
kuvunjwa muungano ilhali hata hawajui walioko nyuma ya
akina Farid, wamemezeshwa maneno wanayatema bila
hata kujua nini dhamira ya dhati nyuma yake

Nyuma ya kina Farid, wako wazanzibar, hata hivyo ni bora kutawaliwa
na YEMEN au OMAN kuliko Tanganyika.
 
Mie huwa nawashangaa wabara wanabg'ang'ania Muungano. Ivi kabla ya muungano life ilikuwa haisongi? Kwanini tunakuwa kama vile tunaulazimisha? Mie nadhani kama tuliungana nao kwa kheir na kwasasa wanaona hatuwatendei haki kwanini tusiurekebishe vile wao wanavyopendekeza? Kila siku watoto zetu wanasomeshwa mashuleni jinsi wakoloni walivyotutawala kimabavu na huwa inatuuma sana. Sasa iweje leo tanganyika tunataka kuwafanyia wazanzibar yaleyale yaliyofanywa na mkoloni kwetu? Ebu basi tuwe binadam na tuache unyama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom