Mnautaka muunganoooo...Hautuutaki!!!

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
Kama nina akili za Samaki nashukuru ila jibu swali PUNDA HAPANDI MUSCAT na punguza munkari, madharau na matusi hivyo Visiwa sio vya Waarabu wa Oman (Bara Arabia)

  • Vijana wa kiarabu waliotoka Yemen na Oman walikuja huku wakati wa Biashara ya Utumwa au likizo ya mfungo walitembea na madada zetu waliokuwa katika Utumwa ambao hawakusafirishwa kwenda Arabuni kwani walikataliwa na kituo kikubwa kikawa Pemba. (ndio asili ya Wapemba ni wajomba zetu)
Sharti waliloliacha ni marufuku kwa watoto hao Haramu kwenda Arabuni
  • Watumwa Wanaume walihasiwa waliofika Bara Arabia na kufia huko baada ya kuzeeka tofauti na wale Waafrika wa Magharibi walioenda Bara Amerika
Nakufahamisha kuwa Mwingireza alikitawala kisiwa hicho, na katika ya Historia Zanzibar (Unguja) ndio iliyokung'utwa kwa dakika 10 tu yaani Mzinga mmoja uliotuwa Bet el Sheba tu Sultani akasalim amri kutawaliwa.
kwa vile ni msomi wa Chuo ingia Wikipedia au Google tafuta History of Zanzibar

Sasa hivi tunadanganyana na tumechoka Kichukueni Kisiwa chenu mmeshakuwa, Muungano hatuutaki tena na hata huko Mahakamani km mnampa Farid sawa tu msiwasahau kina Bakhresa, Vuai na wengine wao huku Kondoa, Mwailanje, Dodoma Manyoni hata Tabora msiwaache waje wafaidi maana huku ni wavivu na gahawa tu hatuwataki
Ningetamani sana kupata references juu ya maelezo yako lakini kama kawaida yenu WATANGANYIKA umenip kasumba mulizozoea kulishwa na watawala wenu siku nyingi! Nakuomba ukipata muda njoo Zanzibar nitakupeleka maeneo ya historia utajifunza mambo na kuujua UKWELI usitegemee sana mitandao sababu hua wanaweka mambo kwa maslahi yao. Kuhusu PUNDA HAPANDI MASCAT sijawahi kusikia wala sijui maana yake, hiyo ni misemo ya huko huku HATUITAMBUI! Zaidi nitafute fullshangwe@gmail.com
 

mkisoka

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
398
250
Nakutajia viongozi wa UAMSHO maana inawezekana akili yako imeharibika kwa kuvimbiwa KITI MOTO au wajitia wazimu wa makusudi

1- Sheik Msellem Ally (Mweusi) Amiri (Kiongozi) mkuu wa UMSHO mtu wa Donge Unguja

2- Sheikh Azzan (Mwekundu) naibu Amiri UAMSHO, Mtu wa Mfenesini Unguja

3- Sheikh Farid (Mwekundu) Amiri JUMAZA, Mtu wa Pemba

4- Sheikh Suleiman Haji (Mweusi) Muhadhiri, amechanganya upande mmoja anatoka Tanganyika

5- Sheikh Mussa Juma (Mweusi) Muhadhiri, Mtu wa Donge Unguja
Ukiwatoa hao wawili waliobakia wote weusi, sasa unaposema UAMSHO ni waarabu au Wapemba mimi nashindwa kukuelewa!
mwekundu?
 

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
mwekundu?
Kumbe hata Kiswahili ambacho munajidaia ndio lugha yenu ya taifa nacho pia kinawapa tabu kukijua hadi mufundishwe!!!! Neno "Mwekundu" angalia Swahili-English Dictionary-Zanzibar 1939 By Thomas Johnson. Itakua ni vyema endapo mutaufanyia kazi utabiri wa Mulugo mukaungane na Zimbabwe!!!
 

Azizi Mussa

Verified Member
May 9, 2012
8,590
2,000
hayo ni maaneno aliyokuwa akiyatamka sheikh faridi wa uamsho kuhamasisha wafuasi wake,,,nao wakajibu hatuutaki..pia watanganyika tumeshauriwa ni heri tujiunge na kenya!!!

Source:itv-habari ya saa 2
uamsho dawa yao ni atokee kiongozi mwengine kama komandoo!
 

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
mwekundu?
Nilikutabiria tangu mwanzo kama inawezekana Akili zako zimeharibika kwa kutumia sana KITI MOTO! Mwanangu achana nayo ile kitu noma sanaaaaaa. Kumbe umekuja tena lakini nimeshangaa umechagua "Mwekundu" ila "Mweusi" hukuliorodhoresha! By the way I hope nimekufahamisha wapi pa kuyapata maneno ya kiswahili sanifu. Pamoja na hayo nakuomba usijali coz nipo hapa pia kama mwalimu wa Kiswahili hususan kwa watu kama nyinyi ambao munatoka mipakani ya "BODA" za Malawi so ukiwa na maswali usisite kuniuliza.
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
21,141
2,000
Mimi binafsi nasoma Chuo ambacho kipo senti mita chache kutoka katika Mahakama na siku hiyo nilikwuwepo Mahakamani na tulikua na wanafunzi wenzangu wasiopungua 70, ukitoa sisi wanafunzi na wale waliokuja kusikiliza kesi kuna na watu wengine waliopaza sauti zao na kusema "HATUUUTAKIIII" ambao hata huwezi kuwafikiriaa.!!
chuo gani madrasa?
Upo juzuu ya ngapi vile maalim?
Mie niliishia arif.. Nikaone ngoja ntafute elimu dunia
 

malivawan10

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
538
500
Dhamb ya ubaguz itaimaliza zanzibar!#fact waamue wanayotaka#ila watakumbuka siku moja! Tanganyika tuna kila kitu wao hawana !
 

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
1,195
Dhamb ya ubaguz itaimaliza zanzibar!#fact waamue wanayotaka#ila watakumbuka siku moja! Tanganyika tuna kila kitu wao hawana !
Let us go kwanini munaleta vijimaneno hata tukifa, tukibaguana, tukiteseka na au kufa kwa njaa, tukitawaliwa na waarabu nyinyi mutapungukiwa na kitu gani!! Ukweli hasa hamutaki kuuweka BAYANA lakini kinachowafanya muwe munaumia pale Wazanzibari wanapopiga kelele juu ya Muungano ni chuki zenu juu ya MAADILI yetu mema tuliyofunzwa na DINI yetu TUKUFU ya UISLAMU. Hem njoo Zanzibar uwaone watoto wa kike wanavyovaa kwa kujisitiri miili yao sio kama wa huko ambao ukiwachilia mbali hile kawaida ya kutembeza 'Bidhaa' zao waziwazi kibaya zaidi hadi Kanisani wanaingia na vitop na vimini
 

Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,438
2,000
Aaagh.... Kazi kuumiza kichwa kuvuta mkate kwa sumaku... Huu muungano uvunjwe tu.. Maana hawa wenzetu wazanzibari naona wanalazimishwa tu...! Kwanini ung'ang'anie kutoa msaada?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom