Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

Atakua ishengoma huyo wanaume wa muleba wana matatizo sana, Juzi nilikutana na Kyaruzi ananilazimisha nimpe namba mbele za watu nilijiskia fedheha mno.

Waha nao wana tabia hizo hizo sijui wakoje.
Ulipiga teke debe la dhahabu now ungekuwa US unakula maisha, kwanza kutongozwa na muhaya ni bahati sana, maana sisi hatutongozagi waafrica sisi ni wazungu tu
 
Shemeji zangu akina Rutashobya,Rugalabamu,Barongo,Rutakyamirwa hawanaga hizi pigo za kubembeleza eti wapewe namba,hakuna muhaya anayejishusha kisa kitu kidogo kama namba ya simu.
Mtani upo? Yaani nisipowatania hapa JamiiForums Watani zangu huwa sisikii raha kabisa.
 
Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu?

IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala Dala nimemuonyesha ni kwanini Marehemu Bruce Lee alipokufa aliniachia Urithi wake na kwa nilichomfanya Matumaini yangu ni kuwa kwa muda huu lazima atakuwa amepumzisha ICU au huenda hata Ndugu zake wanasikilizia kama waanze Kuweka Oda za Sanda na Maturubai Kwao.

Yaani unapanda Dala Dala unamlazimisha kabisa Mwanamke akupe namba yake ya Simu na kila akikataa na kukuambia kuwa ana Mtu wake (tena hadi Jina kakutajia kuwa anaitwa GENTAMYCINE wa JamiiForums) halafu Wewe humuamini na unaendelea tu Kumlazimisha huku ukimshika shika tu unategemea Mwanamume wa Mkoani Mara (Musoma) nikuchekee huku nikiwa namiliki Mkanda wangu Mweusi huu?

Na najua hata akipona atakuwa anawaona Wanawake wote tu kama Kituo cha Polisi huku akiwaheshimu zaidi. Halafu sijui hata kwanini nilisahau kumuuliza anatokea Kabila gani (lipi) ila kwa mwonekano wake ni lazima tu atakuwa ama ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mrangi au Mkara au Mnyamwezi kwani ndiyo Wanaume na Makabila yenye huu Upuuzi.

Ninatumai kabisa kuwa wana JamiiForums nyote leo mmeamka Salama. Ninawapenda na muwe na Siku Njema nyote.
Mwanamke mzuri utampandishaje daladala wakati show room zimejaa mpaka vichochoroni??hiyo ni dalili ya umaskini
 
Mwanamke mzuri utampandishaje daladala wakati show room zimejaa mpaka vichochoroni??hiyo ni dalili ya umaskini
Aliyekuambia au aliyekudanganya kuwa GENTAMYCINE ni Tajiri ( Wealthier ) nani? Heko Kwako kwa kuwa Milionea mno tu.
 
Ulipiga teke debe la dhahabu now ungekuwa US unakula maisha, kwanza kutongozwa na muhaya ni bahati sana, maana sisi hatutongozagi waafrica sisi ni wazungu tu
Aah wapi
Ila wahaya mna mambo ya ajabu na ya kufurahisha
Kuna jamaa ilikua hata ukichukua simu yake hakukimbizi wala hafanyi kitu anakuacha tu anakaa alipokaa kiboss yani sijui mnajikutaga nani
Nilizurula na simu siku nzima akasema nimpe line simu nibaki nayo
 
Alhamdullilahi namshukuru Mola Muumba wa vyote kwa kunijaalia mafanikio ya kutunukiwa Degree ya Pili (2nd Dan) ya Sanaa ya Kujilinda kwa Mikono Mitupu ama Karate mtindo wa Jundokan Goju Ryu kutoka kwa Mwalimu wetu Mkuu wa @jundokan_tanzania Sensei @fundi_romi_ siku ya Ijumaa Juni 17, 2022.

ANGALIZO: Jamani ndugu zangu sanaa hii ni ya kujilinda kiafya, kiakili, kinidhamu na ki-utii na sio kupigana na mtu au watu. Ndio maana nina miaka takriban 40 nafanya Karate lakini hadi sasa ni wachache kweli waliojua nacheza sanaa hio.

Ni kweli kabisa sikupenda na sikuwa najionesha hadharani kwamba mimi ni Karateka, na hii kutoka hadharani sasa ni kuwatia moyo na hamasa watu wa umri wowote ama jinsia yoyote kwamba Karate ni sanaa ya kujilinda kiafya, kiakili na kinidhamu. Mie imenisaidia sana kwa kweli!

Ukikuta Karateka mbabe au mpenda shari basi tambua kuwa huyo jamaa ni aidha feki au hajaiva kisawasawa.

Kwa mwenye nia ya kujiunga nasi karibu DM kwa maelezo kamili.
Mkuu hongera sana,me hata kupiga push ups nikianza wiki ikiisha najipongeza ila baada ya hapo sirudii tena hadi miezi kadhaa, umewezaje aisee
 
Back
Top Bottom