Mnautaka muunganoooo...Hautuutaki!!!

majonzi

Senior Member
Sep 25, 2007
176
170
Hata mimi nasema siutaki muungano wapemba wamejaa kila chochoro hapa Dar
wakiondoka nafikiri tutapumua sana
 
zaleo

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,901
2,000
No ! Itadumu, mbona rwanda burundi zimedumu na hazikuungana na taifa lolote. Fikra za kijamaa haziwezi kuendelea kudumu. Muungano huu unalindwa tu tamaa za watawala kupenda kuwatawala watu wengi zaidi. Ila zanzibar bila tanganyika inawezekana bila shaka yoyote. Muungano ambao kuungana kwake kumefanyika kijanjajanja hauna vielelezo vya kujitosheleza kisheria. Inatosha sasa tuishi kwa fikra na manufaa ya waliohai aliyepita aliondoka na mawazo yake ! katiba mpya yatosha kuuvunja muungano
Haya mkuu, tujaribu kwa taraka rejea basi.
 
Jajani

Senior Member
Oct 13, 2012
138
0
Huu muungano ukiharibika watakapata shida ni Wazenji. Kiburi cha Uzanzibari na Utanganyika hakina faida zaidi ya hasara.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Zanzibar watulie.
Kiburi cha kugundua mafuta hakina faida zaidi ya hasara.
Kuna nini zaidi ya ubinafsi ?
 
Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,289
2,000
mimi sikumwelewa farid na wale askari waliokuwa wanampeleka kwenye gari. mahabusu anarushusiwa kutoa lugha za uchochezi akiwa chini ya ulinzi. tena anasema tanganyika ikaungane na Kenya wajiite Kentania tuwaachie Zanzibar yao.
 
Mwalimu Rabbi

Senior Member
Nov 23, 2012
109
225
"Dhambi ya ubaguzi ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu.... " Leo dhambi ya ubaguzi ikiwatenga WATANGANYIKA, dhambi hiyo hiyo itakuja kuwagawa WAZENJ katika makundi mawili - WAZANZIBARA na WAZANZIBARI. Inabidi WAZENJ kuwa makini na nchi za OMAN na YEMEN zilizo nyuma ya uchochezi wa kuvunja muungano. Napendekeza muundo wa serikali 3 (ya Tanganyika, ya Zanzibar na ya Muungano) badala ya kuvunja muungano.
 
crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
891
500
Tunataka misaada ya waarabu, sisi mambo ya kuhangaika hatuyawezi, pesa kibao za mafuta kwa waarabu. "Nje ya Muungano hakuna SISI Wazinbari wao Watanganyika".
 
mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
Mbona hili lipo wazi jamani, si kwa manufaa ya OMAN waliofurusha kwenye mapinduzi ya Zanzibar 1964.
Kwanini munajenga hofu? Mbona hatujawahi kusikia Watanganyika mukitishiwa Malkia wa UINGEREZA pindi Mukidai haki zenu!!!!! Kwanza huyo Sultan Baraghash wa OMAN ameshafariki zamani atakuja akitokea wapi? Umemsikia Amani Karume kule Kizota! Lakini inawezekana wewe ni miongoni mwa wale wenye "Akili za samaki"
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
50,460
2,000
sasa kama hawautaki kwa nini wapemba wamejazana bungeni dodoma?

Na mbona Nape aliimba na kusema uamsho bye bye?
 
mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
uko sahihi mkuu...maana ata farid ni mwarabu wa oman,ndio maana uhamsho wote waharabu hakuna mzanzibar asilia(mweusi) ata mmoja.
Nakutajia viongozi wa UAMSHO maana inawezekana akili yako imeharibika kwa kuvimbiwa KITI MOTO au wajitia wazimu wa makusudi

1- Sheik Msellem Ally (Mweusi) Amiri (Kiongozi) mkuu wa UMSHO mtu wa Donge Unguja

2- Sheikh Azzan (Mwekundu) naibu Amiri UAMSHO, Mtu wa Mfenesini Unguja

3- Sheikh Farid (Mwekundu) Amiri JUMAZA, Mtu wa Pemba

4- Sheikh Suleiman Haji (Mweusi) Muhadhiri, amechanganya upande mmoja anatoka Tanganyika

5- Sheikh Mussa Juma (Mweusi) Muhadhiri, Mtu wa Donge Unguja
Ukiwatoa hao wawili waliobakia wote weusi, sasa unaposema UAMSHO ni waarabu au Wapemba mimi nashindwa kukuelewa!
 
sweke34

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
2,527

Mwekundu ndiyo muarabu koko??
 
mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
Waliokuwa wakijibu ni kikundi kidogo cha akina mama ambao hawawezi kuwakilisha maoni ya Wazanzibari wote, iitishwe kura ya maoni upande wa Zanzibar na Tanganyika ili tuweze kufikia maamuzi ya haki.
Si kweli, walijibu ni Wazanzibar waliohudhuria mahakamani
kwenda kusikiliza shauri hilo.
Mimi binafsi nasoma Chuo ambacho kipo senti mita chache kutoka katika Mahakama na siku hiyo nilikwuwepo Mahakamani na tulikua na wanafunzi wenzangu wasiopungua 70, ukitoa sisi wanafunzi na wale waliokuja kusikiliza kesi kuna na watu wengine waliopaza sauti zao na kusema "HATUUUTAKIIII" ambao hata huwezi kuwafikiriaa.!!
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,360
2,000
Nyuma ya kina Farid, wako wazanzibar, hata hivyo ni bora kutawaliwa
na YEMEN au OMAN kuliko Tanganyika.
Kwa nini msiondoke huku Bara? mmeng'ang'ania tu Muungano MUUNGANO Kwenye Bunge naibu Waziri kaulizwa mbona Wazanzibar wakija Bara wanachukua viwanja lakini wabara wakienda Visiwani wananyimwa akajibu Wamasaai wamejazana zanzibar
Hebu vunjeni Muungano mkatawaliwe na hao Mabwana kwani Utwana mmeurithi maana huku bara mmekuwa kero na io siku CCM itawachoka tu km wanakataa uheshimiwa sasa wataukataa Ubwana
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,360
2,000
Mimi binafsi nasoma Chuo ambacho kipo senti mita chache kutoka katika Mahakama na siku hiyo nilikwuwepo Mahakamani na tulikua na wanafunzi wenzangu wasiopungua 70, ukitoa sisi wanafunzi na wale waliokuja kusikiliza kesi kuna na watu wengine waliopaza sauti zao na kusema "HATUUUTAKIIII" ambao hata huwezi kuwafikiriaa.!!

swali ni kweli na nyie wanafunzi zaidi ya 70, mlisema HATUUTAKI? basi itakuwa Zanzibar yote
Tupeni ukweli km mnakerwa wote andamaneni Muungano uvunjike kuliko kushinikizwa na hao Waarabu koko maana hawaruhusiwi kwenda na kuishi Oman sembuse kuoa tu
Hebu niulizie maana ya Methali PUNDA HAPANDI MUSCAT hapo ndio mtaamini ni wabaguzi na hawafai na Muungano uvunjike tu hata kesho, wamalizane wao kwa wao
 
Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,101
2,000
Napendekeza muundo wa serikali 3 (ya Tanganyika, ya Zanzibar na ya Muungano) badala ya kuvunja muungano.
Kama unaupenda sana Muungano kwa nini unapendekeza utengano zaidi (serikali tatu) kuliko huu wa sasa (serikali mbili)? Kwani mna tofauti gani au matatizo gani na Wazanzibar kiasi kwamba hamuwezi ku share nchi moja, Rais mmoja, serikali moja?

Huu muungano ukiharibika watakapata shida ni Wazenji.
Jajani, kama unasema kwamba Muungano ukivunjika watakaopata shida ni Wazenji ina maana Wazenji wanafaidika zaidi, sio? Sasa mimi Mtanganyika utaniambia nini niuepende Muungano ambao ni wazi kabisa upande mmoja ndio unaobebwa na kufaidika?

Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Zanzibar watulie.
Kenya, Zambia, Rwanda, Zimbabwe hawana Muungano na mtu na wanatuacha mbali kwa kila kitu.

Sio kila wakati umoja ni nguvu. Ndio maana nchi kama UK wamekataa kuungana kichwa kichwa na wa-Ulaya wenzao, kuna sababu, wenzetu sio wajinga, wanajua kulinda maslahi ya nchi zao, hawataki kuishia kuwabeba wengine bila faida yeyote.

Ndio maana wengine tunachukia muungano, sisi kama nchi kubwa zaidi hatuoni faida ya kutuunganisha na vieneo vidogo kuliko Nachingwea na Newala halafu unatuambia tugawane hadhi ya u-nchi. Eti wapewe zamu za kutawala, mgao wa hazina, nafasi za ubunge nyingi kwa uwiano kupita Bara, umeme bure, mafao ya utitiri wa viongozi wao, na pia nguvu ya maamuzi ya mambo ambayo hayawahusu. Wanachangia nini Wazanzibar mpaka wapewe bure yote hayo? Si haki hata kidogo kwa mlipa kodi wa Tanganyika.

Mtanzania, hasa Mtanganyika, bado hajajifunza, hajui ama hajali, jinsi ya kulinda maslahi ya nchi yake, ndio maana hata anaweza, kwa mfano, kuandika mkataba wa kugawia mgeni ardhi kwa miaka mia moja, halafu mkataba unasema mgeni anaruhusiwa kuchota mchanga kwa ndege kwenda kuchambulia madini huko huko kwao!
 
Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,066
2,000
Natamani muungano uvunjike Leo!! Nahitaji Tanganyika ile ya babu yangu hawa watu wamakomboni wanaidharau ardhi yangu inayowapa shibe mda umefika Watanganyika tuwatimulie mbali watu wasio na fadhira!!
 
mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
swali ni kweli na nyie wanafunzi zaidi ya 70, mlisema HATUUTAKI? basi itakuwa Zanzibar yote
Tupeni ukweli km mnakerwa wote andamaneni Muungano uvunjike kuliko kushinikizwa na hao Waarabu koko maana hawaruhusiwi kwenda na kuishi Oman sembuse kuoa tu
Hebu niulizie maana ya Methali PUNDA HAPANDI MUSCAT hapo ndio mtaamini ni wabaguzi na hawafai na Muungano uvunjike tu hata kesho, wamalizane wao kwa wao
Kama umeyafahamu vizuri maelezo yangu hukua na sababu ya kuniuliza SWALI lakini sikushangaa inawezekana una 'Akili za samaki'
Hivi kwanini nyinyi WATANGANYIKA hua munapenda sana kututishia mwarabu kila tunapojaribu kutoa hisia zetu kuhusu Muungano, mbona nyinyi hatuwasikii mukijengeana hofu kuhuru Muingireza! Hata wakija hao WAARABU na kututawala nyinyi mutapungukiwa na kitu gani? Wacheni hizo bwanaaaa mambo ya kutishana yameshapitwa na wakati.
 
Kama nina akili za Samaki nashukuru ila jibu swali PUNDA HAPANDI MUSCAT na punguza munkari, madharau na matusi hivyo Visiwa sio vya Waarabu wa Oman (Bara Arabia)

  • Vijana wa kiarabu waliotoka Yemen na Oman walikuja huku wakati wa Biashara ya Utumwa au likizo ya mfungo walitembea na madada zetu waliokuwa katika Utumwa ambao hawakusafirishwa kwenda Arabuni kwani walikataliwa na kituo kikubwa kikawa Pemba. (ndio asili ya Wapemba ni wajomba zetu)
Sharti waliloliacha ni marufuku kwa watoto hao Haramu kwenda Arabuni
  • Watumwa Wanaume walihasiwa waliofika Bara Arabia na kufia huko baada ya kuzeeka tofauti na wale Waafrika wa Magharibi walioenda Bara Amerika
Nakufahamisha kuwa Mwingireza alikitawala kisiwa hicho, na katika ya Historia Zanzibar (Unguja) ndio iliyokung'utwa kwa dakika 10 tu yaani Mzinga mmoja uliotuwa Bet el Sheba tu Sultani akasalim amri kutawaliwa.
kwa vile ni msomi wa Chuo ingia Wikipedia au Google tafuta History of Zanzibar

Sasa hivi tunadanganyana na tumechoka Kichukueni Kisiwa chenu mmeshakuwa, Muungano hatuutaki tena na hata huko Mahakamani km mnampa Farid sawa tu msiwasahau kina Bakhresa, Vuai na wengine wao huku Kondoa, Mwailanje, Dodoma Manyoni hata Tabora msiwaache waje wafaidi maana huku ni wavivu na gahawa tu hatuwataki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom